Original Komedi wamefulia

Original Komedi wamefulia

Tabby umeeleweka na tumekusikia rudi kwenye mada basi.......maana hii mada haiwahusu wasabato.
 
Last edited by a moderator:
Nimekuambia usabato ni upagani na unafiki usiokuwa na hata chembe ya Neno la Mungu. Wewe uliona wapi mtu wa Mungu anabadilika na mazingira. Eti kama hayuko kanisani dhambi ruksa kama kawa. Na hii ndiyo tabia yenu wasabato. Mnajidai kusema eti mnatunza sheria ambazo zimewashinda na dhambi mnaswaga kama kawa maadamu hamko kanisani. Huu ni upagani murua!.

Ungelikuwa na hofu ya Mungu, ungejishtukia kusema maneno ya kishetani eti kwa kuwa hauko jukwaa la dini. Up.mbavu tu!.

Usabato ni upagani kivipi mkuu??
 
Mpagani ni mtu asiyemjua Mungu. Anaweza kuwa anasikia sikia kuna Mungu na akatamani kutembea katika njia za Mungu lakini hajaanza kutembea katika hiyo njia. Na wapagani wengi tu wamo ndani na nje ya makanisa na ndio wale ambao wanaweza kusema sema neno la Mungu lakini wanachokifanya ni tofauti na wanayoyasema. Anaweza kuwa mmoja mmoja ama kundi la kipagani lililonakshiwa kwa mbwembwe na maneno ya Kimungu lakini hakuna uhalisia wa Mungu ndani yake.

Hawa wasabato wamezidi sana katika kuishi maisha ya gizania huku midomo yao ikijaribu kuigiza maneno wanayoyasikia sikia ya Mungu kinafiki tu ili wajipendekeze kwa watu. Huu ni upagani. Nina mifano mingi naomba nisiongee sana leo kwa sababu nina maasuala mengine nashughulikia.

Wasabato ukiwasikiliza kwanza hawana neno la Mungu zaidi yakukariri kifungu cha kubishania kusali kwao jumamosi. Mara nyingi ukiwaambia maandiko yanasemaje, wanaishia kusema "hizo ni kanuni zetu tu wasabato', na hapo nidp unaona usabato ni kama kundi la wacheza ngoma, linalojali zaidi ngoma yao kuliko hata wanachodai kukiabudu yaani Mungu. Na mara nyingi utawakuta wanafanya matendo ambayo ni dhahiri mtu wa Mungu hawezi kufanya. Na ukiwaambia (kama huyu jamaa aliyeandka hapa), kwa nini unafanya haya? Anasema yuko nje ya kanisa atatubu jumamosi na abatizwe tena. Huyu kasema 'watu wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu",. Hii ni gia ya kuhalalisha maisha yao ya mchanganyiko. Hajui hata neema na kazi za Yesu Kristo kwa binadamu. Anasahau andiko linalosema 'atendaye dhambi ni wa ibilisi". Sasa wa ibilisi ni mpagani. Na kama wasabato wanahalalisha matendo yote maovu basi wanaishi katika ibilisi ambaye ni kiongozi wa upagani.

Sasa ninakwenda.

Usabato ni upagani kivipi mkuu??
 
Mpagani ni mtu asiyemjua Mungu. Anaweza kuwa anasikia sikia kuna Mungu na akatamani kutembea katika njia za Mungu lakini hajaanza kutembea katika hiyo njia. Na wapagani wengi tu wamo makanisani na ndio wale ambao wanaweza kusema sema neno la Mungu lakini wanachokifanya ni tofauti na wanayoyasema. Anaweza kuwa mmoja mmoja ama kundi la kipagani lililonakshiwa kwa mbwembwe na maneno ya Kimungu lakini hakuna uhalisia wa Mungu ndani yake.

Hawa wasabato wamezidi sana katika kuishi maisha ya gizania huku midomo yao ikijaribu kuigiza maneno wanayoyasikia sikia ya Mungu kinafiki tu ili wajipendekeze kwa watu. Huu ni upagani. Nina mifano mingi naomba nisiongee sana leo kwa sababu nina maasuala mengine nashughulikia.

Nimekupata mkuu.
 
Na alichoniudhi hadi nikaona nimwambie hapa ni kwamba Muda mfupi tu ulikuwa umepita, alitoka kuandika thread kwamba Mungu ni Msabato. Nimesikitika sana kwa mtu mwenye akili kumweka Mungu kwenye dini. Mungu hana dini licha ya kumuoanisha n dini ya kisabato iliyojaa uasi, madhambi, unafiki, uchawi, uwongo na maovu yote. Huu ni ukosefu wa adabu na makufuru. Nilimkanya kwamba Mungu hana dini na hawezi kuwa mshirika mwenziyo kwenye dini isiyo na nguvy yoyote ya Mungu.

Haujapita mda, nakuta huyo huyo kafungua hii thread ya kuwazomea na kufurahia matatizo yanayowapata hawawasanii anaowazomea na kuwacheka as if amefirhia sana maumivu yao. Nikashindwa uvumilivu na ikabidi nimwambie, yeye ambaye anasema Mungu ni muumini mwenzake, inakuwaje anaandika thread yenye kila ushabiki usio na chembe ya kanuni za ki Mungu?

Angelikuwa na Mungu hata chembe, angeliwahurumia wanaoteseka. Lakini yeye amefurahia ni dhahiri hana Roho ya Mungu. Na kwa kuonyesha umbumbumbu wake ki maandiko,nilipomwuliza alisema "hii ni jukwaa lingine",. Kwa hiyo ukiwa kwenye dini unaanza kujifanya una Mungu, ukigeuka, dhambi mtindommoja. Huu ndio upagani wa wasabato ninaousema.

Anatakiwa kumheshiimu Mungu na kama Alivyo, siyo ujinga wa kusema Mungu ni mshirika wa dini yake tena dini la ovyo, huku Wakristo wote wanapaswa kujua kwamba Mungu hana dini. Ni Mungu Mtakatifu Mno na anaangalia miyo iliyopondeka na kunyenyekea Mbele Zake si dini hata kidogo.

Mnisamehae wana jamvi kwa kuwapeleka nje ya maada lakini ni kutokana na tabia chafu za mwandishi kujilinganisha naMungu wakati ni li jimama, shanginig limejaa madhambi hadi kwenye kope za Macho.

Nimekupata mkuu.
.
 
Inaonekana unaongea kwa machungu mkuu.. msamehe bure, Mungu hana Dini, dini ya kweli ni kumjua yeye tu!!. Mimi ninaamini Mungu ana watu wake kila mahali. It is Blasphemous to say God is of a certain religion.
 
Ahsante kiongozi nimekuelewa na nimeachana naye!.

Inaonekana unaongea kwa machungu mkuu.. msamehe bure, Mungu hana Dini, dini ya kweli ni kumjua yeye tu!!. Mimi ninaamini Mungu ana watu wake kila mahali. It is Blasphemous to say God is of a certain religion.
 
Yani hawa OK sikuhizi hawana jipya.... unaweza ukaangalia vipind 10 mfululizo ukabaki umekunja sura. Hawachekeshi. Mi naona wachekeshaji watakao kimbiza mpaka mwisho ni Mizengwe. RIP Orijino Komedi.

among all, ki ukwel, orijino komed bado wanakimbiza wewe!!
 
Yani hawa OK sikuhizi hawana jipya.... unaweza ukaangalia vipind 10 mfululizo ukabaki umekunja sura. Hawachekeshi. Mi naona wachekeshaji watakao kimbiza mpaka mwisho ni Mizengwe. RIP Orijino Komedi.
jichunguze kwanza una bandama??, unaweza ukawa hucheki wewe tu, anyway kucheka ni biological process. na duniani kuna ulemavu wa aina nyingi. kwa hiyo kabla ya kumshutumu mtu flani hachekeshi hebu cheki kwanza kama system yako ina drivers za kicheko. kuna mtu anasoma jokes leo anacheka kesho kutwa.
 
Mbona bado wako poa tuu na wanachekesha kama kawaida, kwangu mimi OK bado linabaki kua ni kundi bora la comedy bongo la muda wote.
 
Back
Top Bottom