Opinion: Shukuru Kawambwa ni waziri mbovu kuliko wote Tanzania

Mtazamo wangu kulingana na kuporomoka kwa elim nchini nae kua kimya ni dalil za kutofaa
 
Alipokua miundombinu alishindwa kumuwajibisha mkurugenzi wa tanroads
 
Shukuru hafai kuwa mwanasiasa..mara nyingine namwona kama amelazimishwa hivi..hata naibu wake amemfunika kabisa..abaki kuwa Mbunge tu au arudi Chuo.
 
Shukuru Kawambwa sijui analalia bahati gani? Akiwa miundo mbinu aliboronga vibaya na hadi sasa Magufuli anahangaika na madeni. Tanraods ilikuwa tatizo baada ya kushindwa kumuwajibisha mkurugenzi, pia ni chini ya Shukuru Kawambwa ATCL waliingia kwenye huu upatu wa kukodisha ndege mbovu! Sasa yuko elimu ambako mambo viwango vya elimu vinazidi kuporomoka. Sijui alikuwa anafanya nini huyu bwana kabla ya kuingia kwenye siasa lakini kwa hakika hana la maana alilifanya. Ohhhh alikuwa mifugo na uvuvi - zero!
 
Waziri mbovu kuliko wote ni mkulo! Kwanza hakubali kwamba hali ya uchumi wa tanzania ni mbaya, ye anaona uchumi upo tambarate tu. Kwa iyo hawezi kufanya jitihada yoyote maana haoni tatizo. Kiufupi intellectually ni mmbovu sana hadi kiutendaji. Check hata bungeni anavyostruggle kujibu hata hoja nyepesi.
 
Kikwete maana kila nikiangalia sioni mzuri .....kawambwa, mkuchika, ngeleja, maige, mkulo, etc ni kinyaa mtupu
 
Hawa ghasia Naye hafai amekaa sana kwenye hiyo wizara na anaboronga tuu Kwanza sijui kasoma nini? Anajifanya Ana hasira sana sio mstaarabu kabisa
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom