Operesheni Ya Kuondoa Wahamiaji Haramu Maporini Mpakani Karagwe imesitishwa?

Major general mpaka dakika hii yeye na tim yake ya kazi wanatakiwa wajiuzuru kwakua inaonekana hayo maelekezo kutoka juu yana maslahi binafsi kwa alieyatoa.......watanzania tuamke nawaomba akina Tundu Lissu pamoja na wazalendo wengine tusimame pamoja na tumkanye huyu pandikizi anaewatetea na kuwalinda ndugu zake
Cc Tundu lissu na wazalendo

Maj Gen Kijuuu ( komandoo kichaa)' atakuwa kafadhaika sana
 
Tatizo either huwajui watutsi au wewe ni mmoja wao.Anaongelea issue ya msingi unaleta mzaha.Wamekufa RAIA 50 wa kitanzania na wauaji ni Askari wa Rwanda halafu unaleta upuuzi.

Hivi unajua kwanini Leo Kongo haina amani??Usitake tukuwekee ban ya maisha.
@mwigullu nchemba

Kwanini ripoti yako ya vifo vya watanzania 50 mto kagera imekaliwa....umekuwa kimiya au ndii maana huna raha kama..ambavo issue ya saanane...inakuuma
Kumbuka unataka urais huko...mbele na tutauliza what happened to 50 tanzanians corpses at kagera river na ripoti ulimpa nani
Waandishi wetu wa...habari pia ni wa kuwalaumu mnaandika mambo..ya kijinga ..hili mnaliacha
 
Mimi nasita kumalizia kwa sababu sina uhakika 100%, lakini viashiria vyote vipo, time will tell. Haya mambo huwa hayajifichi.
Naam, nahisiMtikila angalikuwepo hili jambo lingekuwa Mahakamani
 
@mwigullu nchemba

Kwanini ripoti yako ya vifo vya watanzania 50 mto kagera imekaliwa....umekuwa kimiya au ndii maana huna raha kama..ambavo issue ya saanane...inakuuma
Kumbuka unataka urais huko...mbele na tutauliza what happened to 50 tanzanians corpses at kagera river na ripoti ulimpa nani
Waandishi wetu wa...habari pia ni wa kuwalaumu mnaandika mambo..ya kijinga ..hili mnaliacha

Umewasahau wale saba wa Mto Ruvu
 
re
Huko "juu" amri inakotoka ndiko kwenye tatizo! Mifano iko mingi tu:
1. Unakumbuka wavuvi wetu waliuawa na askari wa Rwanda mpaka Mwigulu akafanya ziara na kuahidi kuongea na wizara ya nje ili tupate tamko rasmi la serikali ya Rwanda? Hilo likafa kimyakimya, maisha ya watanzania hawa yakapotea hivi hivi. :: Askari Wa Rwanda Watuhumiwa Kuendesha Mauaji Ya Wavuvi Wa Kitanzania Mto Kagera
2. Hujuma dhidi ya operesheni dhidi ya wahamiaji haramu sio jipya tayari thread zipo humu: Asimamishwa kazi kwa kukamata Wanyarwanda porini
3. Rwanda ndio iliyotushauri tununue ndege sio mainjinia wa ATC wala bunge!, Rwanda ndio tunaiga usafi wa jumamosi na mambo mengine ya ajabu ajabu kama kutoleana bastola bila sababu.
4. Eti wataalamu wa IT Tanzania hawapo wako Rwanda, wakati sisi tuko huku miaka kibao tunafanya IT hio hio na hao wanyarwanda tunawafundisha sisi! Mtu anataka awakabidhi mifumo ya bandari!
5. waliopinga mbinu za Rwanda kututawala kupitia bunge la EAC wanafukuzwa kwa kauli za "huyu sitaki kumsikia....sitaki mjadala" !!!

Ninaanza kuwa na wasiwasi na huyu aliye juu.....
rejea waraka wa hayati mtikila kama sikosei ulihusu mauaji ya bulige
 
Panoja na mambo mengi ya mtikila lakini yule mzee alikuwa mzalendo kweli. Huenda kifo chake kuna mkono wa majasusi wa pk
 
Hii sehemu ya andiko lako imenichekesha sana!

...tunahitaji katiba mpya itakavyovipa vyombo vyetu vya ujasuri na jeshi uwezo wa kudhibiti hali kwa usalama wa taifa letu ...ili hata tukitawaliwa na "mgeni" asiwe na uwezo wa kuvuruga safu ya vyombo vyetu kwa kupenyeza watu wanaoweza kuwa tishio kwa nchi.

Huyo ''mgeni'' ni nani na anapatikana vipi kwenye katiba mpya unayoipigia chapuo?

Hii katiba itakayoruhusu ''mgeni'' kuwa Rais wa Tanzania itakuwa ni katiba ya hovyo sana!

Kinachofurahisha zaidi, andiko lako limejikita kwenye hisia na majungu tu.
Huna akili.... Halafu eti nawe unajiita mzalendo!
 
Tanzania na Afrika Mashariki ina makundi matatu makuu. Hamitcs Asili yao ni Ethiopia. Bantu ADILI yao Congo /Cameroon. Cushites ADILI yao Sudan na Ethiopia. Katika kila kabila hapa Tanzania kuna hamitics wanaishi vizuri kabla ya Uhuru Wa nchi hizo kila baada ya Uhuru kuna kitu kinaitwa,(Tyrant of numbers) na hivi inatumiwa na wabantu kuwabagua hamitics .Ndio maana Nyerere alisema siku hizi Tz kuna Makaburu wanajiita wzawa.Hawa ndio wanao pigs kelele kuwa bahima wamejipenyeza arusha na kwngineko, kumbe siri ni chuki ya wabantu kuona kila anaefanana na hamiticni nuksi tu hafai kuishi Tanzania.Mfano mzuri hivi kweli Mbatia aliposema Mrema amaleta fujo katika Nccr kipindi eti ni kwa kuwa Asili take ni Somalia
Alikuwa na haki ya ubaguzi kiasi hicho. kwa Mchanga mwenzie.Wakati ule wahutu wamekimbilia Tanzania si waliwachinja baadhi ya wachaga eti kiss wanafanana Watusi? Wakati Fulani kuna Afisa Wa jeshi Msukuma alienda Mpanda kwa Kazi Maalum akataka kulala Katumba Station
Walipanga kumuua usiku kisa anafanana na Watusi,kumbe maskini ni MsukumaMnyantuzu .Leo wametangaza Kagera kwenye Yale Mapori wamepewa wiki moja ng'ombe anayekutws huko porini serikali inataifisha Kwani ni vizuri wangevamiwa na kuzitaifisha Leo hivi hivi si inakuwa ni uporaji Wa viongozi kuwanyang'anya wafugaji malofa tu?kiongozi anaamka maskini jioni kashika ng'ombe elfu tatu anapora anauza anatajirika ,hio ndio utawala bora?, Sasa mjue kuna baadhi ya makabila kama wasukuma kuna viongozi hawawezi kushabikia maana kuna ndugu zao wamo mwenye hayo mapori na wao ndugu zao wataguswa .Kama Kyle kilombero hivi kuna hamitics kweli. Mbona wakulima wanauana kila siku na wafugaji na pale kuna utusi.Sasa hivi wasukuma 1/6 ya watanzania wrote na wamesambaa mikoa yote hadi Rukwa wamepita wako Zambia kwa hiyo mnategemea kiongozi kwenye busara ashabikie wafugaji kuporwa kila siku mifugo na viongozi kwa kisngizio cha bila mashiko. Haya kuna Mazda ya Congo Watusi wanaleta fujo.Mbona wanyamulenge jeshi LA Tanzania liliisha watimua wako mwenye makambi huko Rwanda naUganda .Wamebaki wabantu huko wanagombania mashimo ya dhahabu na Almasi.Issue ya Congo ni complex siyo wanyamulenge wala.Na walendu /wavira/maymayi.wrote hao ni wabantu waapamania madini. Mimi napata picha kwamba wabantu ni wengi note nchi za maziwa makuu na ni haki wstawale .Lakini wakitumi a wingi wao kuwabagua kila anaefanan Nina Mtusi/Hamitic hiyo ni dhambi mbaya ambayo chimbuko lake ni umaskini uliokithiri kwa hiyo wanadhani wakiwapora wenzao ndiyo suluhisho lakini sivyo.Mtapora mifugo kesho mtavamia viwanda vya wahindi /maduka ya wachagga. Kumbuka mbegu ya ubaguzi haina kikomo mtaingia hadi ukoo tofauti ndaniya kabila moja mnabaguana.TYRANNY OF NUMBERS YA WABANTU isiwe silaha ya kuonea minority tribe/ethnics.Democracy inasema the majority have the right to rule and the minority have the right to be heard. Hiyo ndiyo sawa . Mutahi Ngunyi professor huko Kenya anaieleza vizuri jinsi Kenya wagikuyu na kalenjin wanavyotumia hiyo tyranny of numbers za makabila wanavoitumia kutawala kwa kupokzana hayo makabila mawili yan 46% ya population ya Kenya..Mwaka 2007 walikosea kalenjin na Kikuyu wakapingana mauaji baada ya uchguzi ndipo tukayaona.Yaani tunatafika mahali minority wajione kuwa mzungu alifanya Kazi mzuri ya kuunganisha makabila na Uhuru umeleta ubaguzi? Tumeishi pamoja Bantu na hamitics many centuries before wakoloni kuna kwa Amani. Tuamini kuwaDunia imeisha jaa hivyo tuko kwenye survival of the fittest inaanza sasa. Lakini with good policies na scientific innovations huwa zinaoffset hiyo kanuni ya life in the jungle Tutoe mjadala Wa kutuunganisha siyo kubaguana.Hivi mkristo //muislamu/mwanaccm unajisikiaje Leo jamii unaandika ubaguzi halafu ndani ya nyumba za ibada tunahubiri na tunajifanya wrote tu ndugu moja? Inanikumbusha historian ya genocide kwamba yalifanyika makanisani na 90% ni wanyarwanda wakatoliki Au Dino ni vyamavya kusaidiana kwenye shida siyo imani tena? TUPENDANE.
 
Hii sehemu ya andiko lako imenichekesha sana!

...tunahitaji katiba mpya itakavyovipa vyombo vyetu vya ujasuri na jeshi uwezo wa kudhibiti hali kwa usalama wa taifa letu ...ili hata tukitawaliwa na "mgeni" asiwe na uwezo wa kuvuruga safu ya vyombo vyetu kwa kupenyeza watu wanaoweza kuwa tishio kwa nchi.

Huyo ''mgeni'' ni nani na anapatikana vipi kwenye katiba mpya unayoipigia chapuo?

Hii katiba itakayoruhusu ''mgeni'' kuwa Rais wa Tanzania itakuwa ni katiba ya hovyo sana!

Kinachofurahisha zaidi, andiko lako limejikita kwenye hisia na majungu tu.
Wewe ni miongoni mwao.
 
Hii sehemu ya andiko lako imenichekesha sana!

...tunahitaji katiba mpya itakavyovipa vyombo vyetu vya ujasuri na jeshi uwezo wa kudhibiti hali kwa usalama wa taifa letu ...ili hata tukitawaliwa na "mgeni" asiwe na uwezo wa kuvuruga safu ya vyombo vyetu kwa kupenyeza watu wanaoweza kuwa tishio kwa nchi.

Huyo ''mgeni'' ni nani na anapatikana vipi kwenye katiba mpya unayoipigia chapuo?

Hii katiba itakayoruhusu ''mgeni'' kuwa Rais wa Tanzania itakuwa ni katiba ya hovyo sana!

Kinachofurahisha zaidi, andiko lako limejikita kwenye hisia na majungu tu.
Huyu jamaa si mzalendo kuna makosa yalifanyika usalama wa taifa imeingiliwa kwa kiasi kikubwa na hawa jamaa kutoka Rwanda kama unabisha nenda Oystbay wengi wanaojiita wahaya ni wa Rwanda.
 
Ni muhimu kwa vyombo vinavyohusika na DEFENCE, SECURITY NA INTELLIGENCE kufanya kazi dhidi ya hii threat kutoka Rwanda na Mtussi ni jamii ambayo wanaamini wameumbwa kutawala wabantu baada ya wazungu kuondoka na ktk vitu ambayo Serikali ya Tanganyika wamekosea sana ni kumfanya Rwanda kuwa Mdau wetu badala ya Jirani yetu
Hiyo idara uliyo itaja wamejaa wa Rwanda wengi ukifuatilia kwa karibu utaogopa.
 
Mzaha uko wapi, au lengo ni uchochezi kwa watu wamchukie kiongozi mkuu,utaweza vipi kumfukuza mwenye mali na wewe huna mali
Nenda Bukoba uliza muuza ugoro maarufu soko kuu ni mtu Wa wapi Je ni raia. Anauhusiano gani na mkuu wa nchi.
 
Yaani kwa mawazo yako uraia unagawiwa kama njugu tu? Sijui unaishi Tanzania ipi. Kila siku unasikia migogoro ya wakulima na wafugaji sababu ya ardhi haba. Halafu unasema wahamiaji haramu wapewe uraia na mifugo yao? Na wewe unajiita umeenda shule kweli? Nina mashaka waweza kuwa unatokea kule, hivyo unapigia upatu ndugu zako.
Ujagundua huyo ni wale wale.
 
Acheni ubaguzi wa kikabila, kabla ya Tanzania au Tanganyika makabila yaliishi kimipaka au ?, kila kona ya nchi hii kuna muingiliano wa kikabila na lugha na nchi jirani
Kumbe na humu mpo wengi!
 
Huyu jamaa si mzalendo kuna makosa yalifanyika usalama wa taifa imeingiliwa kwa kiasi kikubwa na hawa jamaa kutoka Rwanda kama unabisha nenda Oystbay wengi wanaojiita wahaya ni wa Rwanda.
Wewe una chuki zako binafsi. Kwahio wahaya hawana haki yoyote katika nchi hii kwakuwa wana nasaba na wanyarwanda?

Mbona Wajaruo wa Mara wana nasaba na Wajaruo wa Kenya?

Mbona Wamasai wa Tz wana nasaba na Wamasai wa Kenya?

Mbona Wairaki wa Manyara/Arusha wana nasaba na Waethiopia?

Mbona wanyasa wana nasaba na Wamalawi?

Mbona Wanyamwanga wa Mbeya wana nasaba na Wanyamwanga wa Zambia?

Mbona Waha wana nasaba na Waburundi?

Wasomali akina Bashe n.k wanafanya vizuri kwa uzalendo mkubwa

Waarabu tunao wengi wanafanya vizuri na kuwakilisha nchi yetu vizuri. Refer Wazanzibari, Mo Dewji n.k
Wamakonde n.k

Kiufupi nchi yetu sio ya kabila moja....au HAKUNA SURA HALISI AMBAYO TUNAWEZA KUSEMA NDIO KIELELEZO HALISI CHA MTANZANIA.

Kama mtu unao ushahidi kuwa fulani anaihujumu nchi yetu...ni vyema kuutoa ila sio kuibua hoja za kibaguzi kwa ujumlajumla.

Uzalendo wa nchi haupo usoni ila upo moyoni mwa mtu. Tunao watanzania wenzetu ambao ni wahujumu uchumi ila no watanzania.

Tusisahau...MJENGA NCHI NI MWANANCHI NA MBOMOA NCHI NI MWANANCHI MWENYEWE
 
Back
Top Bottom