Opportunity | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Opportunity

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Nassoroc, Jan 16, 2012.

 1. N

  Nassoroc Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 20, 2008
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulimwengu wa Internet unabadilika kila siku....wapo wanaoneemeka na wapo mazuzu wanaoibiwa kwenye mitandao kutokana na uchanga wao kwenye mambo ya Internet. Hivi sasa kuna kitu imeanzishwa; jaribu kugonga hapa WAZZUB - The Power of "We"! ili upate maelezo zaidi. Kwa kifupi, huo ni mtandao sawa na Google, Yahoo, Facebook au mtandao mwingine wowote unaoufahamu! Tofauti iliyopo ni kwamba, waanzishaji wa mtandao huu wanadai kwamba kwa wale watakaojiunga nao(members), watakuwa wanalipwa malipo kutokana na matangazo yatakayopatikana kwenye mtandao huu! Wapo, wanaoamini kwamba jambo hilo ni la kweli (kwamba members watalipwa) na wapo ambao hawaamini kabisa! Binafsi, ninaamini kwamba, ktk dunia hii lolote linawezekana! Unachotakiwa kufanya ni umakini wako tu!! Kama jambo lenyewe linakuambia utoe kwanza pesa, then achana nalo! You are looking for money; so how come utoe pesa kwa mwingine kirahisi rahisi tu hivi!!

  Uzuri wa hao jamaa kwenye hiyo link, hawatozi chochote; ila wanadai watakaojiunga watakuwa wanalipwa!!!! Imekaaje hii?! Kwamba, unajiunga, then unawa-invite wenzako idadi yoyote ile! Assume ume-invite 5 friends, na wao kila mmoja aka-invites 5 friends, na hao nao kila mmoja akafanya hivyo hivyo, inaweza kufikia wakati kwenye chain yako ikawa na members 625! Ifikapo hatua hiyo, jamaa wanadai mtu kama huyo anaweza akawa analipwa Dola za USA 3125, yaani zaidi ya Shilingi 4,600,000/= kwa mwezi!!!! Yaani, ipo hivi:

  1st. Generation 5 x $1.00 = $ 5.00

  2nd. Generation 25 x $1.00 = $ 25.00

  3rd. Generation 125 x $1.00 = $ 125.00

  4th. Generation 625 x $1.00 = $ 625.00

  5th. Generation 3125 x $1.00 = $3,125.00

  Mnaonaje hapo waungwana?! Inawezekana au haiwezekani?! Mimi sijui, lakini nime-join kwenye hii kitu kwavile sina cha kupoteza!! Na wewe nakushauri jaribu kwavile hauna cha kupoteza! Hata hivyo, usithubutu kulipa fedha yoyote kwa hatua yoyote, unless kama umejiridhisha kwamba hauibiwi!

  Unachotakiwa kufanya hapo, ni kugonga kwenye hii link WAZZUB - The Power of "We"! na kuifuata, kisha unajisajili! Ukishafanya hivyo, nawe utapewa link yako ambayo utaitumia ku-invites your fellows! Unaweza kutumia njia unayoiona ni muafaka kwako katika ku-invites friends. Unaweza kuwatumia link utakayopewa kwa njia ya e-mail au unaweza kuweka maelezo kama nilivyofanya mimi! Aidha, upo huru ku-copy haya maelezo yangu na kuyatumia na link yako! Jambo la kukumbuka ni kwamba, ukitumia haya maelezo yangu, basi toa hiyo link ya kwangu kisha paste link yako utakayopewa wewe! Ukisahau kufanya hivyo (kuweka link yako), utakuwa unainenepesha account yangu!

  .....usisahau kwamba ni wale wanafunzi wa mwanzo kabisa ambao waliamini na kuamua kumfuata YESU ndio waliopiga bao! Si hivyo tu, pia ni wale Maswahaba wa mwanzo walioamua kumuamini na kumfuata Mtume Muhammed (SAW) ndio ambao walineemeka kwanza na mafundisho kutoka kwa Allah! Nashauri wengi tujaribu hii kitu, halafu tupeane taarifa hapa hapa FB itakapofika hapo May 2012 ambapo malipo ya awali wanadai yatafanyika kwa members wake watakao-register!

  Kama una swali lolote, just ask. Unfortunately, my office is a busy office giving no room to call! Therefore, kama utakuwa na swali lolote, just beep this number: 0783 87 43 43 .Nikiona missed call yako, nitakuja hapa kujibu swali lako!

  Best wishes!
   
 2. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Walewale!
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  What I know ni kwamba there is no short cut in life.
   
 4. T

  Tekenya Member

  #4
  Jan 16, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  nielekeze namna ya kuweka hiyo link mkuu. nishatumiwa email lakin namna ya kucopy link yanu na kuipaste kwenye text ndo kumenishinda, embu nipe mbinu mkuu,
   
 5. Benzoic

  Benzoic JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 425
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Umenena mkubwa...malipo ambayo watawalipa hao watu ni fedha nyingi sana ambazo mtu mwenye akili angewekeza sehemu nyingine tayari. Hao lengo lao ni kupata members wengi then mwisho wa siku waje na idea nyingine kabisa...U CANT BEAT FACEBOOK MAN KWA MEMBERS WENGI KWA NJI KAMA HII...be crative. Kwanza ukiangalia website yao yenyewe haiko serious sana kimtazamo!!
   
 6. N

  Nassoroc Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 20, 2008
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, samahani sana! Unajua tangu niweke hii post; nashindwa kabisa ku-post...kila nikifanya posting inanikatalia na kunimwaga!!! In short, kama umeshatumiwa email; just click kwenye link uliyopewa nayo itafunguka kwenye window nyingine. Utaifuata huko kwenye new window kisha uta-log in. NB: Unapo-click link uliyopewa kwenye e-mail, angalia usi-double click. Just click once nayo itafunguka. Aidha, kule kwenye new window ndiko utakuta link yako utakayoitumia ku-invites friends. Jinsi ya ku-invite friends ni kama nilivyoeleza kwenye main thread.
   
 7. N

  Nassoroc Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: Dec 20, 2008
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usemayo mkuu yaweza kuwa kweli, lakini kama nilivyoeleza hapo kabla, let's try and see wht's gonna happen! We've nothing to loose ingawaje ni kweli itakuwa tayari tumeshawatengenezea largest users base! Hata hivyo, usisahau kwamba waweka matangazo hawaangalii idadi ya users/members peke yake bali daily average online users!!! Hivyo basi, wanaweza ku-recruit as many members as possible; lakini no matter how large the users base is; endapo watazingua, wote au largest number of users wanaweza kusepa na ku-affect kwa kiasi kikubwa mpango wao! Na hiyo inaweza kusababisha wao kupoteza deals!! Kuhusu kama layout ya website yao, hiyo sio issue sana hasa ukizingatia kwamba bado haijazinduliwa rasmi. u never knw how is it gonna look baada ya uzinduzi! But all in all, it's content that count and not layout!
   
 8. M

  Mario Gomez JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 471
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Wizi mtupu!!!!
   
 9. a

  african2010 Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Jamani tuwe serious na maisha, hivyi sisi bado tunaibiwa na lugha nzuri za mitaani, ngoja niwape siri katika biashara ya internet issue sio ela issue ni muda unaotumia hiyo biashara inaitwa affiliate business katafute katika google ni uzushi mtupu mimi nimefanya hii tokea 2003 ila hamna kitu.

  Cha msingi jamani tutumiane michanganua ya biashara ambayo inafanyakazi, rahisi na ya bei poa. tufanye kazi jamani tuache uvivu.
   
 10. p

  priscilla Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umenena sina kazi lkn sidhubutu kufanya hii kitu hv kweli hata neno la Mungu linasema asiyefanya kazi na asile iweje u invite watu eti ulipwe,huu ni mkakati wa freemanson wa kutenda watu kiakili,kabla ujajiunga huku muulize kwanza Roho Mtakatifu otherwise iko siku utajua what is going on in this world
   
 11. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280

  Ameen, mie nimejiunga na hiyo kitu lakini usizani kwamba ni kazi nyepesi kiasi hicho....ku-invite watu ni ki2 kimoja na kupata watu ni ki2 kingine!!! Na kama unazani hiyo ni kupata fedha bila kufanya kazi, ningekushauri jiunge halafu tumia wiki moja tu kisha utueleze ume-invite wangapi na kuwa tayari kisha jitoe ili usimkasirishe roho mtakatifu!
   
 12. a

  african2010 Member

  #12
  Jan 19, 2012
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  usimjaribu BWANA MUNGU wako.
   
Loading...