Order ya simu

Pi

Pumbvu sana wewe. Sasa kwani umelazimishwa hapa. Nyooooo
Eeeeh Mrs S, biashara haistawi kwa wenye hasira. Uliwahi kuona mtumwa katolewa neno baya na mfalme naye akajibu! Busara ni kutojibu ukitukanwa, jaribu njia hiyo.
 
Utajichekesha, utajipendekeza, utajiliza, utajitukanisha lakini uzi ni ule ule!!!

Hutowaibia miongoni mwa wanaosoma uzi huu.
Na usiondoke wewe ukae hapa hapa maana unanisaidia wateja kweli na wanakuona mweu wewe tena wanaume wenzio khaaa unahayaa kijuso
 
Wewe simweu endelea mteja mwingne kaja in box anataka iphone 7 nimemwambia kama aniamini tukaandikishame anapo taka yeye kwa hyoo polee
"Mweu" ndio mwehu au.
Mbona una uelewa mdogo hivyo?
 
Sasa kama hakujui atafanyaje biashara na wewe!? Mfanyabiashara gani wewe unahamaki hivyo?
 
Eeeeh Mrs S, biashara haistawi kwa wenye hasira. Uliwahi kuona mtumwa katolewa neno baya na mfalme naye akajibu! Busara ni kutojibu ukitukanwa, jaribu njia hiyo.
Asante kaka wastarabu nawajibu wanaelewa kabsa ila huyu katumwaa na kapotea njia ndio maana wenzie wanamuona mweu kaka wastarabu nawajibu kwa ustarabu na wanaelewa na sina hasira maana nimoja ya changamoto kaka za biashara kwenye mafanikio watu kama hawa wapo na huyu sio mteja kaka mteja anakuja pm na kwenye simu kwa ustarabu na mwingne ananiuliza humu ndani namjibu kwa ustarabu ataukiangalia ni huyu jogi tu ndio ananisaidia siku inaenda na wateja wananifuata ananipa msaada mkubwa sana na furahi na sijutii kukutana nae humu jf mpaka sasa amenisaidia sana siunajua kunawatu wanakuja kama daraja iliuvuke kaka ufike uendapo kaka angu
 
Ujion unakuwa chizi kaka angalia upayukaj wako ataukuaji wako niwashida sana Mungu akusaidie unadhan kuna machiz watakao kuangalia kama wewe ulivyokuwa unakaz au ndio wale walio tolewa kwenye list ya vyet feki polee
Kama unafanya biashara kaa kimya usjibu matusi ya watu, matusi yanakupunguzia credibility.
Kama unajua marketing tafuta namna ya kufanya watu wakuamini, wanakutusi usiwajibu, kaa kimya jibu wenye kuuliza bei na details za biashara.

Ni muhimu sana kua mkimya na kujibu kauli nzuri kwenye bishara ndio maana hata ukipiga simu customer care ya voda,tigo, halotel au airtel hata ukimtukana matusi ya nguoni huyo mtoa huduma bado hatakujibu matusi yako sana sana atakwambia "asante kwa kuchagua vodacom nakutakia mchana mwema"
Kua makini tafuta njia ya kuaminika, kikubwa ni kuaminika tu, ukishaaminika wateja wapo wengi sana humu.kuna wauza bidhaa wenzako walishaaminika humu saivi wanakula ela kiulaini kila mtu anawaamini.
Nakupa mifano kuna member anaitwa abdulwahid anauza Eletronics kama TV kutoka Zenji huyo anauzia watu mizigo hapa hapa jf na watu wanamuamini sana.
 
Weka mkakati wa kuwafanya wateja wako wakuamini. Mtu hakuachii pesa tu kwa vile umempa namba yako ya simu. Tafuta japo mdhamini basi ambaye anafahamika, ana integrity, ana mahali permanent anaweza kupatikana, nk. Rafiki pesa huwa haitolewi kama karanga za kuonja!
 
Sasa kama hakujui atafanyaje biashara na wewe!? Mfanyabiashara gani wewe unahamaki hivyo?
Kaka usipate tabu na huyu wewe muache wastarabu wanaelewa na ndio akili zake zilipo fikia hapo na ninamshukuru sana siwez kushindana nae hila ananisaidia sana kiukweli yaan jogi endelea na kaz yako hyoo sawaa ya kujitolea ningekuwa na kujua ata ningekutumia ela ya soda ya jero ila tumekutana jf humu humu utakunywaa soda jogi
 
Kuna MTU alituibia kama we we humu,akasema office IPO moroko Mara ooh mzigo unakuja subiri zikawa nyingi
 
Nikweli kaka unavyosema na mm uwa napenda trust na asante kwa ushaur wako Mungu akubariki ila siunajua biashara zinachangamoto kaka na jogi na wengine sitoweza kushangaa kaka kila mtu anauelewa watofauti kaka angu mm na mshukuru amenisaidia wateja wanakuja inbox kwenye simu na zaid anajionyesha alivyo kwa hyoo na kufanikiwa watu kama hawa wapo wengi sana kaka angu na wengie uja kama daraja ufike mbali kupitia wao kaka lengo la jogi ni kunikatisha tamaa ila anijui simjui maskn ya Mungu na ajui nimeanzia wap kwenye maisha hvyo sito mshangaa atakidogo muachee aendelee hvyoo hvyoo waelewa wanaelewa na wenye kujua wameshamuelewa ni mtu wa aina gan huyu kaka
 
Nikweli kaka na ndio maana nikasema
 
Napokea order ya simu mzigo nachukulia korea nazileta kwa order unaniagizia unalipa advance mzigo ukifika unamalizia pesa unachukua simu yako
Utawapata wasiojielewa na wapo wengi tu waliokuja mjini juzi lkn kwa vijana wa mjini imekula kwako iyo.
 
Nikweli kaka na ndio maana nikasema kuwa ata wakitaka polisi twende tukaandikishane ili waweeze kuniamini kaka angu
 
Nikweli kaka na ndio maana nikasema kuwa ata wakitaka polisi twende tukaandikishane ili waweeze kuniamini kaka angu
Weka kivuli cha leseni yako ya biashara hapa.
 
Kuna MTU alituibia kama we we humu,akasema office IPO moroko Mara ooh mzigo unakuja subiri zikawa nyingi
Mrs S, shughulikia wasiwasi wa Chuck j ambao najua wengi wanao. Kumbuka tapeli huwa hana rangi, wala kitambulisho chochote. Watu hawataki kuanza kusikia simu ya mteja huyu haipatikani. Hebu jipange upya, biashara ipo.
 
Tapeli mzoefu.
Asante jogi unanisaidia sana jaman uwee unaangalia bando au kama ni wifi isiwee hinasumbua unapo kuwa unandika hv wastrabu wananifta na kuniuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…