Oppo simu Bhana!

Oppo na xiomi ni moja ya simu za watu wa chini kwa nchi za nje
Flagship phones ni Iphone, Samsung, Oneplus na pixel pekee,
Hao wengine ni tecno zizochangamka tu
Bila Shaka unatumia infinix
 
"ukitoa iphone nafikir wao ndio wanafuata"
Wewe jamaa nimuongo sijapata kuona!!!
Nakuomba uwe unaeleza vitu kwa mifano sio kusema hivyo, kumbuka hakuna simu ambayo ina features nzuri kila idara kuzidi simu zingine bali kila simu ni nzuri eneo flani ila sio maeneo yote.
Oppo ni Reno series tu zilizobaki ni za kawaida halafu bei kubwa.
 
Acha bla bla ongea fact oppo Ni simu Kali Sana Kwa SASA kama INA tekenyeka IMEI number it's ok Ila Kwa mbinde au vipi?

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Nimezurura kwenye sites tofauti tofauti, simu kali nilizoziona ni;
iPhone
OnePlus
Samsung
Google
Xiaomi
Huawei
Hiyo simu yako ya Oppo ndiyo inafuata, jaribu kuwa mpole
 
Nimezurura kwenye sites tofauti tofauti, simu kali nilizoziona ni;
iPhone
OnePlus
Samsung
Google
Xiaomi
Huawei
Hiyo simu yako ya Oppo ndiyo inafuata, jaribu kuwa mpole
Hivi unafahamu kuwa mwanzoni mwa mwaka Huu 2021 oppo ilishika namba moja kwa mauzo ya kampuni za simu za china duniani .japokuwa soko lake kubwa lipo Asia Mpaka sasa anakimbiza
 
Hivi unafahamu kuwa mwanzoni mwa mwaka Huu 2021 oppo ilishika namba moja kwa mauzo ya kampuni za simu za china duniani .japokuwa soko lake kubwa lipo Asia Mpaka sasa anakimbiza
Hapa pia umetupiga, hebu tujuze ni Oppo toleo gani lililoshika namba moja kimauzo? Na kama alishika namba moja basi ilikuwa ni India na China tu
 
Hivi unafahamu kuwa mwanzoni mwa mwaka Huu 2021 oppo ilishika namba moja kwa mauzo ya kampuni za simu za china duniani .japokuwa soko lake kubwa lipo Asia Mpaka sasa anakimbiza
Mauzo hayaingiliani na ubora.

Samsung alikuwa ana mauzo makubwa ila alikuwa anauza midrange zaidi.
 
hamna simu ukipiga picha macho yanakuwa kama mchina
 
Hapa pia umetupiga, hebu tujuze ni Oppo toleo gani lililoshika namba moja kimauzo? Na kama alishika namba moja basi ilikuwa ni India na China tu
Simu za oppo Kwa Africa bado soko Lao lipo chini lkn oppo dunian imeanza kuliteka soko mwaka 2020 imezinduliwa mwaka 2011 huko china na kiwanda kingne kipo India hii ni iPhone ya Asia ..
 
Simu ni nini!?

Nina infinix smart 5

Performance nzuri sana

Laini kutumia Inakaa na moto sana

User interface ya kivutia

Kila muwamba ngoma huvutia kwake
Unatumia calculator...Samsung ndo the best
 
ni icho kimoja tu ndio kinafurahisha kwenye izo simu au vipo vingine tofauti na zingine.
 
WATU MNAJIDANGANYA SANA! YAANI OPPO UKIPOTEZA INAKUWA KOPO?? POLE SANA,SIKU HIZI HATA IPHONE WANABYPASS IWE OPPO? SIMU INA SECURITY NDOGO SANA HIYO,JAPO NI NZURI SIKATAI ILA TATIZO NI LCD VIOO NI VIBOVU SANA UKIIANGUSHA NI RAHISI SANA KUVUNJIKA KIOO
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…