Operation ng'oa Magufuli inakuja

Ukawa wakiongozwa na cdm kwa jinsi walivyo na bongo za kushikiwa wakaamua wa okote uchafu ulio ndani ya hiyo ndoo ya chafu ya ccm na kula sasa baadhi yao wanaharisha na kutapika bila utaratibu.


Na washawasha!


 
waamb

waambie tu..unajua wamemezeshwa uongo wa kale kazee kao kuwa yeye ni safi baada ya kuwa nao
 

Kamshinda nani kwenye box la kupigia kura?
Mshindi anamwogopa sana aliyemshinda kiasi anatamani hata asiseme lolote, wewe hujiulizi tu? Au kwako umeshindwa kuiona hiyo?
 

Mwandiko huu hakika wewe ni chama kile... bisha kama si kweli. Mtu mwenye mwandiko kama huu ni kazi sana kuona mambo kwa upana ndiyo mana hata fikiri yako imeishia hapa
 

Mimi siamini kama uko timamu unaweza shindwa tofautisha kati ya huyo Lowasa2020 na Raisi wa nchi anapoambiwa abaki.
 
Operation ya kumbakiza sio uhaini?
 
Wakati yeye mwenyewe ni FISADI tu hana lolote zaidi ya kujilimbikizia mali kama wenzake
Kuna wengi ambao hawajitambui au hawatambui linaloendelea wanajibu kwa mihemko tu. Mafisadi wapo ndani ya ccm huwa nashangaa wanaposema mafisadi watamtambua mtukufu so far nani ameshitakiwa na kuhukumiwa sababu ya ufisadi? Waliokamatwa wameachiwa sijui hii vita ya ufisadi inafanyikia mbinguni ahera au duniani? Yanayoendelea chato ni kufuru ati! Akiondoka madarakani ndio ukweli na uongo utajulikana.
 

Hivi huwajui wanaCCM ni wanafiki kiwango cha PhD.Jamaa yetu akitoka madarakani utayasikia
 

Kama m/kiti wenu tu mnashindwa kumng'oa unadhani watz watakuruhusu umnng'oe rais wao?
 
Kama wewe Rose ndoa inekushinda, utaweza kumuondoa Rais Magufuli madarakani? Tehetehetehe. Kick zingine bana!
Ndoa hawezi kuipata kazi yake ni kuwaponza makamanda wa njombe huko....
 
una baraka za mwenye chama mzee wa RICH MONDULI..?
 
Mbona Chenge hamumfukuzi jamani. Acheni unafiki huo..
 
Unaangalia vizuri kweli wewe au unashabikia tu Magufuli?? Hakuna chama chenye mafisadi wengi kama CCM. Labda kama huna macho.
 
Hivi kumbe huyu binti ndoa imemshinda mkuu!?
Wanawake aina hii ni viumbe hatari sana katika jamii.
Hata hiyo ndoa hakuwai kuipata...ni wakuonea huruma kwa kutafuta kiki.... ni kabinti kadogo kaliko taka ubunge viti maalum lakini akapewa Upendo Peneza kanalazimisha kipelekwe keko ili kipate kiki
 
Hata hiyo ndoa hakuwai kuipata...ni wakuonea huruma kwa kutafuta kiki.... ni kabinti kadogo kaliko taka ubunge viti maalum lakini akapewa Upendo Peneza kanalazimisha kipelekwe keko ili kipate kiki
Asante kwa taarifa mkuu.
Kwa mwenendo huu ataipata Kiki ya jafongo (sosoliso,yale magari ya mkaa miaka ya 80) hivi karibuni.
 
maisha magumu sana mtaani.natamani huyu rais hata kesho aondoke madarakani. hakuna faida tuipatayo watanzania tulio wengi kwa utawala huu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…