Opinion: Shukuru Kawambwa ni waziri mbovu kuliko wote Tanzania

Shukuru Kawambwa sijui analalia bahati gani? Akiwa miundo mbinu aliboronga vibaya na hadi sasa Magufuli anahangaika na madeni. Tanraods ilikuwa tatizo baada ya kushindwa kumuwajibisha mkurugenzi, pia ni chini ya Shukuru Kawambwa ATCL waliingia kwenye huu upatu wa kukodisha ndege mbovu! Sasa yuko elimu ambako mambo viwango vya elimu vinazidi kuporomoka. Sijui alikuwa anafanya nini huyu bwana kabla ya kuingia kwenye siasa lakini kwa hakika hana la maana alilifanya. Ohhhh alikuwa mifugo na uvuvi - zero!
Alienda siku moja UDSM kusuluhisha mgomo wa wanachuo akataka kuongea nao pale 'swimming pool' wakaja walipomsikia anatoa pumba wakataka kumpopoa kwa mawe aliokolewa na polisi otherwise ingekuwa hatari kwake.
 
Waziri wa mambo ya ndani nae yumo polisi wameua kiholela kaufyata bila kuwawajibisha
 
Shukuru Kawambwa sijui analalia bahati gani? Akiwa miundo mbinu aliboronga vibaya na hadi sasa Magufuli anahangaika na madeni. Tanraods ilikuwa tatizo baada ya kushindwa kumuwajibisha mkurugenzi, pia ni chini ya Shukuru Kawambwa ATCL waliingia kwenye huu upatu wa kukodisha ndege mbovu! Sasa yuko elimu ambako mambo viwango vya elimu vinazidi kuporomoka. Sijui alikuwa anafanya nini huyu bwana kabla ya kuingia kwenye siasa lakini kwa hakika hana la maana alilifanya. Ohhhh alikuwa mifugo na uvuvi - zero!
Mimi simshangai hata kidogo kwa maana nasikia ameteuliwa na Mkuu wa kaya nafasi hizokwa vile ni ndugu wa karibu! Si mnaelewa uteuzi wa John Walker? Kajaza ndugu jamaa na marafiki kuanzia Jeshi la Polisi, JWTZ, Usalama wa Taifa, Ma DC, ma RC, hadi Ikulu kwenyewe! Anahangaika nao mithili ya mwenye kushika kaa la moto likimchoma mkono huu anahamishia mkono mwingine. Si mlimwona "Mzee wa vi trilioni" alivyokurupuka na kuweweseka wakati wa kampeni za 2010? Kwa mtaji huu wa kuchakachua asasi nyeti CCM wamejimaliza. Wasubiri hukumu ya umma.
 
Wakuu miongoni mwa mawaziri wasistahili uteuzi wao ni Shukurukawambwa,tangu wizara ya miundombinu sasa wizara ya elimu ndo inaporomoka kwa kasi. My take mtazamo wangu wakuu nawasilisha

Sina uhakika kama atakuwa mbovu zaidi ya jk!!?!
 
Wakuu miongoni mwa mawaziri wasistahili uteuzi wao ni Shukurukawambwa,tangu wizara ya miundombinu sasa wizara ya elimu ndo inaporomoka kwa kasi. My take mtazamo wangu wakuu nawasilisha

uwezo alio nao ni wa kuimalisha chama tuu. Sasa kumpatia kazi ya uwaziri wa elimu ili aimalishe elimu nchini ni kama kumpatia refa wa mpira wa miguu akachezeshe mieleka.
 
Nyinyi hamjui kama shukuru kawambwa ni binamu yake jk?.

Mbona Mkuchika na Mponda Mmewasahau?.
 
Shukuru Kawambwa sijui analalia bahati gani? Akiwa miundo mbinu aliboronga vibaya na hadi sasa Magufuli anahangaika na madeni. Tanraods ilikuwa tatizo baada ya kushindwa kumuwajibisha mkurugenzi, pia ni chini ya Shukuru Kawambwa ATCL waliingia kwenye huu upatu wa kukodisha ndege mbovu! Sasa yuko elimu ambako mambo viwango vya elimu vinazidi kuporomoka. Sijui alikuwa anafanya nini huyu bwana kabla ya kuingia kwenye siasa lakini kwa hakika hana la maana alilifanya. Ohhhh alikuwa mifugo na uvuvi - zero!
Mkuu FJM nimekuwa nikisikia madeni hayo ya tanroads. Hivi yametokana na ni nini? Nani kayasababisha?
 
Last edited by a moderator:
Edward Lowassa ndio waziri mbovu kuliko wote tangu tupate uhuru. Ameihujumu kwa makusudi na kuiangamiza hii nchi kwa manufaa yake binafsi kuliko waziri mwingine yeyote.
 
mkuu huyo anajulikana,kwa si waziri tuangaze waliopo wizarani
 
Back
Top Bottom