Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,956
wao maeendelea ku maintain their status na wanazitendea haki nafasi zao.kama kula na kipofu wanajua.
Mkuu, "Kula na kipofu" hadi lini na kwa maslahi ya nani??, tabia hiyo ni unafiki na hatuhitaji viongozi wanafiki.
Mandela alipewa masharti na Makaburu kwamba aachane na harakati za ukombozi ili aachiwe huru; akajibu ni bora afie gerezani kuliko kuwa huru huku mamiloni ya watu wakiwa utumwani.
Huyo ndiye N. Mandela, tungetaraji kuona akinamandela wengine katika zama hizi za ukoloni, utumwa na ugandamizaji wa mtu mweusi.