Wakuu miongoni mwa mawaziri wasistahili uteuzi wao ni Shukurukawambwa,tangu wizara ya miundombinu sasa wizara ya elimu ndo inaporomoka kwa kasi. My take mtazamo wangu wakuu nawasilisha
Shukuru Kawambwa sijui analalia bahati gani? Akiwa miundo mbinu aliboronga vibaya na hadi sasa Magufuli anahangaika na madeni. Tanraods ilikuwa tatizo baada ya kushindwa kumuwajibisha mkurugenzi, pia ni chini ya Shukuru Kawambwa ATCL waliingia kwenye huu upatu wa kukodisha ndege mbovu! Sasa yuko elimu ambako mambo viwango vya elimu vinazidi kuporomoka. Sijui alikuwa anafanya nini huyu bwana kabla ya kuingia kwenye siasa lakini kwa hakika hana la maana alilifanya. Ohhhh alikuwa mifugo na uvuvi - zero!
Waziri mbovu kuliko wote ni mkulo! Kwanza hakubali kwamba hali ya uchumi wa tanzania ni mbaya, ye anaona uchumi upo tambarate tu. Kwa iyo hawezi kufanya jitihada yoyote maana haoni tatizo. Kiufupi intellectually ni mmbovu sana hadi kiutendaji. Check hata bungeni anavyostruggle kujibu hata hoja nyepesi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.