Orodha ya Maadui wa CDM

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Mbowe
KIGAILA
MWALIMU
CHAUMMA
ZITTO
SPIKA
JAJI MKUU
MAHAKAMA
YANGA
ENG HERSI
ALI KAMWE
Kwa ufupi kila mtu ni mbaya kwao.hii ni dalili ya kuchanganyikiwa kitaalamu inaitwa paranoia yaani ukichaa unaoogopa hadi ndugu au mwenza wako.

Ongeza orodha
 
Punguza utoto dogo, naona kila ukiwaza upuuzi wako unaanzisha uzi. 🌈 Mkubwa ww.
 
Hata wewe umeanza matusi baada ya kuishiwa hoja?
 
Mbowe
KIGAILA
MWALIMU
CHAUMMA
ZITTO
SPIKA
JAJI MKUU
MAHAKAMA
YANGA
ENG HERSI
ALI KAMWE
Kwa ufupi kila mtu ni mbaya kwao.hii ni dalili ya kuchanganyikiwa kitaalamu inaitwa paranoia yaani ukichaa unaoogopa hadi ndugu au mwenza wako.

Ongeza orodha
Hujataja yale MAJIZI Yaliyowaibia MASKINI wa Tanzania 🇹🇿 na KUKICHANGIA CHAMA CCM juzi pale mlimani City?
Je si kweli kwqmba ikulu yetu imetekwa na kina rostam Azizi?
Je siyo kweli kwamba ccm ni chama kinachoregemea walanguzi kina singasinga ili kiweze kushinda??
Bisha kama ikulu yetu siyo pango la WALANGUZI ?
 
Mbowe
KIGAILA
MWALIMU
CHAUMMA
ZITTO
SPIKA
JAJI MKUU
MAHAKAMA
YANGA
ENG HERSI
ALI KAMWE
Kwa ufupi kila mtu ni mbaya kwao.hii ni dalili ya kuchanganyikiwa kitaalamu inaitwa paranoia yaani ukichaa unaoogopa hadi ndugu au mwenza wako.

Ongeza orodha
Adui wa CCM ni Chadema, halafu adui wa Chadema ni kikundi cha watu dhaifu kama hao, uko sawa kweli?
 
Mbowe
KIGAILA
MWALIMU
CHAUMMA
ZITTO
SPIKA
JAJI MKUU
MAHAKAMA
YANGA
ENG HERSI
ALI KAMWE
Kwa ufupi kila mtu ni mbaya kwao.hii ni dalili ya kuchanganyikiwa kitaalamu inaitwa paranoia yaani ukichaa unaoogopa hadi ndugu au mwenza wako.

Ongeza orodha
🤔🎣🎣🎣🎣
 
Huyu mjinga kilasiku kazi yake ni kubadili profile , Huko CCM hakuna vijana wengine wenye Akili timamu? Leo umekuja na ID nyingine mbili unapost mada alafu unakuja kukoment hii kazi mbona ngumu Sana
 
Ukweli unauma ila hautaacha kusemwa
 
Mbowe
KIGAILA
MWALIMU
CHAUMMA
ZITTO
SPIKA
JAJI MKUU
MAHAKAMA
YANGA
ENG HERSI
ALI KAMWE
Kwa ufupi kila mtu ni mbaya kwao.hii ni dalili ya kuchanganyikiwa kitaalamu inaitwa paranoia yaani ukichaa unaoogopa hadi ndugu au mwenza wako.

Ongeza orodha
Mkuu kuna hawa ulio wasahau.
Humphrey Polepole
Gwajima
Mange Kimambi
Mpina
Maria
Tena hawa ndio majipu haswa.
 
Mbowe
KIGAILA
MWALIMU
CHAUMMA
ZITTO
SPIKA
JAJI MKUU
MAHAKAMA
YANGA
ENG HERSI
ALI KAMWE
Kwa ufupi kila mtu ni mbaya kwao.hii ni dalili ya kuchanganyikiwa kitaalamu inaitwa paranoia yaani ukichaa unaoogopa hadi ndugu au mwenza wako.

Ongeza orodha
Mimi naongeza dalili nyingine ya kuchanganyikiwa; ukimstua muathirika anakukejeli au kukutukana🤣🤣🤣 Utawaona soon waliochanganyikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…