Operation UKUTA: Hit n run tactic

Operation UKUTA: Hit n run tactic

Mbona kama mnataka kubadili gia angani kama kawaida yetu? Iwe inazungumzwa au la acheni uwoga na kujificha. Tarehe 1 Sept. tokeni mkaandamane nchi mzima. Mambo ya oooh imefanikiwa ni kuandaa wafuasi wenu kisaikolojia ili ionekane kushikana ukuta kumefanikiwa tayari kabla ya tarehe yenyewe.
 
asante kwa matangazo
 
Mapovuu
 
akimtumbua LUGUMI ndio nitajua yupo siriasi
na nyie mtumbuen hyu
1471033349695.jpg
 
Ushauri wa bure amua mwenyewe kupata kichapo au kukaa nyumbani na familia yako
 
Unadhani Polisi mfano waue mwandamanaji eneo fulani kitakacho tokea hapo wewe na familia yako mtakuwa salama ndani ya nyumba wakati pengine ya jirani yako inachomwa moto?
Hali kama hii ya muhimu kuishauri serikali iwasikilize na wengine ili kuepusha madhara.
Kwani wewe mwana ccm sehemu yako ya biashara ikiharibiwa na kuingia umasikini ccm itakufidia kwa vile hukuandamana? Hapana, bali waweza kuwa wewe ndio umeathirika kuliko hata aliyefukuzana na mabomu.
Suluhisho serikali iseme mikutano na maandamano ruksa kwa utaratibu ule wa awali na kufuata kanuni basi.
 
Dhana ya UKUTA ni kuhakikisha chadema angalau wanasikika kwa raia, wakikaa kimya bila ya hata kufanya upuuzhi basi JPM atawapoteza kwa jinsi anavyokubalika kwa watanzania wengi, hii ni strategy ya chadema ya kuwapa airtime.
 
Kwenye uwanja wa vita kuna mbinu nyingi za kumshinda adui...ukiona adui yako analeta ubabe unabadili mbinu....hapa unaachana na ile ya piga nikupige
Vita ya mtaa kwa mtaa ndio vita ngumu zaidi kwakuwa hapa silaha nzito zile za kwenye uwanja wa vita hazitumiki tena.

Vita ya mtaa kwa mtaa ni vita inayohitaji werevu na mbinu makini..wengi hushindiwa hapa....Kwenye ulingi wa kisiasa nako kuna vita...Kuna vita ya
Sera, Propaganda, Vipaumbele, Kukosoana, Vita ya kumchosha mpinzani wako nk nk

DHIMA YA UKUTA

Dhima ya UKUTA ni kujijenga kisiasa, kujitangaza zaidi, kusikika zaidi na kumpoteza mpinzani
Ni neno lililoandaliwa kimitego, likiwa na utata fulani kwa tafsiri za kihuni, na mpinzani bila kujitambua akanasa kwenye huo mtego

Kwa kukosoa operation nzima na kukekeli neno UKUTA mpinzani hajui kuwa anasaidia kukitangaza chama buuuree...mkakati wa operation nzima umetolewa hadharani karibia miezi miwili kabla ya kufanyika..miezi miwili ni kipindi mkakati kisiasa kummaliza mpinzani

Sasa hivi ni UKUTA kila kona, mpinzani baada ya kufanya yake ni yeye na UKUTA kila uchao...Operation UKUTA imemlazimisha mpinzani akajinadi upya kwa wananchi kama yuko kwenye kampeni, mbinu ya kumchosha na kummaliza nguvu na kumpotezea muda

Operation UKUTA imevuta hisia za wengi na kuwaingiza wengi kwenye mjadala wakiwemo taasisi mbalimbali za serikali na NGOS tofauti
Sasa hivi mpinzani hasikiki tena, bali bila kujitambua amekuta anachezeshwa ngoma juani huku mwenzake akiwa pembeni kivulini kajaa vicheko

Operation UKUTA hata isipofanyika lakini kwenye medani za siasa na propaganda itakuwa imefanikiwa sana. ..
Tanzania ina siasa fake wengi wa viongozi wa upinzani ni undercover agent!! raia tunaumiza vichwa bure.....cha msingi tutii sheria tuheshimu watawala wetu
 
Kwa upande mwingine Ukuta umewafungua wanyonge Machinga waliokuwa wamepigwa Marfuku kupanga budhaa zao barabarani, kwa sasa ni ruksa tena toka juu mfano mzuri ni Mwanza na Dar, hii yote ni hofu ya Ukuta kuwa vijana wawe bize ili wasishiriki Ukuta, haya ni mafanikio makubwa. Mbwembwe nyingine zote kwa sasa zimetelekezwa, hakuna cha kuhamia Dadodo, majipu, Tanzania ya viwanda, teua tengua, watu wemewekwa bize na Ukuta, haya ni mafanikio ya nia halisi ya Ukuta. Wenye shuhuli yenyewe ya ukuta hawajautangaza Ukuta kama vile Wapambe walivyo na wanavyoutangaza na kubabaikanao. Haya ndio madhara ya kukataa au kukandamiza demokrasia kwakuwa itakulazima kuwachunguza wanapanga nini na lini ili ujipange kupambananao na kusahau nia na malengo yako mkakati, unajipata unatumia muda mwingi kuzunguka Nchi nzima sio kutoa shukrani kwa kuchaguliwa bali kuutangaza Ukuta huku ukiachana na majukumu yenya manufaa kwa Wanachi kwa kipindi fulani pasipo na sababu au faida kwa Taifa.
 
Unadhani Polisi mfano waue mwandamanaji eneo fulani kitakacho tokea hapo wewe na familia yako mtakuwa salama ndani ya nyumba wakati pengine ya jirani yako inachomwa moto?
Hali kama hii ya muhimu kuishauri serikali iwasikilize na wengine ili kuepusha madhara.
Kwani wewe mwana ccm sehemu yako ya biashara ikiharibiwa na kuingia umasikini ccm itakufidia kwa vile hukuandamana? Hapana, bali waweza kuwa wewe ndio umeathirika kuliko hata aliyefukuzana na mabomu.
Suluhisho serikali iseme mikutano na maandamano ruksa kwa utaratibu ule wa awali na kufuata kanuni basi.
Mkuu Chakakaza hawa ndo Masaburi alisema wanafikiri kwa kutumia kiungo tofauti!yeye anadhani kwakuwa hatashiriki maandamano atakuwa salama.
 
Alinadiwa huyu jamaa ataua upinzani unfortunately imekuwa vice versa. Kwel mjini akili nguvu shamba
 
U. UKITAKA
K. KUVUNJWA
U. UTI WA MGONGO
T. TAREHE MOSI
A. ANDAMANA
 
Inawezekana kuwa imefanikiwa kujijenga ila kumbuka imepunguza imani ya jeshi la polisi/vyombo vya ulinzi kwa wapinzani. Ndiyo maana tundu lissu alisema mahabusu si pahala pazuri. Nyie mashabiki mtaona sawa ila viongozi wenu wanakipata cha moto.
Unaimanisha imepunguza imani ya jeshi la polis kwa wananchi?

Wapinzani hawapaswi na wala haitegemewi watafute kuaminiwa na jeshi la polis kwenye mfumo huu wa siasa. Nijukumu la Jeshi la polis kutafuta kuaminiwa na wapinzani na wananchi kwamba linafanya kazi kwa misingi ya uadilifu kwa kufuata kanuni ya kutofungamana na Chama chochote.

Mpaka sasa upinzani Umefanikiwa kuonyesha jamii ya Tanzania na kimataifa upendeleo wa jeshi la polis. Na zaidi Umefanikiwa kujenga Chuki dhidi ya polisi.
 
Back
Top Bottom