Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Salamu Wakuu! Poleni na hongereni na majukumu.
Naomba kujua Nchi ambazo zimeendelea bila kuwa na Vyama vya Upinzani ama kutokuwa na Upinzani.
Najua kuna Wataalam wenye uelewa na exposure ya Nchi za watu au Nchi zilizoendelea.
Bila kukosolewa /bila kurekebishwa / bila kushauriwa kuna uwezekano wa nchi kuprogress kwenda mbele?
Asanteni sana.