DAR si LAMU
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 2,928
- 544
Haya maswali nasubiria kuona yatajibiwa vipi na wana ccm hapa jamvini. Hapa nilipo nawasiliana na wapinzani kujua tofauti ya kupiga hapana na kuabstain ni nini hasa na itasaidia nini kwenye bajeti hii.
..ngoja nijaribu,
..ukisema hapana,maana yake huitaki.
..ukisema una-abstain maana yake unachelea maana kuna mambo hayajakaa vizuri na hayataki haraka.