Haya wote tuhamieni CUF chadema haitakiwi na waislam.
NO CUF, NO upinzani tanzania,
Chama kingine chocho kitakuwa cha kikirsto.
Waislam nchini wapinga oparesheni Sangara
Geofrey Nyang'oro na Zaina Malongo
Shekhe Saidi Mwaipopo aliwataka waisalamu kutambua kuwa chama hicho, hakina msaada wowote wa maendeleo ya uislamu kutokana na chama hicho kujaa ukabila udini na ubinafisi.
Mwananchi Read News
CUF at work , baada ya yale ya Mbeya sasa wamehamia kwenye makongamano.Hapa tuna amini kwamba Chadema ni wapinzani wa kweli na CUF wamekuwa wakitumika .Ushahidi tosha kabisa .Watanzania si wajinga na wataendelea na kuunga mkono Chadema.Hivi hili Mzee Jasusi Kongamano lilikuwa kwa ajili ya Chadema pekee ama maendeleo ya Waislam na maslahi katika vyama vya siasa ? Nimeshindwa kuelewa ama kwa vile sijasoma habari nzima maana nimepata kicgefu chefu kabla sijaenda mbali ?
Mkuu, nadhani mhusika hapa ni Baraza la Waislamu kutoa ELIMU kwa waandishi wa habari kutochanganya habari ya mtu binafsi na tamko la Baraza au Uislamu kwa ujumla!Believe me, kama CCM haitavikemea vikundi hivi vya kiislamu kwa uwazi itapoteza kura za Wakristo. Tusipo acha kuingiza siasa kwenye dini, amani itapotea.
Katika waraka wa siri unaozagaa miongoni mwa Waislamu (ambao pengine umepandikizwa na vyama vingine) ni kuwa viongozi wa CHADEMA wamekubaliana na viongozi wa Kikiristo nchini kuhakikisha kwamba nchi hii haiwi mwanachama wa IOC na wala Waislamu hawapewi mahakama ya Kadhi milele.
Na kwamba baadhi ya viongozi wa makanisa wamesema watawashawishi waumini wao kukichagua CHADEMA 2010!
Yaani katika watu ambao nafikiri thinking capacity ni ndogo basi wenztu waislam wanaongoza. Wanapenda sana kudeal na minors, wakati mambo makubwa wanayaona na wanapita hawasemi.
Na TZ tutaregret soon, kwa kuruhusu ujinga na upuuzi kama huu kwa watu wajinga wachache. Enzi hizo walikwua wakikusanyika wanapigwa mabomu ya machozi hawafikii hata kuogea, huyu handsome boy kaja na mambo yake ya kuwapa uhuru wa kuongea randomly wanaanza kuongea yasiyowahusu.
Jamani tusiruhusu haya mambo yatatutokea puani soon.