Eliud Bunju
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 375
- 707
Unafiki tuweke pembeni kunja USO kunjua roho
Simu za OPPO Ni Unyama Sana.
Nmemiliki simu ya oppo Kwa mara ya Kwanza Naona inavitu vzuri cha Kwanza ni uwezo wake wa kiusalama MTU akiiba hawezi kuitumia ni kuitupa Tu.
Bola kusahau mfumo mzima WA simu ilivyoundwa.
Nakushauri kama unatafuta simu nunua OPPO.
Wadau kama mnamaoni tutililike chini.

... inaonekana alikuwa anatumia simu ya kawaida kabla ya hiyo Oppo