WAZIRI:Shukuru kawambwa.
NAIBU WAZIRIhilip Mulugo a.k.a Hamim Augustino a.k.a Dick Mulungu.
Unategemea nini kwenye wizara hii kama sio madudu matupu,
Hakika hawa watu ni majanga ya taifa. Mpaka leo tarehe 25/6/2013 Wizara haijatoa majina ya watu kujiunga na kidato cha Tano wakati shule zinafunguliwa tarehe 8/7/2013,
Post za vyuo vikuu zimetoka lakini nazo ni vurugu kubwa sana watu wamepangiwa kozi ambazo hawazichagua kabisa.
Vitabu vinavyotumika shulemi vinavyopitishwa na Wizara vimejaa makosa matupu.
Hivi Kawambwa anafanya nini pale wizarani?