Open University warejesha foundation program

Open University warejesha foundation program

Baada ya matokeo ya F6 kuwa hewani, issue ya Foundation Program ya Open University imejitokeza tena. Uzi huu una taarifa kamili kwa wale wanaohitaji kujua wanawezaje kufaidika na program hiyo.
Sorry ndugu naomba nieleweshe je hii programe inamhusu aliyemaliza form six mwaka huu?kuna mdogo wangu alama za kujiunga chuo hazijatimia
 
Na akifaulu anaruhusiwa kusoma degree popote?
OUT wanadai hivyo, na mimi naamini inatakiwa iwe hivyo kwani vyuo vingine vimezuiwa kutoa foundation course, na TCU ndio wasimamizi wa mwisho kwenye hii na wamehusika kwenye kuipitisha hiyo program.
 
Je baada ya kumaliza hyo program unaruhusiwa kujiunga na degree chuo chochote kile nchini?na kuna vyuo maalumu ambavyl huchukua wenye waliosomea hyo kozi au wataendelea na open hapo hapo degree?ufafanuzi
 
Sijaelewa hii kitu.yani unasoma miaka mitatu diploma halafu unaingia mwaka mmja kwenye hip program foundation.so unakuwa unasoma miaka minne kabla ya kuchukua degree au inakuwaje.
Sijaelewa nisaidieni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom