Mr. Django
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,830
- 2,432
"Washika Ukuta" katka ubora wao
hapana hii hoja ni ya Msingi, mimi najua UKUTA kama maandamano na mikutano haviwezi kufanyika lakin Propaganda yao imefanikiwa maana kila mahali inajadiliwa haijalishi inajadiliwa vipi, iwe heri au kwa shari lkn wameanikiwa kwa kiasi kikubwaDuuuuu leo!![]()
![]()
![]()
Lugumi hana kosa. Achana naye fuata mishe zingine. Wenye tatizo huenda ni wale waliompa tendaakimtumbua LUGUMI ndio nitajua yupo siriasi
Mshana, kwahiyo T. r. h 01/09 hutuandamani?Kwenye uwanja wa vita kuna mbinu nyingi za kumshinda adui...ukiona adui yako analeta ubabe unabadili mbinu....hapa unaachana na ile ya piga nikupige
Vita ya mtaa kwa mtaa ndio vita ngumu zaidi kwakuwa hapa silaha nzito zile za kwenye uwanja wa vita hazitumiki tena.
Vita ya mtaa kwa mtaa ni vita inayohitaji werevu na mbinu makini..wengi hushindiwa hapa....Kwenye ulingi wa kisiasa nako kuna vita...Kuna vita ya
Sera, Propaganda, Vipaumbele, Kukosoana, Vita ya kumchosha mpinzani wako nk nk
DHIMA YA UKUTA
Dhima ya UKUTA ni kujijenga kisiasa, kujitangaza zaidi, kusikika zaidi na kumpoteza mpinzani
Ni neno lililoandaliwa kimitego, likiwa na utata fulani kwa tafsiri za kihuni, na mpinzani bila kujitambua akanasa kwenye huo mtego
Kwa kukosoa operation nzima na kukekeli neno UKUTA mpinzani hajui kuwa anasaidia kukitangaza chama buuuree...mkakati wa operation nzima umetolewa hadharani karibia miezi miwili kabla ya kufanyika..miezi miwili ni kipindi mkakati kisiasa kummaliza mpinzani
Sasa hivi ni UKUTA kila kona, mpinzani baada ya kufanya yake ni yeye na UKUTA kila uchao...Operation UKUTA imemlazimisha mpinzani akajinadi upya kwa wananchi kama yuko kwenye kampeni, mbinu ya kumchosha na kummaliza nguvu na kumpotezea muda
Operation UKUTA imevuta hisia za wengi na kuwaingiza wengi kwenye mjadala wakiwemo taasisi mbalimbali za serikali na NGOS tofauti
Sasa hivi mpinzani hasikiki tena, bali bila kujitambua amekuta anachezeshwa ngoma juani huku mwenzake akiwa pembeni kivulini kajaa vicheko
Operation UKUTA hata isipofanyika lakini kwenye medani za siasa na propaganda itakuwa imefanikiwa sana. ..
tofautisha kati ya presidency na president.mshana jr, tatizo siasa wanazoendesha upinzani si za kujenga. Hivi wewe unadhani kwa nini lowasa aliwaita chadema ni wanaharakati??? Hivi unadhani lowasa anafurahi hii hali??? Hivi lowasa unadhani anataka kushindana na rais??? Kama ulimsikiliza siku za karibuni alisema rais anafanya vizuri......, ila akina mbowe, lissu etc wao kila kukicha wanamtukana na kumdharau na kutaka kupambana na mamlaka ya rais, ilhali hawajui mamlaka yake, na ndiyo maana uadui umeongezeka kumbuka unapmtukana rais unatukana watanzania na vyombo vyake vyote
Inawezekana kuwa imefanikiwa kujijenga ila kumbuka imepunguza imani ya jeshi la polisi/vyombo vya ulinzi kwa wapinzani. Ndiyo maana tundu lissu alisema mahabusu si pahala pazuri. Nyie mashabiki mtaona sawa ila viongozi wenu wanakipata cha moto.
Katika Sanaa za martial arts hasa zile za kichina kuna mchezo unaitwa Tai Chi. Wakati wa mapigano dhidi ya mtaalam anayetumia style ya Tai Chi, hapo adui huwa anapigwa kwa kutumia mbinu na nguvu zake mwenyewe.Kwenye uwanja wa vita kuna mbinu nyingi za kumshinda adui...ukiona adui yako analeta ubabe unabadili mbinu....hapa unaachana na ile ya piga nikupige
Vita ya mtaa kwa mtaa ndio vita ngumu zaidi kwakuwa hapa silaha nzito zile za kwenye uwanja wa vita hazitumiki tena.
Vita ya mtaa kwa mtaa ni vita inayohitaji werevu na mbinu makini..wengi hushindiwa hapa....Kwenye ulingi wa kisiasa nako kuna vita...Kuna vita ya
Sera, Propaganda, Vipaumbele, Kukosoana, Vita ya kumchosha mpinzani wako nk nk
DHIMA YA UKUTA
Dhima ya UKUTA ni kujijenga kisiasa, kujitangaza zaidi, kusikika zaidi na kumpoteza mpinzani
Ni neno lililoandaliwa kimitego, likiwa na utata fulani kwa tafsiri za kihuni, na mpinzani bila kujitambua akanasa kwenye huo mtego
Kwa kukosoa operation nzima na kukekeli neno UKUTA mpinzani hajui kuwa anasaidia kukitangaza chama buuuree...mkakati wa operation nzima umetolewa hadharani karibia miezi miwili kabla ya kufanyika..miezi miwili ni kipindi mkakati kisiasa kummaliza mpinzani
Sasa hivi ni UKUTA kila kona, mpinzani baada ya kufanya yake ni yeye na UKUTA kila uchao...Operation UKUTA imemlazimisha mpinzani akajinadi upya kwa wananchi kama yuko kwenye kampeni, mbinu ya kumchosha na kummaliza nguvu na kumpotezea muda
Operation UKUTA imevuta hisia za wengi na kuwaingiza wengi kwenye mjadala wakiwemo taasisi mbalimbali za serikali na NGOS tofauti
Sasa hivi mpinzani hasikiki tena, bali bila kujitambua amekuta anachezeshwa ngoma juani huku mwenzake akiwa pembeni kivulini kajaa vicheko
Operation UKUTA hata isipofanyika lakini kwenye medani za siasa na propaganda itakuwa imefanikiwa sana. ..
mshana jr, tatizo siasa wanazoendesha upinzani si za kujenga. Hivi wewe unadhani kwa nini lowasa aliwaita chadema ni wanaharakati??? Hivi unadhani lowasa anafurahi hii hali??? Hivi lowasa unadhani anataka kushindana na rais??? Kama ulimsikiliza siku za karibuni alisema rais anafanya vizuri......, ila akina mbowe, lissu etc wao kila kukicha wanamtukana na kumdharau na kutaka kupambana na mamlaka ya rais, ilhali hawajui mamlaka yake, na ndiyo maana uadui umeongezeka kumbuka unapmtukana rais unatukana watanzania na vyombo vyake vyote
Mkuu ni tusi gani alilo tukanwa Magufuli?mshana jr, tatizo siasa wanazoendesha upinzani si za kujenga. Hivi wewe unadhani kwa nini lowasa aliwaita chadema ni wanaharakati??? Hivi unadhani lowasa anafurahi hii hali??? Hivi lowasa unadhani anataka kushindana na rais??? Kama ulimsikiliza siku za karibuni alisema rais anafanya vizuri......, ila akina mbowe, lissu etc wao kila kukicha wanamtukana na kumdharau na kutaka kupambana na mamlaka ya rais, ilhali hawajui mamlaka yake, na ndiyo maana uadui umeongezeka kumbuka unapmtukana rais unatukana watanzania na vyombo vyake vyote
Very well said vital power/vital forceKatika Sanaa za martial arts hasa zile za kichina kuna mchezo unaitwa Tai Chi. Wakati wa mapigano dhidi ya mtaalam anayetumia style ya Tai Chi, hapo adui huwa anapigwa kwa kutumia mbinu na nguvu zake mwenyewe.
Ndicho ninachokiona katika hiki kitu kiitwacho UKUTA...nguvu na mabavu ya serikali ndiyo yanayotegemewa sana katika kufanikisha Malengo ya UKUTA.
Mnafikiri sana lakini mwishowe mnaishia kupata ombwe la kisiasa!Katika Sanaa za martial arts hasa zile za kichina kuna mchezo unaitwa Tai Chi. Wakati wa mapigano dhidi ya mtaalam anayetumia style ya Tai Chi, hapo adui huwa anapigwa kwa kutumia mbinu na nguvu zake mwenyewe.
Ndicho ninachokiona katika hiki kitu kiitwacho UKUTA...nguvu na mabavu ya serikali ndiyo yanayotegemewa sana katika kufanikisha Malengo ya UKUTA.