Oprah Winfrey lands Tanzania

Oprah Winfrey lands Tanzania

Tanzania itegemee watalii wengi sana mwaka huu,big up madame Oprah
 
Wangekuja wengi sana lakini hawa mburula waliowamwagia tindikali wale wasichana waingereza wametuharibia kila kitu!!! Nchi sasa inaonekana sio salama kama zamani; amani imetowekai!!!
 
Wangekuja wengi sana lakini hawa mburula waliowamwagia tindikali wale wasichana waingereza wametuharibia kila kitu!!! Nchi sasa inaonekana sio salama kama zamani; amani imetowekai!!!
Mkuu kitendo cha kumwagia wasichana wa watu tindikali ndio tumejimaliza kabisa kitalii, wageni wengi hasa hasa wa kutoka Ulaya na Merikani si rahisi kutofautisha Zanzibar na Tanzania bara. Headlines ni - Watanzania wamemwagia tindikali visichana vidogo, katikati au mwishoni mwa habari ndio wanasema tukio lilitokea ni kisiwani Zanzibar!
 
Mungu Mkuu,
Tunachafuka wengine wanatusafisha.
Tanzania nchi yangu.
 
Wangekuja wengi sana lakini hawa mburula waliowamwagia tindikali wale wasichana waingereza wametuharibia kila kitu!!! Nchi sasa inaonekana sio salama kama zamani; amani imetowekai!!!

Kila siku tunawaambia maCCM kuwa huu muungano ni mzigo but yanakuwa vichwa ngumu kwa kuwa muungano unawakilisha maslahi yao binafsi. Kuna haja gani kuungana na watu wanaokosa ustaarabu kiasi cha kumwagia tindikali wageni. Ukishamtendea ubaya mgeni ambaye hajakufanyia kosa lolote unapeleka image kuwa watanzania wote ni machizi.

All in all Oprah ametupaisha kimtindo, hope wengi watakuja baada ya yeye...
 
Kinana siku zake zinahesabika maana alianza Obama, akaja Clinton na sasa Oprah anaongelea kupambana naye kukomesha ujangili...
 
Well,ni mtindo ule ule.
BIG RESULTS NOW.
utalii sasa utapata neema,japo na huyu ni rafiki yake mkubwa na obama,tutegemee na ujio wa J.Z NA BEYONCE + Real wine
 
Mambo kama haya ndio yatufanya tutofautine na sheikh Ponda, wakati wengine tukifurahia ujio wa watu maarufu nchini Ponda na jamaa zake wanafikiria kumwagia watu Tindikali ili kuwatisha na kuvuruga mipango ya kitaifa.
 
MOST and WARM WELCOM and nice stay in Tanzania the LAND of safaris and adventures.
Tanzania is your home away from home !!
 
Back
Top Bottom