Operesheni Ya Kuondoa Wahamiaji Haramu Maporini Mpakani Karagwe imesitishwa?

Major general mpaka dakika hii yeye na tim yake ya kazi wanatakiwa wajiuzuru kwakua inaonekana hayo maelekezo kutoka juu yana maslahi binafsi kwa alieyatoa.......watanzania tuamke nawaomba akina Tundu Lissu pamoja na wazalendo wengine tusimame pamoja na tumkanye huyu pandikizi anaewatetea na kuwalinda ndugu zake
 
Mleta mada mbona umepanic, kama unaleta mada jiandae kwa kukabiliana kwa hoja kujibu mawazo tofauti na siyo kuwaona wote ni wabaya

Tatizo either huwajui watutsi au wewe ni mmoja wao.Anaongelea issue ya msingi unaleta mzaha.Wamekufa RAIA 50 wa kitanzania na wauaji ni Askari wa Rwanda halafu unaleta upuuzi.

Hivi unajua kwanini Leo Kongo haina amani??Usitake tukuwekee ban ya maisha.
 
Serikali haijamfanya,mwenyekiti wako ndie kamfanya.
Serikali ni taasisi inayoongozwa na mtu ambae ni Rais na maamuzi ya Rais ni maamuzi ya Serikali na ndo maana Marais wote Duniani wanakuwa na washauri wa sector na vitengo mbalimbali ambao watu wao wanakuwa wamebobea ktk filed hiyo.
 
Major general mpaka dakika hii yeye na tim yake ya kazi wanatakiwa wajiuzuru kwakua inaonekana hayo maelekezo kutoka juu yana maslahi binafsi kwa alieyatoa.......watanzania tuamke nawaomba akina Tundu Lissu pamoja na wazalendo wengine tusimame pamoja na tumkanye huyu pandikizi anaewatetea na kuwalinda ndugu zake

Nilishaconclude kwamba Sizonje ni mnyarwanda period.Tabia na hulka yake.
 
Tatizo either hawajui watutsi au wewe ni mmoja wao.Anaongelea issue ya msingi unaleta mzaha.Wamekufa RAIA 50 wa kitanzania na wauaji ni Askari wa Rwanda halafu unaleta upuuzi.

Hivi unajua kwanini Leo Kongo haina amani??Usitake tukuwekee ban ya maisha.
Yaleyale tena, jibu kwa hoja si vihoja, uweke ban ya maisha kwa kushindwa kujibu hoja, nitafurahi sana iwapo ntapata ban ya maisha ili uweze kujibu kwa hoja
 
Sasa hivi Target yao ni Arusha, wako wengi mno na kila unayekutana nae anakwambia anataka kuamia Arusha
Wapo sana Arusha na Mwanza, kuna watutsi Wapo Njiro ni jamaa na mkewe lakini wanatumia majina ya kichagga nikashangaa sana. Wengi wao wakiulizwa kabila lao wanasema wao ni wahaya au waha kumbe si wenzetu.
 
Huko "juu" amri inakotoka ndiko kwenye tatizo! Mifano iko mingi tu:
1. Unakumbuka wavuvi wetu waliuawa na askari wa Rwanda mpaka Mwigulu akafanya ziara na kuahidi kuongea na wizara ya nje ili tupate tamko rasmi la serikali ya Rwanda? Hilo likafa kimyakimya, maisha ya watanzania hawa yakapotea hivi hivi. :: Askari Wa Rwanda Watuhumiwa Kuendesha Mauaji Ya Wavuvi Wa Kitanzania Mto Kagera
2. Hujuma dhidi ya operesheni dhidi ya wahamiaji haramu sio jipya tayari thread zipo humu: Asimamishwa kazi kwa kukamata Wanyarwanda porini
3. Rwanda ndio iliyotushauri tununue ndege sio mainjinia wa ATC wala bunge!, Rwanda ndio tunaiga usafi wa jumamosi na mambo mengine ya ajabu ajabu kama kutoleana bastola bila sababu.
4. Eti wataalamu wa IT Tanzania hawapo wako Rwanda, wakati sisi tuko huku miaka kibao tunafanya IT hio hio na hao wanyarwanda tunawafundisha sisi! Mtu anataka awakabidhi mifumo ya bandari!
5. waliopinga mbinu za Rwanda kututawala kupitia bunge la EAC wanafukuzwa kwa kauli za "huyu sitaki kumsikia....sitaki mjadala" !!!

Ninaanza kuwa na wasiwasi na huyu aliye juu.....

Mkuu kwa bandiko lako hili ni kuwa Rwanda wamesha fanikiwa ,hasa kwa haya yanayo endelea.Muda utaamua ukweli na uongo katika haya tunayo yasema leo.
 
Nilisoma na jamaa mmoja nje ya nchi, Tukampa uenyekiti wa Watanzania wote waishio katika mji mmoja wa nchi hiyo tukijua ni Mtanzania mwenzetu, Alivyograduate tu, nikasikia yuko rwanda, ni mnyarwanda na sasa ana jina la Kinyarwanda!
 
Huko "juu" amri inakotoka ndiko kwenye tatizo! Mifano iko mingi tu:
1. Unakumbuka wavuvi wetu waliuawa na askari wa Rwanda mpaka Mwigulu akafanya ziara na kuahidi kuongea na wizara ya nje ili tupate tamko rasmi la serikali ya Rwanda? Hilo likafa kimyakimya, maisha ya watanzania hawa yakapotea hivi hivi. :: Askari Wa Rwanda Watuhumiwa Kuendesha Mauaji Ya Wavuvi Wa Kitanzania Mto Kagera
2. Hujuma dhidi ya operesheni dhidi ya wahamiaji haramu sio jipya tayari thread zipo humu: Asimamishwa kazi kwa kukamata Wanyarwanda porini
3. Rwanda ndio iliyotushauri tununue ndege sio mainjinia wa ATC wala bunge!, Rwanda ndio tunaiga usafi wa jumamosi na mambo mengine ya ajabu ajabu kama kutoleana bastola bila sababu.
4. Eti wataalamu wa IT Tanzania hawapo wako Rwanda, wakati sisi tuko huku miaka kibao tunafanya IT hio hio na hao wanyarwanda tunawafundisha sisi! Mtu anataka awakabidhi mifumo ya bandari!
5. waliopinga mbinu za Rwanda kututawala kupitia bunge la EAC wanafukuzwa kwa kauli za "huyu sitaki kumsikia....sitaki mjadala" !!!

Ninaanza kuwa na wasiwasi na huyu aliye juu.....
Well said. Mbona kuna kitu watu wengi wanakiogopa kukisema haswa linapokuja suala la uhusiano wa aliyeko juu na Rwanda. Wengi wanatilia shaka na haweki hitimisho. Yanawekwa mafumbo na wengine hatuelewi. Ila kuna siku itakuja fahamika ni nini kilichojificha na hakitamkwi hadharani juu ya uhusiano wa aliyeko juu na Rwanda. Natumai angegalikuwepo Mtikila mbona zamani saaaaaana tungalielewa.
 
Kuna mtu hapa kwetu anatakiwa kufanyiwa vetting ya nguvu,, siamini kama ni Mtanzania huyu!! Sijui kwa nini wanamfumbia macho aiseeeee!!! Anastahili kupimwa mpaka DNA.
 
Well said. Mbona kuna kitu watu wengi wanakiogopa kukisema haswa linapokuja suala la uhusiano wa aliyeko juu na Rwanda. Wengi wanatilia shaka na haweki hitimisho. Yanawekwa mafumbo na wengine hatuelewi. Ila kuna siku itakuja fahamika ni nini kilichojificha na hakitamkwi hadharani juu ya uhusiano wa aliyeko juu na Rwanda. Natumai angegalikuwepo Mtikila mbona zamani saaaaaana tungalielewa.
Mimi nasita kumalizia kwa sababu sina uhakika 100%, lakini viashiria vyote vipo, time will tell. Haya mambo huwa hayajifichi.
 
Hii sehemu ya andiko lako imenichekesha sana!

...tunahitaji katiba mpya itakavyovipa vyombo vyetu vya ujasuri na jeshi uwezo wa kudhibiti hali kwa usalama wa taifa letu ...ili hata tukitawaliwa na "mgeni" asiwe na uwezo wa kuvuruga safu ya vyombo vyetu kwa kupenyeza watu wanaoweza kuwa tishio kwa nchi.

Huyo ''mgeni'' ni nani na anapatikana vipi kwenye katiba mpya unayoipigia chapuo?

Hii katiba itakayoruhusu ''mgeni'' kuwa Rais wa Tanzania itakuwa ni katiba ya hovyo sana!

Kinachofurahisha zaidi, andiko lako limejikita kwenye hisia na majungu tu.

Wewe ndio mfano wenyewe wa mawakala ......., tunaowaongelea ...na msicheze na moto!!!
Hivi wewe fikiria ingekuwa bado Jakaya yupo au Mzalendo mwingine alafu wavuvi wa Tanzania maiti 50 wanakutwa mtoni ....Mwigulu anafuatilia anaishia njiani .....ingekuwa zamani si "SALAMU" Zingeenda ....mara nyingine kuna watu unaweza kujiuliza kama kweli ni wenzetu .....!

:: Askari Wa Rwanda Watuhumiwa Kuendesha Mauaji Ya Wavuvi Wa Kitanzania Mto Kagera

Kwa hiyo na hiyo ilikuwa hisia ......tunajuwa gia yao kuingia na wanyama ....kumbe wote wale ni askari wao na watu wa usalama wanatekeleza 'BAHIMA EXPANSIONISM SYNDICATE "

Nimeongelea katiba kwa sababu katiba ikiwa mzuri mtu hawezi kupenyeza safu ya " watu" wake kwenye vyombo vya ulinzi na usalama bila approval ya bunge ....na vitakuwa huru....tunataka idara ya usalama.,bunge ,jeshi, mahakama ambazo budget yake haitegemei huruma ya rais bali budget itakuwa calculated as per GDP ...sio kupewa pesa with conditions attached !!

Watu wanapenyezwa kwa kasi ya ajabu ...na kuna baadhi ya "vifaa" vilivyopangwa kimkakati ...vinadhoofishwa , itaingia kwenye kudhoofisha uwezo wa utayari!! kwa kuwashusha mori vijana wetu walio maporini kwa kuwanyima haki zao fulani fulani ...ili kuwakatisha tamaa!!
 
Ijulikane tu wazalendo ni wengi walio ndani na hata wastaafu ...na wote waanaopenyezwa iwe kwa kofia ya IT na hata ambao walikuwapo au "wameajiriwa"..watamalizwa mmoja mmoja bila kutizama cheo na hadhi zao ....this is a big country!!
Kila mmoja popote alipo anaona chama za kudhoofisha mfumo hata ikibidi kwa kuwanyima pesa na mahitaji makusudi !!
 
Jaribu kufikiri tu vizuri, unawatoa wahamiaji na mifugo yao halafu nini kinafuata, mifugo yao ikiwa nchini itachangia kukuza uchumi kuanzia ngazi ya wilaya hadi taifa, ubunifu ni kitu muhimu katika uongozi
Tumeingiliwa jamani ..vyombo vimelala
Unatetea nini hapo ....kuwa tuwaache kwa kuwawana ngombe sisi hawa tulionao hatuna pakuwaweka....tunagombea malisho

Janja ya jusi kuisha jua hizo.
 
Rwanda hawana sehemu ya malisho na wsnategemea sana tz Kikwete aliweza.

Dr Magufuli Rais wa Tanzania ukisitisha zoezi alilolianzisha Meja Gen Kijuu Mkuu wa Mkoa wa Kagera kuhusu wahamiaji haramu toka Rwanda utaleta sintofahamu kubwa sana.

Nimekaa Karangwe,nimekaa Rwanda,Nimekaa Ngara naifahamu vizuri sana hii biashara ya Mifugo ya hawa ng'ombe wa pembe ndefu ni nani wana kula pesa na ujasiri wa wanyarwandi ktk kutafuta malisho.

Tafadhali mwache Man Gen Kijuu afanye kazi yake ya kusafisha mkoa wake.
Atamuondoa muda sio..mrefu kwa maelekezo..ya Paulo ...kama alivyofanya kuminya resources za
Kile kikosi hatari cha Shy Notorius standby Brigade
 
Back
Top Bottom