Oppo simu Bhana!

Mm chombo yangu hii nmenunua tangu mwaka Jana mwez wa 9 cjawai kujutia hela yangu
 
Tecno Ni kifaa cha mawasiliano siyo simu.

Kama ambavyo kuna gari halafu kuna usafiri.

Unakuta mtu kanunua chombo cha usafiri halafu anasema kanunua gari.
Simu ni nini!?


Nina infinix smart 5

Performance nzuri sana

Laini kutumia Inakaa na moto sana

User interface ya kivutia

Kila muwamba ngoma huvutia kwake
 
Simu ni nini!?


Nina infinix smart 5

Performance nzuri sana

Laini kutumia Inakaa na moto sana

User interface ya kivutia

Kila muwamba ngoma huvutia kwake
infinix Ni Tecno iliyochangamka
 
Oppo na xiomi ni moja ya simu za watu wa chini kwa nchi za nje
Flagship phones ni Iphone, Samsung, Oneplus na pixel pekee,
Hao wengine ni tecno zizochangamka tu
 
Sio kweli kariakoo wanatoa iyo sema bei yake ni kunazia 70k
 
Kuna mnyama redmi achana nae kabisa mbwa yulee
security system ya simu za Xiaomi ni habari nyingine.

kuna siku nilifanya factory reset kwenye simu yangu halafu nikasahau kukumbuka password ya email niliyotumia kufanyia registration.

nilihangaika sana kuifungua. nilitumia kila option. nikawapelekea vijana fulani mtaa agrey kariakoo. hawa vijana ni watundu wa ku-unlock simu za wizi. nikawahaidi wakifanikiwa kuifungua simu yangu, nitawapa pesa nzuri ya bia.

nikawaachia siku nzima wahangaike nayo. jioni wakanipigia wakaniambia wameshindwa kuifungia. niende nikaichukue. wakaniambia braza hapa hakuna namna, jitahidi tu ukumbuke password yako.

ikabidi nianze kurecall password mbalimbali ambazo niliwahi kuzitumia. nikawa najaribu moja baada ya nyingine. hatimaye moja ikakubali.

since that day, nimekuwa makini sana. otherwise simu yangu ingeenda kuwa toy maana nisingeweza kuwa na access nayo.
 
Hiyo kitu ipo kwenye simu karibu zote inaitwa Google frp bypass.Unapo fungua gmail yako simu yako inakuwa registered by Google. Kwa hiyo ukitaka kufanya hard reset inakutaka password na ukifanya hard reset ikiwa off itafanya ila ikiwaka itataka email iliyokuwepo na password yake hata uweke e-mail nyingine haikuba ila kuna tool zinazotoa hiyo Google bypass .Ila nyingi ni za kununua zipo baazi ambazo ni free

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…