Oprah Winfrey lands Tanzania

Oprah Winfrey lands Tanzania

Mkuu kitendo cha kumwagia wasichana wa watu tindikali ndio tumejimaliza kabisa kitalii, wageni wengi hasa hasa wa kutoka Ulaya na Merikani si rahisi kutofautisha Zanzibar na Tanzania bara. Headlines ni - Watanzania wamemwagia tindikali visichana vidogo, katikati au mwishoni mwa habari ndio wanasema tukio lilitokea ni kisiwani Zanzibar!

Kwani wewe hujui kama kuna muungano sasa utatofautisheje Zanziba na Tanzania bara?
 
Habari zenu wana JF,

Nimependezewa sana na Interview ya mwanamama tajiri wa kwanza duniani kuipa promo Tanzania hususani serengeti. Zimeonyeshwa picha alizopiga serengeti, na clip ya video aliyoichukua yeye mwenyewe na simu yake ya mkononi akiwa mbugani humo! Wametumia zaidi ya dakika tano kuongelea uzuri wa Tanzania, ameanza kwa kumreccommend mtangazaji aplan kuvisit Tanzania, hususani serengeti!

Kwa mwanamama kama huyu, kuzungumzia Serengeti zaidi ya dkika tano inakuwa na impact kubwa sana kwenye sekta ya utalii, maana mwanamama huyu show zake/interview anazofanyiwa zinafuatiliwa na almost dunia nzima, hivyo kila mtu atakuwa anamihamu yakufika huko serengeti!

Hii imekaa vizuri sana.

Last edited by a moderator:
Hii ni njema.SANA kwa nchi yetu ila swali la msingi ni je tz inafaidika.vipi na utalii huu? Ni kiasi gani hasa kinabaki tz?ni kiasi gani kinaingia kwenye mzunguko rasmi wa pesa ya serikali?
 
Mkuu Tanzaia is getting a peanut kila wanapokuja watu kama huyu Mama.Malipo yote hufanywa nje ya Nchi na wazungu na Tanzania we only direct money toka kwenye hotels , part entry na vitu vichahe .Makampuni ya wazungu yanafaidi utalii zaidi ya sisi wazawa na Nchi kwa ujumla .Hili serikali inalijua lakini they are not ready to change na wabunge wao wanawaza kuongeza gharama za utalii bila kuangalia Nchi na wananchi wanapataje faida .
 
Twajipangaje kwa mambo yetu? Je tuna upendo wa kweli au binafsi ndo umetutawala? Raslimali zenu zinapewa umuhimu upi ktk kuzitunza?
 
Mkuu Tanzaia is getting a peanut kila wanapokuja watu kama huyu Mama.Malipo yote hufanywa nje ya Nchi na wazungu na Tanzania we only direct money toka kwenye hotels , part entry na vitu vichahe .Makampuni ya wazungu yanafaidi utalii zaidi ya sisi wazawa na Nchi kwa ujumla .Hili serikali inalijua lakini they are not ready to change na wabunge wao wanawaza kuongeza gharama za utalii bila kuangalia Nchi na wananchi wanapataje faida .

huo ndo ukweli oa ndo maana tuoapigia kelele haya mamikataba yao ya uchochoroni
 
Guys a Tanzanian with a visitors visa na status ambayo si kamili hawezi kufanya kazi hata chafu Ulaya na USA .Hata ukioa mzungu na kuolewa ukataka lolote kama biashara na kazi ni ngumu hadi muda Fulani tena kwa mbinde .Wazungu wanakuja Tanzania hawana vibali vya kuishi na wanafanya biashara .Uhamiaji wanahusika kuwapa permits na jamaa wanaingia katika bank zetu wanachukua pesa wanaanza business ya utali na mengineyo .Makampuni ya Utalii ya Ulaya na USA wana ofisi zao kwao na TZ wanaweza vi branch vya operations tu pesa yote haiji ila wanaleta pesa za operations tu .Kodi hailiwoi Tanzania ila wanalipa kwao.Ukienda katika maonyesho uaya utashangaa umelipia banda la maonyesho tena unatakiwa kuwa na kibali zaidi hii yote ni kuwafanya wazungu pekee wauze Utalii wetu .Mara wataomba insurance mara hiki wakati mbuga ziko Tanzania.Wazungu wanakuwa hadi ma tour guides na vijana wetu wanabakia hawana kitu .Ukiwauliza watu wa wizara husika unapewa maelezo marefu ya kupinda pinda tu na kutetea policy za kijinga .Mie sijaona hata faida .Watakuja wageni wataenda kwa kampuni aliyo pitia Oprah nayo itakuwa iko USA sisi hakuna kitu .
 
Nani kati ya viongozi wetu anayejua utalii na faida yake. Wangelikuwa wanajua hilo basi wasingelikuwa wanakomalia mambo yanayokwaza utalii kama tuhuma za ugaidi. Tukio la arusha kila kiongozi alisema Ni ugaidi. Wenzetu wanajua pamoja na moto kuteketeza airport katika mazingira ya kutatanisha, wamekataa kabisa kuhusisha na ugaidi. Mama kaja na ameondoka, wiki ijayo tutaspendi ma milion kutangaza huko UK. Miezi kadhaa wanasiasa uchwara wanatangaza ugaidi wa chadema nchi nzima. Ni shamba la bibi kwa sasa.
 
Kaka kwa CCM hawawazi Nchi.Wao wanawaza madaraka at any cost ,wata repair baada ya kupata madaraka .CCM wako tayari kuua hata kubakia watu 10 na waendelee kutawala ndilo pekee wanalo lijua .
 
Oprah isn't as kind as many might think she is. Last week, she went on TV to strongly accuse a Swiss sales girl of being a racist. Her argument was that the girl refused to sell her a handbag after thinking Oprah couldn't afford it because she is black. But it has now turned out that she made up the claims as an attempt to promote a movie produced by her former boyfriend. That really was a very sinister public stunt by the richest black woman on the planet, and I am not going to hand her any credit for whatever good she has said or done about Serengeti until she makes a personal apology to that poor traumatized shop assistant.
 
mama yupo busy, ila ameingia ktk limeline week hii baada ya mzungu wa swiss aliyezoea kuona weusi wenye kuburgain na kushindwa nunu vitu vya bei fulani,alipojaribu mkatalia mama tajiri kuliko wanawake wa kizungu walipata hela kwa jasho yao kuona aina fulani ya viatu.Walipokuja sikia kuwa waliyemnyima kumbe angeweza nunu maduka kadhaa na kuyatoa bure wakajilaumu na kusingizia kuwa hawakutumia program zeny utambuziwa sura ili kudaka celebrities.Bado hawakujua kuwa jibu ni la kipuuzi, kuwa bado haijatetea kitu cha msingi cha ubaguzi wa rangi.

Sasa hivi huyu mama atakuwa hewani kwa miezi kadhaa kwa kila kitu atakchoongea.Kawapa jibu zuri sana kuwa wala hakutaja duka, wala hakusema ni wa swiss wote au taifa la swiss,ila ilimkuta akiwa swiss...kawakata ngebe walipotaka aombe msamaha.Kawaambia hakuna issue ya kuomba msamaha kwa wanachokita kuwa haikuwa ubaguzi wa rangi,ila ni kutoelewana tuu..na Opraha kuita swiss waabguzi wa rangi ni makosa.
 
Atawabadili black haswa wanwake wasiopenda kabisa kwenda porini au kupanda milima...kwani wao hupenda magorofa makubwa, kupiga na Manadela picture south, brazili beach, jamaika kwa ajili ya shooting basi.

Black actors wengi sana wamekwenda Porini na mlimani,ila wapuuzi hawakupenda kabisa kuongea kitu wala kuweka picture ktk social networking.pengine sasa watajifunza fungua midomo angalau kma kujisifia tuu km si kukaribisha watu wengineHaswa vijan wadogo,kwani gharama zake ni affordable kwa watu wa magahribu km watapitia package nzuri na za bei nzuri,na si zile bei za Sasakwa na wengine.
 
Tatizo si kutangaza , ila tatizo kubwa ni kuiba TWIGA, KUUA NDOVu na sasa tunakoelekea hata SIMBILISI wataibiwa tu lazima tupate ka-dikiteta fulani hapa nchini katurambe bakora ndio tushike adabu zetu. Nchi imeoza kila kona, harufu tupu. Madawa ya kulevya, mauaji ya raia, polisi kutumia nguvu kupita maelezo, udini na siasa chafu puuuuuuuuuuuuuuuuuu.

Hatuwezi endelea hata tutangazwe usiku na mchana lazima tubadilike na tuwe na uzalendo na nchi yetu na kulinda na kuheshimu rasilimali zetu.
Nawasilisha
 
Mkuu Tanzaia is getting a peanut kila wanapokuja watu kama huyu Mama.Malipo yote hufanywa nje ya Nchi na wazungu na Tanzania we only direct money toka kwenye hotels , part entry na vitu vichahe .Makampuni ya wazungu yanafaidi utalii zaidi ya sisi wazawa na Nchi kwa ujumla .Hili serikali inalijua lakini they are not ready to change na wabunge wao wanawaza kuongeza gharama za utalii bila kuangalia Nchi na wananchi wanapataje faida .

Mnayajua yote haya? CHUKUA HATUA
 
Back
Top Bottom