Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,545
- 738
wandugu natumaini mmeamka salama na mnachapa kazi kwa kwenda front......napenda kujua ni kweli orientation kwa MBA open University itaanza week hii maana nimekuwa nikiwasiliana na hawa jamaa kila mmoja hanipi jibu la kueleweka.