Operation ng'oa Magufuli inakuja

Mafisadi ni wapi hao?
 
umeshapata wapambe operation ng,oa magufuli sasa imeshafika mahali pale lazima ang,oke 26-april kwa amani kabisa
 
Kweli ccm ina vijana magarasa jamani, hata kujenga hoja ktk hili wanashindwa wanaongea upuuzi kwelikweli! kwa hoja hamuwezi kabisa upinzani.
 
Kwani walioifikisha hii Nchi hapa tulipo si hiyo ccm?
wezi wote si wako ccm?
Mikataba mibovu si nyie ccm?
Kweli wewe ni mbulula wa akili.
 

Akili za wapi hiziz?
 
Shida hawa akina dada wameverugwa sana enzi hizi vile vya bure walivyokuwa wanavipata havipo sasa mtu kama huyu kweli ni wa kumsikiliza,huyu si sawa na yule sijui Kimamvi wa Marekani,yule dada mlevi Shyrose ,Maria na wengine wengi wanaojifanya wanajitambua kumbe wana stress za kukosa wanaume wa kuwaoa na ukiangalia wote hawa walikuwa ni akina dada wa mujini ,siku hizi wamekosa hata wa kuwapigia simu na kusema ''mornin' honey''
 
Kadanganye wajinga, ufisadi upi wakati watoa rushwa na wauaji wanapewa vyeo? Upuuzi mtupu. Dc Arumeru alipokuwa anahonga madiwani wa upinzani ile ilikuwa kazi takatifu siyo? Acheni kuwadanganya watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…