Mambo ya unfortunately yanaboa sana.Achana na hao jamaa Tecno hata software yao sijui wameifunga switch baada ya muda flan Yale mambo ya Unfortunately yanaanza
Nina iPhone na infinix sio tofauti kubwa sana kwenye matumizi yanguUnatumia calculator...Samsung ndo the best
Nimejikwamua na oppo a15s View attachment 2012236
Dah,mzee hiyo mbona TECNO pia ipoFind my device
Na IMEI huwezi badili jombi
Hii ndo simu sasa, mpaka sasa bado tunatafuta solution yakeHUAWEI MATE 40 pro
Hapo kidogo iPhone na oppo kwenye security zinashabiaana
Oppo IDKuwa serious mkuu
Oppo ina security gan ya kulinganisha na IOS? Kwanini mnapenda utani
Tumo humo sasa Tishio la Samsung na Iphone ni hawa jamaa wanaitwa HUAWEIHii ndo simu sasa, mpaka sasa bado tunatafuta solution yake
Hapo iPhone hakanyagi mzee, maana mpaka sasa Huawei ID inawapasua vichwa developers wa Sigma KeyTumo humo sasa Tishio la Samsung na Iphone ni hawa jamaa wanaitwa HUAWEI
Hiyo ni Tecno iliyochangamkaNimejikwamua na oppo a15s View attachment 2012236
duhHiyo ni Tecno iliyochangamka
Navuta vuta pumzi nihamie kwenye OnePlus 9 pro au 8pro..sana sana 9pro.One plus nord naitamani sana.
Unafiki tuweke pembeni kunja USO kunjua roho
Simu za OPPO Ni Unyama Sana.
Nmemiliki simu ya oppo Kwa mara ya Kwanza Naona inavitu vzuri cha Kwanza ni uwezo wake wa kiusalama MTU akiiba hawezi kuitumia ni kuitupa Tu.
Bola kusahau mfumo mzima WA simu ilivyoundwa.
Nakushauri kama unatafuta simu nunua OPPO.
Wadau kama mnamaoni tutililike chini.