Operation imba Ukombozi, leo kunguruma Ruaha

Operation imba Ukombozi, leo kunguruma Ruaha

Chademakwanza

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
6,346
Reaction score
1,872
Wakazi wa Ruaha mjini leo wamefikiwa na Operation Imba Ukombozi inayofanywa na Idara ya sanaa chadema (makao makuu) Operation hii inaongozwa na mwana wa Cotide, George Mwingira na mratibu wao wa Idara Danny Raymond Madiba maarufu kama Nabii Madiba.

Mkutano utaanza saa Nane katika viwanja vya Ruaha Mjini.

Wakazi wa Ruaha wote mnakaribishwa
 
Ukawa kama maji, usipoyanywa utaoga tu
 
Wakazi wa Ruaha mjini leo wamefikiwa na Operation Imba Ukombozi inayofanywa na Idara ya sanaa chadema (makao makuu) Operation hii inaongozwa na mwana wa Cotide, George Mwingira na mratibu wao wa Idara Danny Raymond Madiba maarufu kama Nabii Madiba.

Mkutano utaanza saa Nane katika viwanja vya Ruaha Mjini.

Wakazi wa Ruaha wote mnakaribishwa

Mkuu Ni Ruaha Mbuyuni kabla ya kufika Kitonga?
 
Ni Ruaha ya wapi mkuu? Maana kuna Ruaha Mbuyuni ambapo ni mpakani mwa Moro na Iringa regions pia kuna Ruaha ya Kilosa ambapo ni mpakani mwa Kilosa na Kilombero Districts
 
Ccm wakijakushituka wanakuta masikio ya wananchi yameshajazwa sumu ya ukombozi
Wakija na maneno yao khanga wanakuta hakuna anayeelewa somo

Chadema wakipita sehemu lazima upepo ubadilike angalia kule sumbawanga ni noma tupuu
 
Back
Top Bottom