Operation DUSTCOVER: Mawimbi Yame-Intercept Kabla ya Code Kuingizwa kwenye Server

Mtafaruku gani acheni mambo ya ajabu tendeni HAKI.
Watu wana Demand haki na Usawa.
 
Sasa jambo kama hili nalo ni lakuzunguka mbuyu?
Huoni hapo mpaka mlevi wa chimpumu amekuelewa.
 
Kuna muda nacheka sana coz tunajikuta smart sana kuliko mabeberu mwisho wa siku tunaishia kuumbuka,how come mtu unajikuta jeuri sijui TISS et al wakati 80% kuanzia dhana,ujuz,fedha unamtegemea beberu

Kwa kifupi sisi bado sana mpaka tutakapokuwa huru kiuchumi na kuwa na elimu thabiti na bajeti toshelevu kwenye R&D,otherwise wanachotaka wao lazima kiende kwa mpango wao refer to JPM case study.
 
mbona una ni attack kama ndo nimesema mimi nilikuwa najaribu kufafanua kwa aliyesema kuwa code ngumu nikasema mimi nilichokielewa ni hicho kulingana na mwandishi
Ukweli ni kama kisiki, akijaribu kuupiga teke utamvunja dole gumba.
 
Katika mazingira ya Tanzania ya sasa, wapo watu wanaotumia jukwaa la dini kuendesha siasa za kivuli, kwa nia ya kupunguza uhalali wa mamlaka ya nchi. Mfumo wa usalama umeshatambua njia hizi — hata pale zinapokuja kwa sura ya uongozi wa kiroho.
Mkuu jikite kwenye maswala mtambuka yanayoikumba Taifa na usalama wake achana na udini hautakusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…