Orodha ya viongozi wanaofaa kuwa Marais huko mbeleni

Orodha ya viongozi wanaofaa kuwa Marais huko mbeleni

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
12,312
Reaction score
18,185
Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa

Mh. Suleiman Jaffo

Mh. Samia Suluhu Hassan

Mh. January Makamba

Hasa hasa hao wawili wa mwanzo hawana mbaya japo wapo katika uongozi ambao watu wanaulaumu sana lakini wao maeendelea ku maintain their status na wanazitendea haki nafasi zao.kama kula na kipofu wanajua.

Nadhani Mungu ana maana yake kutuwekea hao viongozi nawaona mbali sana.

Huu uzi nitaufufua tena 2025.
 
Rais wa 2025 kila mtu anajua tayari wewe tu ndo humjui.
Ingekuwa kila mtu na mimi ningemjua.

Lakini sijasema kama namjua au simjui rais wa 2025 na sikugusia hiloooooooo[emoji16][emoji16]
 
Aah!hata TFF nao wana rais mkuu ebu jarbu kuwa specifc kidogo due uliowataja cjaona sifa ya mtu kua rais wa nchi
 
Mh Majaliwa kassim majaliwa

Mh.Suleiman jaffo

Mh samia suluhu hassan

Mh january makamba

Hasa hasa hao wawili wa mwanzo hawana mbaya japo wapo katika uongozi ambao watu wanaulaumu sana lakini wao maeendelea ku maintain their status na wanazitendea haki nafasi zao.kama kula na kipofu wanajua.nadhani Mungu ana maana yake kutuwekea hao viongozi nawaona mbali sana.

Huu uzi nitaufufua tena 2025.
Inawezekana kabisa hawa wote uliowataja asitokee hata mmoja Kati Yao atakayeteuliwa kuwa Rais. Nani alimjua Magufuli atakuwa Rais. Hata wakina Benard Membe hawajakata Tamaa. Hichi kitu hakuna anayejua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetumia vigezo gani?
Mh Majaliwa kassim majaliwa

Mh.Suleiman jaffo

Mh samia suluhu hassan

Mh january makamba

Hasa hasa hao wawili wa mwanzo hawana mbaya japo wapo katika uongozi ambao watu wanaulaumu sana lakini wao maeendelea ku maintain their status na wanazitendea haki nafasi zao.kama kula na kipofu wanajua.nadhani Mungu ana maana yake kutuwekea hao viongozi nawaona mbali sana.

Huu uzi nitaufufua tena 2025.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mh Majaliwa kassim majaliwa

Mh.Suleiman jaffo

Mh samia suluhu hassan

Mh january makamba

Hasa hasa hao wawili wa mwanzo hawana mbaya japo wapo katika uongozi ambao watu wanaulaumu sana lakini wao maeendelea ku maintain their status na wanazitendea haki nafasi zao.kama kula na kipofu wanajua.nadhani Mungu ana maana yake kutuwekea hao viongozi nawaona mbali sana.

Huu uzi nitaufufua tena 2025.
Makamba akija CDM hata hiyo 2025 haifiki.
 
Mh Majaliwa kassim majaliwa

Mh.Suleiman jaffo

Mh samia suluhu hassan

Mh january makamba

Hasa hasa hao wawili wa mwanzo hawana mbaya japo wapo katika uongozi ambao watu wanaulaumu sana lakini wao maeendelea ku maintain their status na wanazitendea haki nafasi zao.kama kula na kipofu wanajua.nadhani Mungu ana maana yake kutuwekea hao viongozi nawaona mbali sana.

Huu uzi nitaufufua tena 2025.

Magufuli ccm na dola wafanye juu chini awe rais wa milele
 
Back
Top Bottom