Operation UKUTA: Hit n run tactic

Operation UKUTA: Hit n run tactic

Ukuta noma. Naona hta machinga mza wameruhusiwa kufanya bihshara katkat ya mji. Ila wamepewa miez 2 had 3 kuwanya mazungumzo.
 
mshana jr, mosi suala la US halinihusu sana kwani najua Trump==Tundu lissu/chadema na atashindwa vibaya mno. Pili, kwa Tz, tunachotofautiana na ninyi ni mfumo/uadilifu. Sisi tunaoamini ktk uadilifu tunawashangaa ninyi mnaosemea mfumo wakati lowasa (kama yeye) alienda akaubadili mfumo wa chadema kwa kutumia pesa na utashi wake, bado na sasa kawaambia waache uanaharakati (hiyo yote ni mifumo ya chadema). Inamaana mtu binafisi anaweza kubadili mfumo maana kama lowasa alibadili mfumo wa chadema toka uadilifu mpaka kuwa chama cha kifisadi (maana chadema walihonga watu hela, walinunua kura, na wengine kuwaua baada ya kula zile hela pasipo kutumiza ahadi). Na ndivyo sisi tunaoamini uadilifu kuwa Dr Magufuli ataubadili mfumo wa kifisadi wa serikali/CCM na kuwa safi na kitu ambacho mpaka sasa keshaweza. Angalia kila kona watumishi wa serikali wanajitahidi kuonesha uadilifu. Sasa tatizo wewe na wenzako mnamtukana rais, sisi tuache tu mmtukane???? Maana chadema mlifikia mpaka hatua mnawalipa hela vijana wamtukane rais (ushahidi yule kijana wa arusha mliyemchangia faini kupitia hamasa za viongozi wa chadema).
Bila changamoto ya CDM Magufuli angepatikana wapi??
Lazima muiheshimu CDM na makamanda wake, maana CCM iliisha geuzwa genge la wanyanganyi!!
Kama unabisha muulize Mhs Rais JPM, kama ni kada wa kupiga subiri sasa ukatumbuliwe!!
 
Safi
Mudawote tuwe wakweli ukiamua kuingia kwenye siasa kubali yote...hebu ona kinachoendelea marekani kwasasa, siasa hazina adabu,hazina staha hazina heshima
Na hili wewe ni mmojawapo umeshawatukana sana hao uliowata matusi makubwa tu si mara moja bali mara nyingi umewakashifu kuwabeza na kuwakejeli, ni wakubwa zako hawa watu na familia na ndugu na majukumu yao...

Kwasababu tu ya kutofautiana mitazamo ya kisiasa ukaamua kujivua utu wako ukisaidiwa na ID bandia kuwatusi hasa....na shida yako kubwa huzungumzii mfumo, hujadili hoja bali mara zote umepeleka kashfa kejeli na matusi kwa hawa watu...hii pia ni siasa lakini siasa chafu siasa majitaka
Niangalie mimi tunatofautiana mitazamo lakini sijawahi kufanya kama ufanyavyo wewe na kundi lako...

Namkosoa Magufuli lakini simvunjii heshima yake wala utu wake kwakuwa nje ya cheo chake yule ni mkubwa wangu ni kaka yangu nk...nakushauri sana jizuie dhihaka kejeli na matusi tubishane na kupingana kwa hoja tena zenye mashiko...upinzani sio uadui
 
mshana jr, mosi suala la US halinihusu sana kwani najua Trump==Tundu lissu/chadema na atashindwa vibaya mno. Pili, kwa Tz, tunachotofautiana na ninyi ni mfumo/uadilifu. Sisi tunaoamini ktk uadilifu tunawashangaa ninyi mnaosemea mfumo wakati lowasa (kama yeye) alienda akaubadili mfumo wa chadema kwa kutumia pesa na utashi wake, bado na sasa kawaambia waache uanaharakati (hiyo yote ni mifumo ya chadema).

Ina maana mtu binafisi anaweza kubadili mfumo maana kama lowasa alibadili mfumo wa chadema toka uadilifu mpaka kuwa chama cha kifisadi (maana chadema walihonga watu hela, walinunua kura, na wengine kuwaua baada ya kula zile hela pasipo kutumiza ahadi). Na ndivyo sisi tunaoamini uadilifu kuwa Dr Magufuli ataubadili mfumo wa kifisadi wa serikali/CCM na kuwa safi na kitu ambacho mpaka sasa keshaweza.

Angalia kila kona watumishi wa serikali wanajitahidi kuonesha uadilifu. Sasa tatizo wewe na wenzako mnamtukana rais, sisi tuache tu mmtukane???? Maana chadema mlifikia mpaka hatua mnawalipa hela vijana wamtukane rais (ushahidi yule kijana wa arusha mliyemchangia faini kupitia hamasa za viongozi wa chadema).
Kaka mshana jr watu kama hawa sio wa kuwajibu. Kaa kimya as long as "mwerevu au mwenye busara huongea pale anapokua na kitu cha kuongea tu"
 
Mudawote tuwe wakweli ukiamua kuingia kwenye siasa kubali yote...hebu ona kinachoendelea marekani kwasasa, siasa hazina adabu,hazina staha hazina heshima
Na hili wewe ni mmojawapo umeshawatukana sana hao uliowata matusi makubwa tu si mara moja bali mara nyingi umewakashifu kuwabeza na kuwakejeli, ni wakubwa zako hawa watu na familia na ndugu na majukumu yao...

Kwasababu tu ya kutofautiana mitazamo ya kisiasa ukaamua kujivua utu wako ukisaidiwa na ID bandia kuwatusi hasa....na shida yako kubwa huzungumzii mfumo, hujadili hoja bali mara zote umepeleka kashfa kejeli na matusi kwa hawa watu...hii pia ni siasa lakini siasa chafu siasa majitaka
Niangalie mimi tunatofautiana mitazamo lakini sijawahi kufanya kama ufanyavyo wewe na kundi lako...

Namkosoa Magufuli lakini simvunjii heshima yake wala utu wake kwakuwa nje ya cheo chake yule ni mkubwa wangu ni kaka yangu nk...nakushauri sana jizuie dhihaka kejeli na matusi tubishane na kupingana kwa hoja tena zenye mashiko...upinzani sio uadui
Mshana tabia ya mtu hujengwa na mazingira aliyokulia,kwa mfano mtu akizaliwa stendi na kukulia sokoni atakuwa na tabia za stendi na sokoni.
 
Kwenye uwanja wa vita kuna mbinu nyingi za kumshinda adui...ukiona adui yako analeta ubabe unabadili mbinu....hapa unaachana na ile ya piga nikupige
Vita ya mtaa kwa mtaa ndio vita ngumu zaidi kwakuwa hapa silaha nzito zile za kwenye uwanja wa vita hazitumiki tena.

Vita ya mtaa kwa mtaa ni vita inayohitaji werevu na mbinu makini..wengi hushindiwa hapa....Kwenye ulingi wa kisiasa nako kuna vita...Kuna vita ya
Sera, Propaganda, Vipaumbele, Kukosoana, Vita ya kumchosha mpinzani wako nk nk

DHIMA YA UKUTA

Dhima ya UKUTA ni kujijenga kisiasa, kujitangaza zaidi, kusikika zaidi na kumpoteza mpinzani
Ni neno lililoandaliwa kimitego, likiwa na utata fulani kwa tafsiri za kihuni, na mpinzani bila kujitambua akanasa kwenye huo mtego

Kwa kukosoa operation nzima na kukekeli neno UKUTA mpinzani hajui kuwa anasaidia kukitangaza chama buuuree...mkakati wa operation nzima umetolewa hadharani karibia miezi miwili kabla ya kufanyika..miezi miwili ni kipindi mkakati kisiasa kummaliza mpinzani

Sasa hivi ni UKUTA kila kona, mpinzani baada ya kufanya yake ni yeye na UKUTA kila uchao...Operation UKUTA imemlazimisha mpinzani akajinadi upya kwa wananchi kama yuko kwenye kampeni, mbinu ya kumchosha na kummaliza nguvu na kumpotezea muda

Operation UKUTA imevuta hisia za wengi na kuwaingiza wengi kwenye mjadala wakiwemo taasisi mbalimbali za serikali na NGOS tofauti
Sasa hivi mpinzani hasikiki tena, bali bila kujitambua amekuta anachezeshwa ngoma juani huku mwenzake akiwa pembeni kivulini kajaa vicheko

Operation UKUTA hata isipofanyika lakini kwenye medani za siasa na propaganda itakuwa imefanikiwa sana. ..
Fanyeni mpigwe muumiye, acheni mdharauliwe. Mmelikoroga lazima mlinywe. Mlimsusa NS mkashindwa kupata sababu za kubadili uamuzi. Na hili mtapata aibu ileile.
Mwenyekiti wa tume ya haki ya binadamu alitaka kuwaokoa na aibu lakini ccm na polisi wamegoma. Sasa kazi kwenu kuamua kuchapwa au kukaa nyumbani kimya.
Mbowe aliwahi kuwalisha usaha ili mpinge katiba mpya ni nani aliyejitokeza?
 
Back
Top Bottom