Open tafadhali-cosmos rays

Open tafadhali-cosmos rays

john hotsam da1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
396
Reaction score
79
Inasadikika leo saa 6:30 mpk 9:30 miale ya cosmo itaingia duniani ktk sayari ya mars.Hivyo zima simu yako na weka mbali nawe usilale nayo kwasababu miale ni hatari chanzo cha habari ni BBC NEWS TAFADHARI WAPE TAARIFA NA WENGINE.



nimetumiwa na mtu,je kuna ukweli????

ingia HAPA
 
Hii taarifa kila siku inaletwa hapa..
 
mleta mada mara ya mwisho kuingia humu ilikuwa lini!
 
Back
Top Bottom