theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,750
- 15,643
Magufuli ccm na dola wafanye juu chini awe rais wa milele
Akijichanganya afanye hivyo atakuja kuja kufa vibaya zaidi ya Mbwa na mema yake aliyofanya yatafutika kwa muda mfupi kabisa....
Magufuli ccm na dola wafanye juu chini awe rais wa milele
Kwani marais wa huko mbeleni lazima watoke sisiem auMh. Majaliwa Kassim Majaliwa
Mh. Suleiman Jaffo
Mh. Samia Suluhu Hassan
Mh. January Makamba
Hasa hasa hao wawili wa mwanzo hawana mbaya japo wapo katika uongozi ambao watu wanaulaumu sana lakini wao maeendelea ku maintain their status na wanazitendea haki nafasi zao.kama kula na kipofu wanajua.
Nadhani Mungu ana maana yake kutuwekea hao viongozi nawaona mbali sana.
Huu uzi nitaufufua tena 2025.
Hatoshi huyo na hawezi kamata urais labda tuangalie kusnzia 2035Rais wa 2025 ni Mh Aggrey Mwanri Mzee kutumia sheria huko mbele na kusukuma ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza sasa sijui wapi pana udini mkuu.
Yap kuna kuwezekana na kufaa-hayo ni mambo mawili tofauti.Inawezekana kabisa hawa wote uliowataja asitokee hata mmoja Kati Yao atakayeteuliwa kuwa Rais. Nani alimjua Magufuli atakuwa Rais. Hata wakina Benard Membe hawajakata Tamaa. Hichi kitu hakuna anayejua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kigezo kikubwa ni fikra zangu na namna ninavyowaona hawa watu,haina maana nataka niwaaminishe nyie nyote hapana.unaweza ukaona kinyume na mimi.
Hakuna rais atakaye kuja na kumzid Mh.Dr John Magufuli kiutendaji na hatotokea kamwe katik ardhi hii ya tanzania bara
Kigezo kikubwa ni fikra zangu na namna ninavyowaona hawa watu,haina maana nataka niwaaminishe nyie nyote hapana.unaweza ukaona kinyume na mimi.
Ila tu hawa niliowataja uchapa kszi wao unauonaje,ki busara na kutokulewa na madaraka kabisa?
Yes huyu si ndo jamaa wa maji au?