Jinsi walivyo katika kuandaa vipindi vyao ndo tatizo,ili waweze fanya matamasha inawalazimu kuandaa at least vipindi 4 au 5,so wawe na muda wa kusafiri.mpaka leo hii wao wana tengeneza vipindi kwa wiki husika.yaani kama kipindi ni alhamis,basi watashoot jumatatu na jumanne,wanaedit jumatano na kupeleka kipindi alhamisi TBC.Wenzetu kote uruhusiwi show zako kuonyeshwa at least umeshoot na kuwapelekea vipindi vya miezi 3 au zaidi ili ata kama linatokea tatizo wahusika waweze jipanga show isi pwae.Imagine Joti augue ghafla,na mpoki akawa bize anauguza mkewe....itakuwaje? Kipindi cha wiki usika kitanoga?Wanatakiwa kubadilika watafute mtaalamu ili wawe wanatoa weekly episodes,wanafanya matamasha mikoani,na kutengeneza sanaa nyinginezo kama standup comedy n.k