POLE XANA NDUGU YANGU. INAWEZEKANA UFUKUZWA KAZI KWA KUKUTWA UNACHETI CHA DARASA LA SABA.
ILA KWA TAARIFA YAKO MAGUFULI HATOKI MPAKA MAFISADI WOTE MNYOOOKEE.
HUKO KWA KWENYE CHAMA CHENU MUMEBAKIA WAKUMBATIA MAFISADI NA WALA RUSHWAAA. SISI HUKU MAFISADI NI MWIKOOOO.
KAENI KUWATETEA TU HAO MAFISADI. ILA MWISHO WAO UMEFIKAAA.
TUNAE JPM MUNGU KATUSHUSHIA TULIA TU MAENDELEO NDO HABARI YA MJINI.
MAJUNGU NA MATAMKO HEWA PELEKA KWENYE LICHAMA LAKO.
Hiyo ndio shida ya kula mbazi wakati wa usiku unajamba jamba hovyoKuna kampeni imeanza,inaitwa "MAGUFULI BAKI"
Hii inalenga kuwaaminisha watanzania kwamba hakuna mtu mwingine wakuiongoza Tanzania milele Magufuli.
Na kampeni hii inaonekana haivunji sheria yoyote ya nchi.
Wakitokea watu tofauti kuipinga hiyo kampeni wataonekana wanavunja sheria na wengi wataozea ndani.
HII TANZANIA HII
watu wanaamini kila linalotokea ni mpango wa Mungu.
Hawajui kwamba mengi yanayotokea ni yale tunayopanga na kuamua wenyewe kwa utashi tuliopewa.
MIMI NAANZISHA OPERATION NG'OA MAGUFULI TUONE KAMA KUNA SHERIA NIMEVUNJA
By mjinga mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app

Povu la nini!!! 😀😀😀Ungeanza na operesheni ya kumuondoa mwenyekiti wa kudumu wa Chama chenu kwanza.
Magufuli amewaludishia nn nyie mnao jiita wanyonge!!!??ILI MPATE UHURU WA KUFANYA UFISADI NA KUPIGA MADILI??
TUNAANDAA MKAKATI AONGOZE MDA USIOJULIKANAAAA.
MAFISADI TULIENI HUU NDO MWISHO WENUU
MAGUFULI HANG'OKI ATA KIDOGO. HADI MSHIKE ADABUUU.
MUMETUIBIA WANYONGEEE, INATOSHAAA.
KAENI PEMBENI NA TENA PISHENI KABISAAA
Nchi ya chato labda!!Mtang'oka nyie mtamuacha Magufuli for life madarakani
Umekula nn leo?Kuna kampeni imeanza,inaitwa "MAGUFULI BAKI"
Hii inalenga kuwaaminisha watanzania kwamba hakuna mtu mwingine wakuiongoza Tanzania milele Magufuli.
Na kampeni hii inaonekana haivunji sheria yoyote ya nchi.
Wakitokea watu tofauti kuipinga hiyo kampeni wataonekana wanavunja sheria na wengi wataozea ndani.
HII TANZANIA HII
watu wanaamini kila linalotokea ni mpango wa Mungu.
Hawajui kwamba mengi yanayotokea ni yale tunayopanga na kuamua wenyewe kwa utashi tuliopewa.
MIMI NAANZISHA OPERATION NG'OA MAGUFULI TUONE KAMA KUNA SHERIA NIMEVUNJA
By mjinga mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndio great thinkers wa jf.
Sishangai...Hiyo ndio shida ya kula mbazi wakati wa usiku unajamba jamba hovyo
Vichwa vyenu vinayasumbua masikioChadema kwa upotoshaji, mbona ile kauli iko wazi kuwa abaki katika misimamo, sio kukaa milele vichwa vya watu wa Chadema vinaipa tabu miguu
mambo yote ni tarehe 26 kudadekiiiiKuna kampeni imeanza,inaitwa "MAGUFULI BAKI"
Hii inalenga kuwaaminisha watanzania kwamba hakuna mtu mwingine wakuiongoza Tanzania milele Magufuli.
Na kampeni hii inaonekana haivunji sheria yoyote ya nchi.
Wakitokea watu tofauti kuipinga hiyo kampeni wataonekana wanavunja sheria na wengi wataozea ndani.
HII TANZANIA HII
watu wanaamini kila linalotokea ni mpango wa Mungu.
Hawajui kwamba mengi yanayotokea ni yale tunayopanga na kuamua wenyewe kwa utashi tuliopewa.
MIMI NAANZISHA OPERATION NG'OA MAGUFULI TUONE KAMA KUNA SHERIA NIMEVUNJA
By mjinga mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha masihara banaudikteta lazima uondoke
Majibu yapo tayari anzeni na Kumtoa mwenyekiti wenu wa kudumu