Origin of life on earth (Mwanzo wa maisha hapa duniani)

Chanzo cha uhai ni nini? DNA ipo tu binadamu/mnyama akiwa hai au amekufa.
Nimeelezea vzur sana hapo juu mkuu,

Ingawa pia ili unielewe vyema lazima Biology yako iwe imeshiba kdg, then ukiunganisha na nlichokielezea hapo juu ukasoma na ukaelewa unaweza kunipata pata kias chake!
 
Pengine ili mjadala uweze kunoga zaidi ungejaribu pia kuangazia swali hili: maisha/uhai hasa ni nini? Ni muunganiko tu wa Amino acids, Carbon na hizo elementi zingine zinazojenga uhai au kuna cha ziada? Kwa maana nyingine, tukikupa hizo elements zote na mazingira sahihi yanayofaa kwa uhai kuwepo, unaweza "kuzikoroga" na kuzichanganya mpaka siku moja vu bin vu uhai ukaanza kama wanavyodai wanasayansi?

Nitarudi
Five years ago, scientists created a single-celled synthetic organism that, with only 473 genes, was the simplest living cell ever known. However, this bacteria-like organism behaved strangely when growing and dividing, producing cells with wildly different shapes and sizes
21MML006_Video_S4_(JCVI-syn3A).gif

Acha kuudanganya umma mkuu,kwanza lazima utambue bodies ya kiumbe yoyote inatengenezwa na aina nyingi za sell mbali mbali. For-instance kirusi, bacteria nk wote wanaundwa kwa seli moja lkn kwa viumbe wengine kadiri kiumbe kilivyo kikubwa na ndio jinsi gani inaonyesha kimetengenezwa na seli nyingi. Tuanzie hapo kuna kitu unakificha hapa weka wazi
Nadhani uelewa wako wa biology uko katika narrow scopes. Tambua Cell yoyote ime- constitute heredity unit ambayo ni DNA, replication ya cell yoyote huanza na DNA replication. Kwahiyo kabla ya kumshambulia mleta hoja kuwa asidangane umma, nakuomba upitie vizuri vitabu vya advanced biology.
 
Five years ago, scientists created a single-celled synthetic organism that, with only 473 genes, was the simplest living cell ever known. However, this bacteria-like organism behaved strangely when growing and dividing, producing cells with wildly different shapes and sizes
View attachment 2067659

Bora umekuja na hii Article wadau waone how everything is possible when they think it si impossible cha kujifunza ni kwamba,

Wanasayansi wanajaribu kutengeneza synthetic cells kwa lengo la maendeleo ya binadamu hususani kuotesha organs kama Moyo, Figo na kadhalika zinazoendana na genome ya mtu husika

Kuliko sasa hivi wanavyofanya mpaka organ transplant ambazo zinazoendana na dawa hatari kama immuno suppresant kutoka na utofauti wa genes kati ya organ iliyopandikizwa na mtu husika.

Haya yote ni maendeleo ya Medical field
 
Nadhani uelewa wako wa biology uko katika narrow scopes. Tambua Cell yoyote ime- constitute heredity unit ambayo ni DNA, replication ya cell yoyote huanza na DNA replication. Kwahiyo kabla ya kumshambulia mleta hoja kuwa asidangane umma, nakuomba upitie vizuri vitabu vya advanced biology.
Kabisa bora umenena wewe mkuu, natumaini kama kuna wataalam wa Biology hapa wanaweza kunipinga kama nimeuingiza chaka Umma.

Point ya msingi ni kwamba kama Biology ya mtu hapa inachechemea kichwan ataona kama napiga tantarira za hapa na pale,
bali kwa mtu ambaye biology yake ip deep atatafakari kwa kina na kuchambua hizo Scientific facts nlizozitolea upembuzi yakinifu.
 
Pomoja na mawazo haya kuhusu sciences
Lakini je hakuna nguvu ya asili inayoendesha mambo
Je Katika maisha yote ambayo umeyaishi hujawai kukutana na kisa ambacho kilikufanya uamini kwamba kuna Mungu?

Ukiachana kuaminishwa na watu wengine
Wewe mwenyewe tu hujawahi kuface changamoto ambayo ilikufanya uzame kwenye maombi japo kwa imani finyu lakini ukapata matokeo yaliokufanya uamini kwamba kuna nguvu halisi zinazoendesha haya mambo?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kati ya maswali ambayo ni magumu kuyajibu ukiiulizwa hili ni mojawapo, maisha yalianzaje duniani mpaka kuweza kutokea kwa aina mbali mbali ya viumbe ikiwemo na binadamu, (diversity if Life).

From Scientific Angle, haya ni maswali ambayo yameweza kufanyiwa utafiti na kupelekea kupatiwa majibu katika theorized form, hopefully huko mbeleni baadhi pia wanaweza kuja na more strong evidence katika ku'support hizi Origin of Life theory!

So tuanze na swali, kiumbe yeyote ambaye anaishi Biologically na Chemically ametengenezwa na nn!!!?
Simple answer ni DNA,
Tukienda deep zaid whats the Chief constituent of DNA ni Protein (Amino acid)
Swali la msingi linakuja whats the building block of Amino acid ni mchanyato wa Carbon, Hydrogen, Oxygen, Nitrogen na other elements kwa kiwango kidogo kama Phosphorus na Sulphur.
(Hizi ndo chemicals ambazo zimetengeneza Animal and Plant bodies)

Kwa maana nyingine Life ilianzia kwenye supu ya elements mbali mbali ambapo ziliweza kuuanganika katika mazingira yaliyokuwa sahihi (desirable conditions) na kuweza kutengeneza simple amino acid (Protein) then DNA ambapo ndio building block of Life.

So next ukisikia scientists wanaongelea wanatafuta evidence of life katika Exo Planets (Sayari za mbali kama Mars!) haimaanishi wanatafuta exactly viumbe, bali wanatafuta elements au chemicals ambazo ni building blocks of life kama hizo ambazo nimezieleza hapo juu, Ziweze ku'suggest either life existed or it might exist in future.

Wanasayansi wameweza kuunganisha hizo elements kimaabara na kutengeneza amino acid ambayo ni Building Blocks of life, so wanaamini kwamba ili kuweze kuwa na possibility of life lazima hizo chemicals ziwe around in favourable condition
so kama Out of Nothing, life iliweza kutokea dunian so may be it can emerge as well in other distant planets provided that the conditions are Right.

So viumbe wote tunaoishi (wanyama na mimea) tunatengenezwa na the same building block of life of chemicals, zinazopatikana katika Cosmological Dust ambazo zipo katika maeneo mbalimbali katika ulimwengu (universe).

Na mara nyingine katika research ya Vimondo (mateorites) zinadondoka hapa duniani kutokea sayari za mbali pia zina'suggest kuwepo kwa hizo building blocks of life, ndio maana baadhi ya wanakuja na possibility kwamba inawezekana hii life ya hapa duniani, imeletwa kutoka exo planets za mbali kuja kuanzisha life hapa duniani.

Kwa kifupi ningeweza kusema kutokea kwa Life duniani ni probability za kisayansi zilizopelekea Mazingira yalikuwa sahihi na hivyo Life kutokea,

So from the same note there is possibility of life elsewhere if the probable condition is Right kama ya hapa duniani (Earth like planet).
Kitu cha msingi ni kuwa Open minded hopefully, newly launched James Webb Space Telescope itakuja na interesting data zinazoweza ku'suggest existance of Life ktk distant planets!

Share your curiosity ideas!
Karibuni...!​
Mkuu naona umekalili madesa..
Hii dhana ya evolution nawashangaa sana wanaoipigia chapuo.
Kutengeneza amino acid sio kazi, kazi ni kutengeneza protein na there is no
possibility ya protein kutengenezwa by chance hata kwa probability ya kawaida,
ukijua protein moja ina hitaji amino acid ngap na kwa mpangilio maalumu na mwili wako
unahitaji protein ngapi ambayo ndio basis of life huwezi kussuport hii by chance.
Ndio maana hakuna mtu anaejihusisha na kujaribu kuiteneneza life maabara uwezo wao
umeishia kwenye amino acid na ni kitu simple hicho. Saivi wanasema ilikuwa ni rahisi kutengeneza maisha
maabara miaka hamsini iliyopita kuliko sasa.
Pili kwenye evolution kuna baadhi ya organ huwezi kusema zili-evolve taratibu mfano
macho kufikia hatua ya kuona hakuna uwezekano macho yalitokana simply evolution from simple.
Hiyo big bang ni scientific myth ndg na mwanzilishi wake anafurahisha sana alisema mwanadamu anapua ili
kuruhusu bacteria waingie ndani mwake na kumpatia maradhi.
Someni na shortcoming za hawa watu kabla ya kubeba kama zilivo hizi theory.​
 
Kati ya maswali ambayo ni magumu kuyajibu ukiiulizwa hili ni mojawapo, maisha yalianzaje duniani mpaka kuweza kutokea kwa aina mbali mbali ya viumbe ikiwemo na binadamu, (diversity if Life).

From Scientific Angle, haya ni maswali ambayo yameweza kufanyiwa utafiti na kupelekea kupatiwa majibu katika theorized form, hopefully huko mbeleni baadhi pia wanaweza kuja na more strong evidence katika ku'support hizi Origin of Life theory!

So tuanze na swali, kiumbe yeyote ambaye anaishi Biologically na Chemically ametengenezwa na nn!!!?
Simple answer ni DNA,
Tukienda deep zaid whats the Chief constituent of DNA ni Protein (Amino acid)
Swali la msingi linakuja whats the building block of Amino acid ni mchanyato wa Carbon, Hydrogen, Oxygen, Nitrogen na other elements kwa kiwango kidogo kama Phosphorus na Sulphur.
(Hizi ndo chemicals ambazo zimetengeneza Animal and Plant bodies)

Kwa maana nyingine Life ilianzia kwenye supu ya elements mbali mbali ambapo ziliweza kuuanganika katika mazingira yaliyokuwa sahihi (desirable conditions) na kuweza kutengeneza simple amino acid (Protein) then DNA ambapo ndio building block of Life.

So next ukisikia scientists wanaongelea wanatafuta evidence of life katika Exo Planets (Sayari za mbali kama Mars!) haimaanishi wanatafuta exactly viumbe, bali wanatafuta elements au chemicals ambazo ni building blocks of life kama hizo ambazo nimezieleza hapo juu, Ziweze ku'suggest either life existed or it might exist in future.

Wanasayansi wameweza kuunganisha hizo elements kimaabara na kutengeneza amino acid ambayo ni Building Blocks of life, so wanaamini kwamba ili kuweze kuwa na possibility of life lazima hizo chemicals ziwe around in favourable condition
so kama Out of Nothing, life iliweza kutokea dunian so may be it can emerge as well in other distant planets provided that the conditions are Right.

So viumbe wote tunaoishi (wanyama na mimea) tunatengenezwa na the same building block of life of chemicals, zinazopatikana katika Cosmological Dust ambazo zipo katika maeneo mbalimbali katika ulimwengu (universe).

Na mara nyingine katika research ya Vimondo (mateorites) zinadondoka hapa duniani kutokea sayari za mbali pia zina'suggest kuwepo kwa hizo building blocks of life, ndio maana baadhi ya wanakuja na possibility kwamba inawezekana hii life ya hapa duniani, imeletwa kutoka exo planets za mbali kuja kuanzisha life hapa duniani.

Kwa kifupi ningeweza kusema kutokea kwa Life duniani ni probability za kisayansi zilizopelekea Mazingira yalikuwa sahihi na hivyo Life kutokea,

So from the same note there is possibility of life elsewhere if the probable condition is Right kama ya hapa duniani (Earth like planet).
Kitu cha msingi ni kuwa Open minded hopefully, newly launched James Webb Space Telescope itakuja na interesting data zinazoweza ku'suggest existance of Life ktk distant planets!

Share your curiosity ideas!
Karibuni...!​
Sababu ya big bang kutokea ni nini!?
Every cause have an effect and every effect have a a cause what was the first cause of
all the cause?
Kuhusu evolution usinitajie Dwarni b'coz hakuna sehemu alitaja how evolution
ilitokea kwenye kitabu chake cha orgin of species ajabu hakuna mahali ameelezea orgin of
species bali how wanamantain consistency kwa maana ya sababu inayopelekea species moja
kuendelea kuwepo mfano ni watu wenye haemophilia kufa before reproductive age ili
wale wenye defects wasiweze kuwepo kwenye coming generation.
Huyu aliwin noble prize kwenye botany kama utam-quote kwenye botany nitakuelewea.
Ukinipa na sababu zilizopelekea hawa smart kuishia kuteneneza amino acid maabara nitakuelewa.​
 
Kati ya maswali ambayo ni magumu kuyajibu ukiiulizwa hili ni mojawapo, maisha yalianzaje duniani mpaka kuweza kutokea kwa aina mbali mbali ya viumbe ikiwemo na binadamu, (diversity if Life).

From Scientific Angle, haya ni maswali ambayo yameweza kufanyiwa utafiti na kupelekea kupatiwa majibu katika theorized form, hopefully huko mbeleni baadhi pia wanaweza kuja na more strong evidence katika ku'support hizi Origin of Life theory!

So tuanze na swali, kiumbe yeyote ambaye anaishi Biologically na Chemically ametengenezwa na nn!!!?
Simple answer ni DNA,
Tukienda deep zaid whats the Chief constituent of DNA ni Protein (Amino acid)
Swali la msingi linakuja whats the building block of Amino acid ni mchanyato wa Carbon, Hydrogen, Oxygen, Nitrogen na other elements kwa kiwango kidogo kama Phosphorus na Sulphur.
(Hizi ndo chemicals ambazo zimetengeneza Animal and Plant bodies)

Kwa maana nyingine Life ilianzia kwenye supu ya elements mbali mbali ambapo ziliweza kuuanganika katika mazingira yaliyokuwa sahihi (desirable conditions) na kuweza kutengeneza simple amino acid (Protein) then DNA ambapo ndio building block of Life.

So next ukisikia scientists wanaongelea wanatafuta evidence of life katika Exo Planets (Sayari za mbali kama Mars!) haimaanishi wanatafuta exactly viumbe, bali wanatafuta elements au chemicals ambazo ni building blocks of life kama hizo ambazo nimezieleza hapo juu, Ziweze ku'suggest either life existed or it might exist in future.

Wanasayansi wameweza kuunganisha hizo elements kimaabara na kutengeneza amino acid ambayo ni Building Blocks of life, so wanaamini kwamba ili kuweze kuwa na possibility of life lazima hizo chemicals ziwe around in favourable condition
so kama Out of Nothing, life iliweza kutokea dunian so may be it can emerge as well in other distant planets provided that the conditions are Right.

So viumbe wote tunaoishi (wanyama na mimea) tunatengenezwa na the same building block of life of chemicals, zinazopatikana katika Cosmological Dust ambazo zipo katika maeneo mbalimbali katika ulimwengu (universe).

Na mara nyingine katika research ya Vimondo (mateorites) zinadondoka hapa duniani kutokea sayari za mbali pia zina'suggest kuwepo kwa hizo building blocks of life, ndio maana baadhi ya wanakuja na possibility kwamba inawezekana hii life ya hapa duniani, imeletwa kutoka exo planets za mbali kuja kuanzisha life hapa duniani.

Kwa kifupi ningeweza kusema kutokea kwa Life duniani ni probability za kisayansi zilizopelekea Mazingira yalikuwa sahihi na hivyo Life kutokea,

So from the same note there is possibility of life elsewhere if the probable condition is Right kama ya hapa duniani (Earth like planet).
Kitu cha msingi ni kuwa Open minded hopefully, newly launched James Webb Space Telescope itakuja na interesting data zinazoweza ku'suggest existance of Life ktk distant planets!

Share your curiosity ideas!
Karibuni...!
Kitendo Tu cha wewe kusema Mars ni exoplanet kina thibitisha pasi Na Shaka yoyote kwamba hujui unacho kizungumzia.

Walatini wanasema " Falsus in uno Falsus in omnibus" kwamba false in one thing false in every thing.

Huu ungekuwa mtihani ningekupa zero.

An exo planet is a planet which is found out side our solar system and which orbits a star.

Screenshot_20220124-233324.png

Screenshot_20220124-233309.png
 
Acha kuudanganya umma mkuu,kwanza lazima utambue bodies ya kiumbe yoyote inatengenezwa na aina nyingi za sell mbali mbali. For-instance kirusi, bacteria nk wote wanaundwa kwa seli moja lkn kwa viumbe wengine kadiri kiumbe kilivyo kikubwa na ndio jinsi gani inaonyesha kimetengenezwa na seli nyingi. Tuanzie hapo kuna kitu unakificha hapa weka wazi
Kwahiyo anadanganya umma au anauficha umma?
 
Pomoja na mawazo haya kuhusu sciences
Lakini je hakuna nguvu ya asili inayoendesha mambo
Je Katika maisha yote ambayo umeyaishi hujawai kukutana na kisa ambacho kilikufanya uamini kwamba kuna Mungu?

Ukiachana kuaminishwa na watu wengine
Wewe mwenyewe tu hujawahi kuface changamoto ambayo ilikufanya uzame kwenye maombi japo kwa imani finyu lakini ukapata matokeo yaliokufanya uamini kwamba kuna nguvu halisi zinazoendesha haya mambo?

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
nakumbuka nilipokua form 2, nyumbani kwetu mama yangu alikua muombaji pale nyumbani kuna Binamu yangu alianzisha kikundi cha maombi cha vijana wanafunzi,
walikua wakija kuomba nyumbani kwetu kila ijumaa,
Mama alikua ametenga chumba cha maombi, binafsi kwa wakati ule sikuwa napenda wale vijana waje kuomba kwetu, ( nilikua nalazimishwa kusali pamoja nao, koio nilikosa kwenda kwenye mpira na PES na rfk zng).

One friday tukiwa mule ndani kwenye ibada kuna sister flan alikua anafundisha Biblia, wkt akifundisha mi nilikua nampimia kimoyomoyo, I prefer not to say niliyokua namuwazia.. That Friday ibada ikaisha

NEXT FRIDAY NIKAZEMBEA nikajukuta nimechelewa kutoka nyumbani mapema bi mkubwa akanambia niingie nisali na wale vijana,
Niliingia Ibadani, kukawa na muda wakushuhudia ikafika zamu ya yule dada akashuhudia akasema alikua akiomba Roho wa Mungu akamuonesha jinsi baadhi ya vijana mule tusivokua waaminifu, Aise akanza kusema kuna mtu yumo humu alikua anwza hivi na hivi ibada iliyopita, kasema kila kitu nilichokua namuwazia, Daah kilinshuka aisee, sema hakutaja ni nan aliesema japokua kuna wengine wakawa wanataka aseme ni nan,

Kwa wakati ule niliona kawaida sijui sababu ya utoto,
ila ile kitu ilikujanisaidia sana kuwa persuaded mbeleni kuwa kuna Mungu tena Mungu anaejua hata yale ninayowaza ambayo siwezi mwambia mtu,

Kuna Moments huwa nareason uwepo wa Mungu Ila nikifikiria hii scenario uwa naamini kuna Mungu.
 
Tafakari tu kuwa kuna nyota nyingi kwenye ulimwengu wetu kuliko michanga yote duniani...Na sayari zilizopo ni nyingi kuliko nyota..Hapohapo sayari zenye mazingira ya kusapoti maisha ni nyingi sana karibia 50% ya sayari zote
Hivyo kuna sayari karibia nusu ya mchanga wote duniani zenye uwezo wa kusapoti maisha.
Ukitafakari pia kuwa hii dunia imeanza kusapoti maisha baada tu ya kuwa formed (Dunia imekuwa formed miaka bilioni 4.5 iliyopita na maisha yakaanza miaka bilioni 3.7 iliyopita,,yaani gepu la miaka millioni 800 tu)
Hapohapo Dunia yetu ni sayari changa sana, Maana ulimwengu umeanza miaka billioni 13.8 iliyopita..Kwahiyo yapo masayari mengi tu yenye uwezo wa kusapoti maisha tena yamekuwepo miaka mingi kabla ya hii dunia.

Logicaly ilitakiwa ulimwengu wetu uwe umajaa life..Lakini swali ni kwanini mpaka leo hatujapata hata dalili yoyote ya maisha nje ya dunia??
Hii ndo inaitwa Fermi's paradox
 
Lile tukio la adam pale paradiso ni hekaya za abunuwasi? Coz limetokea miaka 5000 tu iliyopita according to bible.
 
Sasa Mzee kwani zile Veda Za wahindi zimeandikwa mwaka Gani??? Mbona Ni kama hiyo hiyo 5000 iliyopita...kwahyo pale Israel Mungu anamuumba Adam Huku India watu wameshaadvance mpaka stage wanaandika vitabu?
 
Usiende mbali huko..
Mwaka 5000 Egyptian civilization ilikuwa live...waEgypt walikuwa wanaendelea na maisha kama kawa..

Hadithi nyingi za bible zimetoka kwenye hekaya za Egyptian.
 
Back
Top Bottom