sagaciR
JF-Expert Member
- Jun 17, 2017
- 644
- 882
1. W.V Lukuvi walai anafaa sana.Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa
Mh. Suleiman Jaffo
Mh. Samia Suluhu Hassan
Mh. January Makamba
Hasa hasa hao wawili wa mwanzo hawana mbaya japo wapo katika uongozi ambao watu wanaulaumu sana lakini wao maeendelea ku maintain their status na wanazitendea haki nafasi zao.kama kula na kipofu wanajua.
Nadhani Mungu ana maana yake kutuwekea hao viongozi nawaona mbali sana.
Huu uzi nitaufufua tena 2025.
Sent using Jamii Forums mobile app