Erick Martie
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 301
- 338
- Thread starter
- #21
Mbinu wazotumia wana'sayansi katika kuangalia possibility ya Life ktk exo planets, mojawapo ya mbinu hiyo inaitwa Spectroscopy (Red shifting), kupitia hiyo wanatuma Radio waves ku'detect color ya chemicals zinazopatikana katika sayar hizo je zinaendana na color ya elements zinazo'support life au la!?Mzehe nikuulize wanasayansi wanatumia mbinu zipi kutafuta life nje ya dunia???
Ukweli ni kwamba life wanayoitafuta ni intelligent life kama au zaidi yetu sisi binadamu ..hamna mwenye interest ya kutafuta amoeba huko europa Jupiter.
Hizo unicellular maybe wanazitafutia mwezini na mars tu ila sio nje ya hapo.
Then kuhusu hizo building blocks, ulishawahi kujiuliza kuwa kwani lazima life ianze na hizo elements??Huenda sehemu nyingine ya ulimwengu kuna aina zingine za atoms&molecules ambazo zimetengeneza other forms of life
Ishu wanazotafuta sio Intelligent Life kama ulivyonuia bali ni planets ambazo zinaweza kuwa habitable kwa either binadam au kwa life yoyote hata kama haihusiani na binadamu. Intelligent life yoyote itayakuwepo ni matokeo ya tafiti zao but sio main drive inayowapeleka huko!
Pili katika ulimwengu (universe) tunayoishi kumbuka umeanzia katika Big bang ambayo ndo ulitengeneza elements zote zinazopatikana kwenye kila kona ya ulimwengu,
Elements hizo ikiwemo Carbon, Hydrogen, Oxygen, Nitrogen hizi ambazo zimetengeneza Solar system yetu hapa na zingine zinazopatikana eneo lolote ndan ya ulimwengu huu.
So kusema kwamba viumbe wengine kama wapo watakuja na chemical forms zingine haitakuja kutokea unless viumbe hao wawe wawawekea nje ya Ulimwengu (Universe) huu!