Ubavu
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 2,789
- 3,278
Mnamo tarehe 28 october (kama sijakosea), Open university walitoa majina ya watu waliokuwa shortlisted kwaajili ya kufanya interview kwa posts za Assistant lecturer na Tutorial assistant. Cha kushangaza kuna baadhi ya posts hawakutoa majina wala maelezo ya kwann hawakuita watu kwenye interviews kwenye kada hiyo.
Nmesubiri mpaka nmechoka. So nmeamua kuleta jambo hili hapa JF maana hapa wapo watu wa aina mbalimbali ambao nadhani wanaweza kujua kinachoendelea.
Natanguliza shukrani zangu kwenu...
Ubavu !
Nmesubiri mpaka nmechoka. So nmeamua kuleta jambo hili hapa JF maana hapa wapo watu wa aina mbalimbali ambao nadhani wanaweza kujua kinachoendelea.
Natanguliza shukrani zangu kwenu...
Ubavu !