Opera mini mpya inafail kuconnect kwenye internet ya simu yangu.

Opera mini mpya inafail kuconnect kwenye internet ya simu yangu.

Abubaro D

Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
22
Reaction score
8
Habari wanaJF ,Kwa wale wanaofaham, natumia simu ya nokia 2330c 2B, kwa internet tatizo ni kwamba, opera mini niliyokuwa natumia inasumbua sana hususan katika kuapload pictures facebook, na mitandao mengine ya kijamii, nahisi hii opera ni old version, tatizo limekuja baada ya kudownload opera mini 4.4 ambayo ndo uwezo wa mwisho wa simu yangu, cha ajabu kila nikijaribu kuinstall inaniandikia 'failed to connect' xaxa sijui tatizo nini , naombeni msaada wenu nifanyaje, au kama kuna njia nyingne ambayo naweza kulogin, kwenye mitandao ya kijamii, kama kawaida, Natoa advansi ya shukrani kwenu!!
 
mkuu opera ikifeli first time kuinstall ujue itazingua huko baadae. Inavyoonekana first time kuinstall hukua na internet stable thats why ikafeli ndo mana hadi sasa inakataa.

Delete hio opera then download tena ukiwa na net nzuri halafu install upya
 
Angalia kama time setting iko sawa na pia angalia internet settings kama ziko sawa hasa access point kulingana na mtandao unaotumia na mara nyingi hizi applications haziconnect kwenye wap ila kwenye internet pia hakikisha hiyo configuration imekuwa default for all applications.
 
Mkuu, mimi simu yangu huwa ina uwezo wa kuendesha Opera mini yoyote, lakini huwa naipenda sana hii opera mini mod 4.21 maana inauwezo hadi wa kuplay you tube video, kudownload aina zite za files nk, hivyo jaribu kuipakua kwa KUBONYEZA HAPA.
 
Opera Min Za Java Znakuaga Na Matatizo Makubwa Mawil!!!! la Kwanza Huwa Lnakua Hlo Aliloltaja SuperImpressor Ila Hl Nadhan Maranyng Kwenye Operamin 4 !! lapili ambalo Nahs Ndo Kikwazo N Kwenye Access Point!!! nenda Setings Shuka Mpaka Configuration Kisha Fanya Hz Step 3!!
1)select Configuration
chagua access point Kisha Iselect... sikushaur Uchague zle znazojiweka kama vodacom Tanzania kwa wanaotumia voda na wanaotumia tigo znajiandka Tigo Tanzania... ikiwezekana zifuteee Weka ambazo mbele znaishia na internet au wap!! kama Hazpo Tengeneza za kwako!!

2)Default In All Apps
hapa Iselekt iwe Default kwenye all apps!! (just One Click)

3)select access Poin
hapa chagua access point yako yoyote!! usipo iona hapo Bas I create maana hz thirdpart Browser hazfany kazi bila kuchagua a certain access point!!!

Nb: Accesspoint na configurations Unaweza ku create za kwako kama ukikosa kutoka kwa service provider... Na maranyng hz n nzur kuliko za service provider maana hazichagui simcard!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
nurbert swala la access point sio la opera mini peke yake. Jaribu kufungua application nyingine kama ovi store, binu au game yoyote inayohitaji internet connection, haitakubali!. Interal browser ya simu ambayo kwa kawaida ni WAP-based ndio haihitaji access point ili kuconnect. Hata kama hiyo internal (au default) browser ni opera mini imekuwa customized kufanya kazi na WAP.
Swala la time setting utambue kuwa ni simu na sio browser inayotilia shaka server ikidhani kuwa time settings zake ndio sahihi. Ndio maana error message inasema:"server authentication failed". Ni sawa na vile nchi inavyokataa kupokea wageni toka nje wenye vitambulisho vyenye mashaka.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom