Origin of life on earth (Mwanzo wa maisha hapa duniani)

Erick Martie

JF-Expert Member
Jun 6, 2015
301
338
Kati ya maswali ambayo ni magumu kuyajibu ukiiulizwa hili ni mojawapo, maisha yalianzaje duniani mpaka kuweza kutokea kwa aina mbali mbali ya viumbe ikiwemo na binadamu, (diversity if Life).

From Scientific Angle, haya ni maswali ambayo yameweza kufanyiwa utafiti na kupelekea kupatiwa majibu katika theorized form, hopefully huko mbeleni baadhi pia wanaweza kuja na more strong evidence katika ku'support hizi Origin of Life theory!

So tuanze na swali, kiumbe yeyote ambaye anaishi Biologically na Chemically ametengenezwa na nn!!!?
Simple answer ni DNA,

Tukienda deep zaid whats the Chief constituent of DNA ni Protein (Amino acid)

Swali la msingi linakuja whats the building block of Amino acid ni mchanyato wa Carbon, Hydrogen, Oxygen, Nitrogen na other elements kwa kiwango kidogo kama Phosphorus na Sulphur.
(Hizi ndo chemicals ambazo zimetengeneza Animal and Plant bodies)

Kwa maana nyingine Life ilianzia kwenye supu ya elements mbali mbali ambapo ziliweza kuuanganika katika mazingira yaliyokuwa sahihi (desirable conditions) na kuweza kutengeneza simple amino acid (Protein) then DNA ambapo ndio building block of Life.

So next ukisikia scientists wanaongelea wanatafuta evidence of life katika Exo Planets (Sayari za mbali kama Mars!) haimaanishi wanatafuta exactly viumbe, bali wanatafuta elements au chemicals ambazo ni building blocks of life kama hizo ambazo nimezieleza hapo juu, Ziweze ku'suggest either life existed or it might exist in future.

Wanasayansi wameweza kuunganisha hizo elements kimaabara na kutengeneza amino acid ambayo ni Building Blocks of life, so wanaamini kwamba ili kuweze kuwa na possibility of life lazima hizo chemicals ziwe around in favourable condition

so kama Out of Nothing, life iliweza kutokea dunian so may be it can emerge as well in other distant planets provided that the conditions are Right.

So viumbe wote tunaoishi (wanyama na mimea) tunatengenezwa na the same building block of life of chemicals, zinazopatikana katika Cosmological Dust ambazo zipo katika maeneo mbalimbali katika ulimwengu (universe).

Na mara nyingine katika research ya Vimondo (mateorites) zinadondoka hapa duniani kutokea sayari za mbali pia zina'suggest kuwepo kwa hizo building blocks of life, ndio maana baadhi ya wanakuja na possibility kwamba inawezekana hii life ya hapa duniani, imeletwa kutoka exo planets za mbali kuja kuanzisha life hapa duniani.

Kwa kifupi ningeweza kusema kutokea kwa Life duniani ni probability za kisayansi zilizopelekea Mazingira yalikuwa sahihi na hivyo Life kutokea,

So from the same note there is possibility of life elsewhere if the probable condition is Right kama ya hapa duniani (Earth like planet).

Kitu cha msingi ni kuwa Open minded hopefully, newly launched James Webb Space Telescope itakuja na interesting data zinazoweza ku'suggest existance of Life ktk distant planets!

Share your curiosity ideas!
Karibuni...!
 
Ngoja niweke kambi nipate kuelimika
20211229_235541.jpg
 
Kaka hii topic ungeipeleka kule jamii intelligence ingenoga sana.

JWST itatupa mwanga wa swali la chanzo cha uhai.
 
Daaa maada Nzuri Sana Hii mkuu,
Ngoja nivute siti hapa tuendelee kuijadili Kwa kina maana hapa Ndio kama sehemu inayonipa stimu!
😁😁😁🙏🙏🙏
 
Kati ya maswali ambayo ni magumu kuyajibu ukiiulizwa hili ni mojawapo, maisha yalianzaje duniani mpaka kuweza kutokea kwa aina mbali mbali ya viumbe ikiwemo na binadamu, (diversity if Life).

From Scientific Angle, haya ni maswali ambayo yameweza kufanyiwa utafiti na kupelekea kupatiwa majibu katika theorized form, hopefully huko mbeleni baadhi pia wanaweza kuja na more strong evidence katika ku'support hizi Origin of Life theory!

So tuanze na swali, kiumbe yeyote ambaye anaishi Biologically na Chemically ametengenezwa na nn!!!?
Simple answer ni DNA,
Tukienda deep zaid whats the Chief constituent of DNA ni Protein (Amino acid)
Swali la msingi linakuja whats the building block of Amino acid ni mchanyato wa Carbon, Hydrogen, Oxygen, Nitrogen na other elements kwa kiwango kidogo kama Phosphorus na Sulphur.
(Hizi ndo chemicals ambazo zimetengeneza Animal and Plant bodies)

Kwa maana nyingine Life ilianzia kwenye supu ya elements mbali mbali ambapo ziliweza kuuanganika katika mazingira yaliyokuwa sahihi (desirable conditions) na kuweza kutengeneza simple amino acid (Protein) then DNA ambapo ndio building block of Life.

So next ukisikia scientists wanaongelea wanatafuta evidence of life katika Exo Planets (Sayari za mbali kama Mars!) haimaanishi wanatafuta exactly viumbe, bali wanatafuta elements au chemicals ambazo ni building blocks of life kama hizo ambazo nimezieleza hapo juu, Ziweze ku'suggest either life existed or it might exist in future.

Wanasayansi wameweza kuunganisha hizo elements kimaabara na kutengeneza amino acid ambayo ni Building Blocks of life, so wanaamini kwamba ili kuweze kuwa na possibility of life lazima hizo chemicals ziwe around in favourable condition
so kama Out of Nothing, life iliweza kutokea dunian so may be it can emerge as well in other distant planets provided that the conditions are Right.

So viumbe wote tunaoishi (wanyama na mimea) tunatengenezwa na the same building block of life of chemicals, zinazopatikana katika Cosmological Dust ambazo zipo katika maeneo mbalimbali katika ulimwengu (universe).

Na mara nyingine katika research ya Vimondo (mateorites) zinadondoka hapa duniani kutokea sayari za mbali pia zina'suggest kuwepo kwa hizo building blocks of life, ndio maana baadhi ya wanakuja na possibility kwamba inawezekana hii life ya hapa duniani, imeletwa kutoka exo planets za mbali kuja kuanzisha life hapa duniani.

Kwa kifupi ningeweza kusema kutokea kwa Life duniani ni probability za kisayansi zilizopelekea Mazingira yalikuwa sahihi na hivyo Life kutokea,

So from the same note there is possibility of life elsewhere if the probable condition is Right kama ya hapa duniani (Earth like planet).
Kitu cha msingi ni kuwa Open minded hopefully, newly launched James Webb Space Telescope itakuja na interesting data zinazoweza ku'suggest existance of Life ktk distant planets!

Share your curiosity ideas!
Karibuni...!
Acha kuudanganya umma mkuu,kwanza lazima utambue bodies ya kiumbe yoyote inatengenezwa na aina nyingi za sell mbali mbali. For-instance kirusi, bacteria nk wote wanaundwa kwa seli moja lkn kwa viumbe wengine kadiri kiumbe kilivyo kikubwa na ndio jinsi gani inaonyesha kimetengenezwa na seli nyingi. Tuanzie hapo kuna kitu unakificha hapa weka wazi
 
Hiyo miunganiko ya maada mbona haitokei tena, mbona hatuoni viumbe wengine wakiemerge??? Au dunia yetu sio favourable for such process to take place tena??

And why such discontinuity?
Hiyo miunganiko ya maada ilitokea kipindi cha favourable conditions more than 3.8 billion years ago, kwan kipindi hicho dunia haikuwa favourable hata kwa maisha ya kawaida ya sasa,
lakin ndo kipindi ambacho kilitengeneza first simple life, primitive single cellular bacteria (ambapo evidence ya hawa bado wana'exist katika extreme conditions)

kwa maisha mafupi ya binadam (very short human life span) hauwez ku'notice, ni kama vile ambavyo hatuwezi ku'notice on going Evolutions ambayo iliweza kufanya diversity ya viumbe mbali mbali,

Ikumbukwe viumbe wote wameanzia kwenye same origin which is simple celullar life!
 
Acha kuudanganya umma mkuu,kwanza lazima utambue bodies ya kiumbe yoyote inatengenezwa na aina nyingi za sell mbali mbali. For-instance kirusi, bacteria nk wote wanaundwa kwa seli moja lkn kwa viumbe wengine kadiri kiumbe kilivyo kikubwa na ndio jinsi gani inaonyesha kimetengenezwa na seli nyingi. Tuanzie hapo kuna kitu unakificha hapa weka wazi
Najaribu kutafakari ulichokiongea, anyway nadhan unamaanisha kwenye Muktadha wa Unicellular na Multicellular!

Kama ulisoma Biology yako vzuri haswa kwenye kipindi cha Evolution (Natural selection)
Viumbe vilianza kwenye primitive simple life Unicellular then due to Evolution simple life ika'evolve kwenda kwenye complex life kuelekea kwenye Multicellular organism!

So nadhan tupo kwenye same boat, na ndo hicho hicho nlichokieleza hapo juu so inategemea unataka uongelee kwa mlengo gan ila kwa mtu ambayo Biology yake imeshiba atanielewa vzur, kama Nimedanganya Umma au la!!!!
 
Mzehe nikuulize wanasayansi wanatumia mbinu zipi kutafuta life nje ya dunia???
Ukweli ni kwamba life wanayoitafuta ni intelligent life kama au zaidi yetu sisi binadamu ..hamna mwenye interest ya kutafuta amoeba huko europa Jupiter.
Hizo unicellular maybe wanazitafutia mwezini na mars tu ila sio nje ya hapo.

Then kuhusu hizo building blocks, ulishawahi kujiuliza kuwa kwani lazima life ianze na hizo elements??Huenda sehemu nyingine ya ulimwengu kuna aina zingine za atoms&molecules ambazo zimetengeneza other forms of life
 
Pengine ili mjadala uweze kunoga zaidi ungejaribu pia kuangazia swali hili: maisha/uhai hasa ni nini? Ni muunganiko tu wa Amino acids, Carbon na hizo elementi zingine zinazojenga uhai au kuna cha ziada? Kwa maana nyingine, tukikupa hizo elements zote na mazingira sahihi yanayofaa kwa uhai kuwepo, unaweza "kuzikoroga" na kuzichanganya mpaka siku moja vu bin vu uhai ukaanza kama wanavyodai wanasayansi?

Nitarudi
 
Umeniwahi kuuliza swali hili,yani hivyo ndio vitengeneze mtu? Sijawahi kushawishika
 
Back
Top Bottom