Safiii sana tulianza pamoja tunaendeleza libeneke pamoja mammuzi ya pamoja wote tuseme CCM bye bye
Leo tumezindua Operation maalumu ijulikanayo kama operation TIGITIGI.
TIGITIGI ni neno la kisukuma lenye maana ya sagasaga,teketeza,maliza kabisa.
Operation hii imeanzia Mwanza na sasa ni mkutano wa sita tuko Sengerema, baada ya Mwanza ni Simiyu, Mara,Tabora, Shinyanga.
Ninaiongoza operation hii mimi mwenyewe, Naombeni dua zenu ili izae matunda.
Nigeria wamefanyaje? we Unamjua Buhari wewe? uliza historia, huyo alishatawala akaondolewa na upinzani sasa amerudi tena, unasemaje hapo!
Itakuwa huna kumbukumbu nzuri na historia ya nigeria!! mara ya kwanza buhari hakupata urais kwa njia ya kura bali kwa kufanya mapinduzi dhidi ya shehu shagari, naye buhari akaja kupinduliwa na ibrahim babangida. Tofautisha mapinduzi ya kijeshi na uchaguzi kwa njia kura kupitia vyama vya siasa!! Hapakuwa na masuala ya chama tawala wala chama cha upinzani.
Heri ya Wajinga kuliko Wapumbavu! Mjinga yupo kwenye position nzuri ya kuelewa kuliko mpumbavu. Ni Upumbavu Kudumaa/kubaki hapa tulipo miaka 54. Changes are inevitable,asiyekubali anakimbizana na Upepo!
IUmeona eeh, hiyo ndio siasa. Mtu unakwenda field sio siasa za mitandaoni na na kujianzishia username 50 ili ujisapoti mwenyewe wakati wapiga kura.hawakujui na hata unapopewa.ubunge miaka.10 unashindwa kupata madiwani kwani unadhani.FB na Twitter ndio uanasiasa.Kamanda hii ndio kitu inatakiwa,sio watu kuja hapa sijui watu walijiunga kwa ajili yangu, mara sijui nikiondoka chama kitakufa na madoido mengi kama hayo. Tunatakiwa tupate wapiga kura wengi kwa kuwapa elimu na sio kusubiiri watu waletwe kwenye chama halafu mtu abakie anatuletea historia hapa.
Nigeria wamefanyaje? we Unamjua Buhari wewe? uliza historia, huyo alishatawala akaondolewa na upinzani sasa amerudi tena, unasemaje hapo!
Ha ha hiyo nayo kazi user name 50 halafu unajipigia promo kwa kwenda mbele wa waige watu wa vitendo kama akina mawazo miaka yake mitatu na chadema amefanya mabadiriko katika kanda ya ziwa kwa aina ya kipekee huku wengine kazi yao kupokea mapozo toka CCM TISS escrow kuharibu nguvu ya wananchiIUmeona eeh, hiyo ndio siasa. Mtu unakwenda field sio siasa za mitandaoni na na kujianzishia username 50 ili ujisapoti mwenyewe wakati wapiga kura.hawakujui na hata unapopewa.ubunge miaka.10 unashindwa kupata madiwani kwani unadhani.FB na Twitter ndio uanasiasa.
Mie namsifu.sana Mawazo
Hizo asilimia nyingi ni za mapingamiz na wasitarajie hilo tena na wajiandae kisaikolojiaTumefamikiwa kupunguza ushindi wa CCM serikali za mitaa kutoka 90% mwaka 2009 mpaka 66.5 mwaka 2014.Sasa ndiyo tunamalizia kazi.
hiyo operation itawaTIGITIGI washirika wa ukawa na si vinginevyo.
tunakutakia kila la heri ili ujustify ulaji wa hela za chama kupitia perdiem na si kuleta matunda. zote hizo ni njaa tupu kaka
Nigeria wamefanyaje? we Unamjua Buhari wewe? uliza historia, huyo alishatawala akaondolewa na upinzani sasa amerudi tena, unasemaje hapo!
Hili neno TIGITIGI nikienezwa usukumani ccm watapata shida sana maana wasukuma wakishaamua kitu hutaweza kuwageuza kwa hongo ya aina yoyote maana wao wala hawajui maana ya serikali wanachojua kila mtu anajitafutia maisha yake halali kwa njia yoyote halali!
Kitu kingine wasukuma ambacho hawakipendi kukiona machoni mwao ni police ukiwaambia nipeni kura hamtaona dagi imekanyaga hapa utapata kura zote. Hawapendi kusumbuliwa maana wao ni watafutaji hawana time na vimisaada vya serikali.
Ukawa wanaweza kuteka kanda ya ziwa kwa urahisi sana kuliko ccm. Tusubiri tuone madhara ya tigitigi!
Hivi wewe una miaka mingapi?
Hata unachokiandika hakieleweki, eti umebaki hapo ulipo kwa miaka 54? uliifikiaje hiyo miaka 54? ungenambia umedumaa ki mawazo na sasa una miaka 54 lakini una mawazo yale yale ya mwaka wa kwanza wa Nyerere ningekuelewa.
Kalenga, Cjalinze, Kata Tatu Chopa Tatu, Serikali za Mitaa - Nnakukumbusha tu.
Mimi si kikongwe kama wewe,ila nchii hii ni kongwe kuliko mimi. Unazungumzia Kalenga na Chalinze?Ulifanya comparison katika chaguzi zilizofanyika katika majimbo hayo 2010?Kuna chochote Cdm walichoongeza baada ya Hapo?
Uchaguzi Serikali za Mitaa umedhihirisha mafanikio ya Operation za awali. La sivyo zisingetokea vurugu zilizosababishwa na kuapisha kwa Lazima kwa wana ccm ambao hawakushinda.
Hebu Ongelea mlivyobebwa na Wakurugenzi wa Halmashauri mbalimbali katika chaguzi hizo!
Kukubaliana na Mapingamizi mliyoweka ccm ila yale ya Upinzani yaliminywa, unasemaje kuhusu hilo?
Mapingamizi 5000, hayo ni kwa Halmashauri ya Meru tu, halafu yanatangazwa wakati hamna muda wa Rufaa,unasemaje kuhusu hilo?
Tupe mrejesho juu ya ufanisi wa Operesheni lukuki zilizotangulia