Chief Ortambo Ikumenye
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 255
- 529
Walamba asali, naangalia website ya Open University naona wametoa placements wao wenyewe jana tarehe 12 kwa interview zilizofanyika mwezi August. So inawezekana kabisa kwa wale tunaosubiria majibu ya kazi za Assistant Lecturer na Tutorial Assistants kwa vyuo vilivoita interview, tukapata majibu kabla huu mwezi haujakata.
Tuendelee kuomba dua huu mwezi naona unaenda kuwa wa neema.
Tuendelee kuomba dua huu mwezi naona unaenda kuwa wa neema.