Open Source Intelligence: Mkandarasi wa "Stigla Goji" ana walakini?

Open Source Intelligence: Mkandarasi wa "Stigla Goji" ana walakini?

Namuonea huruma kamanda lissu.

Amejeruhiwa mpaka kupata kilema,akiwa na wafuasi maandazi hawa wasiojua nini cha kushika na kukitetea.

Mtu anakwambia amefanyia intelijensia google[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],halafu utakuta huyu mtu amemaliza chuo,na ameajiliwa au anatafuta kazi.
 
kila mtu ni corrupt,acha watujengee bwawa bana,hatutafuti shemasi hapo

Jamaa anaulizia kama gharama za ujenzi wa bwawa hazijawa overstated kama za yale maghorofa ya hostel kwa misingi ya upigaji. jiwe si unamjua kwa upigaji lakini?
 
Back
Top Bottom