Operesheni Ya Kuondoa Wahamiaji Haramu Maporini Mpakani Karagwe imesitishwa?

Mamlaka zikiwa sikivu nazishauri zifungue ID zao hata kama ni za uongo kama anti-mkulu wa kaya, ili wapate kupakua data zilizosheheni taarifa nyeti hapa JF
 
Mzaha uko wapi, au lengo ni uchochezi kwa watu wamchukie kiongozi mkuu,utaweza vipi kumfukuza mwenye mali na wewe huna mali
Yaani kwa mawazo yako uraia unagawiwa kama njugu tu? Sijui unaishi Tanzania ipi. Kila siku unasikia migogoro ya wakulima na wafugaji sababu ya ardhi haba. Halafu unasema wahamiaji haramu wapewe uraia na mifugo yao? Na wewe unajiita umeenda shule kweli? Nina mashaka waweza kuwa unatokea kule, hivyo unapigia upatu ndugu zako.
 
Acheni ubaguzi wa kikabila, kabla ya Tanzania au Tanganyika makabila yaliishi kimipaka au ?, kila kona ya nchi hii kuna muingiliano wa kikabila na lugha na nchi jirani
 
Nimeanza
Huko "juu" amri inakotoka ndiko kwenye tatizo! Mifano iko mingi tu:
1. Unakumbuka wavuvi wetu waliuawa na askari wa Rwanda mpaka Mwigulu akafanya ziara na kuahidi kuongea na wizara ya nje ili tupate tamko rasmi la serikali ya Rwanda? Hilo likafa kimyakimya, maisha ya watanzania hawa yakapotea hivi hivi. :: Askari Wa Rwanda Watuhumiwa Kuendesha Mauaji Ya Wavuvi Wa Kitanzania Mto Kagera
2. Hujuma dhidi ya operesheni dhidi ya wahamiaji haramu sio jipya tayari thread zipo humu: Asimamishwa kazi kwa kukamata Wanyarwanda porini
3. Rwanda ndio iliyotushauri tununue ndege sio mainjinia wa ATC wala bunge!, Rwanda ndio tunaiga usafi wa jumamosi na mambo mengine ya ajabu ajabu kama kutoleana bastola bila sababu.
4. Eti wataalamu wa IT Tanzania hawapo wako Rwanda, wakati sisi tuko huku miaka kibao tunafanya IT hio hio na hao wanyarwanda tunawafundisha sisi! Mtu anataka awakabidhi mifumo ya bandari!
5. waliopinga mbinu za Rwanda kututawala kupitia bunge la EAC wanafukuzwa kwa kauli za "huyu sitaki kumsikia....sitaki mjadala" !!!

Ninaanza kuwa na wasiwasi na huyu aliye juu.....
Nimeanza kuogopa sana. Kuna kitu hatari mbele yetu.
 
"MGENI" hawezi kua mzalendo hata sikumoja,

"MGENI" hawezi kukubali watu wa nyumbani kwake wapate shida, mfano mzuri ni Ule wa Yusuph wa kwenye Bible, alipofika Misri akapata madaraka makubwa, njaa ilipotokea kwao unakumbuka alifanya nini?

Mgeni ni Mgeni tu.

Mtamuelewa vizuri ataposema "nitafia hatamuni"
 
Kwa mtiririko wa mambo unavyoenda kuna haja ya kuchunguza uraia wa pale juu. Wananchi tunaanza kuwa na wasiwasi kwa haya makatazo kuanzia kuuawa kwa wavuvi wetu mpaka kusitishwa kwa hii operesheni.
Huna haja ya kuchunguza, haya mambo yako wazi tu na inaeleweka, wala sio siri.

Kilichotugharimu ni kile kikaratasi alichoingia nacho kikwete mule ukumbini na Mzee Lubuva tu. Nothing else.
 
Wewe unahitaji mshauri maalum. Hadi sasa unachojua vizuri ni kuperuzi mtandao.
Huyu atakuwa mmoja wao. Hajui historia ya Banyamulenge wa DRC. Mpaka leo DRC imekuwa destabilized sababu ya hao jamaa. Na unaweza kukuta naye eti ana degree.
 
Yaani kwa mawazo yako uraia unagawiwa kama njugu tu? Sijui unaishi Tanzania ipi. Kila siku unasikia migogoro ya wakulima na wafugaji sababu ya ardhi haba. Halafu unasema wahamiaji haramu wapewe uraia na mifugo yao? Na wewe unajiita umeenda shule kweli? Nina mashaka waweza kuwa unatokea kule, hivyo unapigia upatu ndugu zako.
Jaribu kufikiri tu vizuri, unawatoa wahamiaji na mifugo yao halafu nini kinafuata, mifugo yao ikiwa nchini itachangia kukuza uchumi kuanzia ngazi ya wilaya hadi taifa, ubunifu ni kitu muhimu katika uongozi
 
Rwanda hawana sehemu ya malisho na wsnategemea sana tz Kikwete aliweza.

Dr Magufuli Rais wa Tanzania ukisitisha zoezi alilolianzisha Meja Gen Kijuu Mkuu wa Mkoa wa Kagera kuhusu wahamiaji haramu toka Rwanda utaleta sintofahamu kubwa sana.

Nimekaa Karangwe,nimekaa Rwanda,Nimekaa Ngara naifahamu vizuri sana hii biashara ya Mifugo ya hawa ng'ombe wa pembe ndefu ni nani wana kula pesa na ujasiri wa wanyarwandi ktk kutafuta malisho.

Tafadhali mwache Man Gen Kijuu afanye kazi yake ya kusafisha mkoa wake.
 
Nilisema na ninasema tuchunguzane uraia. Si bure Bahima empire imeanza kwa kasi. Tuta/metawaliwa na wageni wavuruga taifa
 
Jaribu kufikiri tu vizuri, unawatoa wahamiaji na mifugo yao halafu nini kinafuata, mifugo yao ikiwa nchini itachangia kukuza uchumi kuanzia ngazi ya wilaya hadi taifa, ubunifu ni kitu muhimu katika uongozi
Wewe bila shaka ni mmoja wao, sina haja ya kuendelea kukuelimisha kwa kuwa unamaslahi nao.
 
mtoa mada yuko sahihi, hata trump leo hii anadhibitiwa na katiba ya marekani. Vinginevyo hali ingekuwa mbaya. Mwenendo wa mtu humuweka wazi kama ni mgeni au mwenyeji. haiwezekani wewe uwe baba wa nyumba wa A lakini kila siku unahujumu nyumba yako kwa maslahi ya nyumba B!
Na kwa taarifa yako tumeshawahi kuwa na "wageni" katika ngazi mbali mbali kuanzia uenyektii wa mitaa, ukuu wa mikoa, mpaka ubalozi. Na wote hao walipata vyeo hivyo kwa katiba hii hii inayokataza. Sio ajabu kuwa na "mgeni" katika ngazi ya juu kuliko zote.
Rais Kagame Kamteua Mtanzania kuwa waziri

Profesor huyu alikuwa SUA Morogoro sasa ni mtu mzito Rwanda

Askari JWTZ mwenye asili ya Rwanda atoroka jeshini!

Wafugaji Rwanda wavamia ardhi TZ waua Watanzania sita Ngara, Serikali yetu iko wapi?

Kikwete alikuwa mzalendo sana.
 
Mbona MI ya Tanzania inasifika kwa weredi wa Hali ya juu eneo la maziwa makuu
. Naamini wao wanajua zaidi yetu, hili tu linafanya kuamini hisia zako ni batili.

Binafsi sikupendezwa juzi mkuu wa wilaya ngara kutumia magari kwenye pori ambalo halina barabara kukamata wahamiaji haramu. Kwa nini tusifanye kwa kutumia chopper kama wale wasukuma wafugaji bonde la mto kilombero/selou walivyofurushwa.
Hao wahamiaji haramu na wafugaji haramu wasichekewe...
 
Hii sehemu ya andiko lako imenichekesha sana!

...tunahitaji katiba mpya itakavyovipa vyombo vyetu vya ujasuri na jeshi uwezo wa kudhibiti hali kwa usalama wa taifa letu ...ili hata tukitawaliwa na "mgeni" asiwe na uwezo wa kuvuruga safu ya vyombo vyetu kwa kupenyeza watu wanaoweza kuwa tishio kwa nchi.

Huyo ''mgeni'' ni nani na anapatikana vipi kwenye katiba mpya unayoipigia chapuo?

Hii katiba itakayoruhusu ''mgeni'' kuwa Rais wa Tanzania itakuwa ni katiba ya hovyo sana!

Kinachofurahisha zaidi, andiko lako limejikita kwenye hisia na majungu tu.

acha upumbavu na usaliti wako bila shaka wewe sio mtanzania wewe ni mnyarwanda pandikizi ulietumwa.
 
Wimbi la wahamiaji haramu ambao huingia na kundi kubwa la mifugo wakitokea nchi jirani limerudi upya tena safari hii kwa kasi na kujiamini na kiburi .Wahamiaji hawa itakumbukwa walifurushwa na aliyekuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu Jakaya Mrisho Kikwete .

Wiki iliyopita Serikali ya mkoa wa Kagera inayoongozwa na Maj Gen Kijuu ilitangaza kupitia mkuu wake wa wilaya kuingia porini kuwasaka wahamiaji hawa hatari wenye silaha kali na nzito,matokeo yalikuwa mazuri na walikuta makundi hayo kama taarifa za intelligence zilivoonyesha .

Serikali ya mkoa ilitoa onyo kuwa kabla ya mwisho wa mwezi wataanzisha operesheni kubwa ya kijeshi kuusafisha mapori ya misitu hii ya mipakani..Moja ya madhara ya wahamiaji hawa wenye malengo yaliyo nyuma ya pazia ni mpango haramu wa EXPANSIONISM ambao unajulikana wazi kwenye anga za kijasusi
Wenzetu hawa wanafadhili wananchi ...wengi wao wakiwa sio wananachi wa kawaida bali askari wao wastaafu na wapelelezi kuhamia maeneo ya mipakani ya nchi hasa Tanzania na Congo ...wakishafika huko hujipenyeza katika mpango huu haramu wa kujipanua ....wakiwa na lengo la kuhakikisha miaka 10 na kuendelea wakikaa bila kusumbuliwa wanakuwa wameshajijengea uhalali, na katika kipindi hicho wanakuwa wanapenyeza silaha ...na ikifikia kuwaondoa itakuwa ni kama vita ....hii ndio pia iliyogundulika wakati wa operesheni kimbunga ....kuna maeneo Mapambano ya kuwahamisha wahamiaji yaliambatano na wao kujibu mapigo kwa kutumia silaha nzito za kubeba begani ..RPG, LMG.. na nyingine ..

KATIKA Hali inayotia shaka inasadikika kuwa mpango mzuri wa Maj Gen Kijuu na wenzake ambao ni ma DC Aliotoka nao jeshini tayari umehujumiwa kwa amri kutoka juu .
Tunaomba wanaoipenda nchi hii wawe macho na wafuatilie kwa makini haya yanayoendelea ...tunahitaji katiba mpya itakavyovipa vyombo vyetu vya ujasuri na jeshi uwezo wa kudhibiti hali kwa usalama wa taifa letu ...ili hata tukitawaliwa na "mgeni" asiwe na uwezo wa kuvuruga safu ya vyombo vyetu kwa kupenyeza watu wanaoweza kuwa tishio kwa nchi ..ingekuwa hawa wateule wanapita bungeni basi sio rahisi mtu kubadili safu namna hii ambayo inaweza kudaka taarifa za operesheni na kuzifikisha kwa adui ambaye ana uwezo wa kuwasiliana na walio juu kuzuia

Hili sio suala dogo!!
Watutsi ndio tishio. kama mayahudi wamejaa hila na mipango ya siri siri ili kutimua wenyeji wa asili katika nchi jirani na wao kujitwalia maeneo kwa uchungaji mifugo yao. watu hawa kama wamasai hawataki kuacha mila ya kuchunga mifugo na kua wafugaji kutoka na uhaba wa ardhi. matokeo yake wanataka ikiwezekana dunia yote iwe shamba lao la kuchungia mifugo. tofauti na wamasai ambao licha ya ujasiri wao wanapenda amani watutsi ni wepesi wa kutumia nguvu kujipatia ardhi na kuweka himaya ya utawala.
 
Mleta mada mbona umepanic, kama unaleta mada jiandae kwa kukabiliana kwa hoja kujibu mawazo tofauti na siyo kuwaona wote ni wabaya
 
Ni muhimu kwa vyombo vinavyohusika na DEFENCE, SECURITY NA INTELLIGENCE kufanya kazi dhidi ya hii threat kutoka Rwanda na Mtussi ni jamii ambayo wanaamini wameumbwa kutawala wabantu baada ya wazungu kuondoka na ktk vitu ambayo Serikali ya Tanganyika wamekosea sana ni kumfanya Rwanda kuwa Mdau wetu badala ya Jirani yetu

Serikali haijamfanya,mwenyekiti wako ndie kamfanya.
 
Back
Top Bottom