Operation ng'oa Magufuli inakuja

Je AKIANZISHA OPERESHENI YA KUMFANYA MAGUFULI AWE RAIS WA MILELE utamweka kwenye kundi gani? mbavu zangu.............😉😉😵
 
Operesheni ...Operesheni ...Operesheni .....mmekuwa kama wodi ya wazazi!
MAJIZI mnatapatapa kila kukicha. Njooni na mkakati wenye tija na manufaa kwa Wananchi.
Kila siku mnatoa mishuzi tu,halafu mnajidai mnatutea sisi wanyonge. PATHETIC!
 
Huo sasa ni UHAINI,subiri kibano maana unatafuta kiki za kijinga...!!!
 
Kama wewe Rose ndoa inekushinda, utaweza kumuondoa Rais Magufuli madarakani? Tehetehetehe. Kick zingine bana!
Hivi kumbe huyu binti ndoa imemshinda mkuu!?
Wanawake aina hii ni viumbe hatari sana katika jamii.
 

yeye mwenyewe fisadi kauza mali za umma izo nyumba kaenda kununua kivuko kibovu kwa bei ya kivuko kipya kaenda kununua ndege pasipo kushirikisha mfumo wa ununuaji na kulipa mwenyewe kama pesa ni zake na mwisho ma deal barabara uyajui wewe kaa kimya
 
Jamani nitapata wapi kadi ya ccm na utaratibu ni upi? nataka kujiunga na ccm kwani kuna deal liko mahali nataka nipiige kisha nitulie nile bata.
 
Nakuapia waliomchagua in 20%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wasukuma ndo tuko karibu milioni 8 naturaly tu kwa kura zote hizo inapaswa tutawale milele

usiwavuruge wasukuma maana uyo mtu wako sio msukuma kalelewa tu na wasukuma kuongea kingereza haimaanishi wewe ni muingeresa wasukuma hawana akili za ivyo wasukuma ni wakarimu na wapole uyo fatilia mipakani ngara uko ndio kwao
 
HALI YA SIASA ZA CCM INATIA AIBU NCHI NA ITAANGAMIZA UTAIFA SI MUDA MREFU
 
Na kumshawishi abaki na kukiuka masharti ya katiba ni kosa gani inakuwa?
 
Kwenda kule wewe! unamtisha mtu kwa kuweka mawazo yake hadharani? tena mtu verified user? nyie mnaokuja na kuleta mawazo ya kuvunja katiba kwa nini ndio msiitwe wahaini? maana kumuweka kiongozi zaidi ya muda uliowekwa kikatiba ndio makosa lakini kumuondoa kwa kufuata utaratibu sio makosa. Ndio maana hata bungeni kuna kipengele kinachosema wabunge wanaweza kuanzisha motion ya kutokuwa na imani na Rais na akaondolewa madarakani na kurudi Chato kulima ulezi.
Na ni kwa vile nchi hii imekaa kwa kujipendekeza pendekeza tuu, vinginevyo kura hiyo ingeshapigwa siku nyingi kwani aliyepo anavunja sana katiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…