Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 25,435
- 46,175
Libolo?Jina la ile timu iliifungaga 6-0 simba sc ya DSM
Libolo?Jina la ile timu iliifungaga 6-0 simba sc ya DSM
Ushaangukia kwenye Udini.kila mtu ni corrupt,acha watujengee bwawa bana,hatutafuti shemasi hapo
Nawaonea huruma wapiga zumari maana hawamjui Jiwe lakini atakapoondoka madarakani ndiyo watamjua undani wake na ndiye atakayekuwa mmoja wa marais tajiri Afrika. Mradi wa SGR kinachofanyika mle ni balaa vumilieni akitoka tu muone dili zilizofanyikaKinyume na imani iliyozoeleka kuwa intelijensia ni suala linalofanywa na mashushushu pekee, au watu wa vyombo vya dola, baadhi ya nyanja katika taaluma hiyo zinaweza pia kufanywa na wasiojihusisha na taaluma hiyo per se. Including you, or anybody else, kwa mfano, kwa kutumia "open source intelligence" kwa kifupi OSINT.
So, tuna kampuni moja kutoka Misri ambayo imekabidhiwa jukumu la kujenga "Stigla Goji" mradi unaotajwa kuwa wa kihistoria na ambao Jiwe anaamini kuwa utakuwa moja ya legacies zake. Lakini je kampuni hiyo ni safi?
Fanya urafiki na Google, kisha weka jina la kampuni hiyo plus neno "corruption." Let me not pre-empt matokeo ya "open source intelligence" yako, ila tu naomba kuamsha tafakuri yako kuhusu findings za uchunguzi huo mdogo, especially iwapo suala hilo zima halitokuwa na athari kwa mradi huo wa kihistoria.
Kawadanganye MAFALA kama wewe, huyo unayem quote muanzisha mada, anajifanya kitengo mstaafu. Kuanzia kipindi cha kampeni 2015 walichungulia mpaka akaunti za nje ya nchi hawajaona kitu, wamejaribu kufukunyua kuona kama kuna ela zimefichwa mahali wamechemka, hawaoni kitu. Angetaka kuwapiga angewapiga miaka 20 aliyokuwa anakabidhiwa bilioni nyingi sana za barabara nchi nzima lakini WAPI?, Hizo ela unazodai anazipiga anaziwekaga wapi?,.. Uvunguni mwa kitanda. Angalia thread zinazoanzishwa nyingi sasa hivi zisivyo na kichwa wala miguu baada ya kukosa vitu vya maana vya kukosoa?,. Mkuu waweza kukuta wewe ndo unalishwa maneno ya vijiweni na hutakaa uweze ku prove unachokiongea maana hakuna uhalisia.Nawaonea huruma wapiga zumari maana hawamjui Jiwe lakini atakapoondoka madarakani ndiyo watamjua undani wake na ndiye atakayekuwa mmoja wa marais tajiri Afrika. Mradi wa SGR kinachofanyika mle ni balaa vumilieni muone kinachofanyika
Alafu inasemekana hiyo kampuni eti haijawahi kujenga hata shimo la chemba.Wadanganyika ni watu wa kuhurumiwa sana,kuna mtu kaamua kuwaswaga badala ya kuowaongoza na wao wamekubali na kibaya zaidi, anakowapitisha wao hata hawatazami.
Bwana huyo kwa sasa kaamua kuelekeza "noti" nyingi kwenye sekta moja sekta ambayo ina-facilitate tu shughuli za maendeleo ili kukuza uchumi huku sekta ambazo zinatakiwa zi-take advantage ya sekta hiyo moja inayopewa kipaumbele kukuza uchumi, zikiwa zinaporomoka kwa kasi na bado wadanganyika waanaamini mtu atawafikisha mbali.
Mwisho wa siku ataawachia structures zenye kupendeza na kuvutia machoni lakini wao wakiwa hoi bin taabani kimaisha/kiuchumi huku wasio na ajira wakiongezeka na mambo mengine mengi ama yakiwa yamedorora au kukwama kabisa.
Tutasonga mbele kwa fikra na vipaumbele vya mtu mmoja na hii iko dunia nzima!!!!!
Zidumu fikra za mwenyekiti!!
Hata gesi ya kule kusini waliwajengea ila leo kiko wapi?kila mtu ni corrupt,acha watujengee bwawa bana,hatutafuti shemasi hapo
Kama ni corruption ipo kila mahali hata wewe inawezekana umekula kwa namna moja au...
Hata Trump anakula
Kawadanganye MAFALA kama wewe, huyo unayem quote muanzisha mada, anajifanya kitengo mstaafu. Kuanzia kipindi cha kampeni 2015 walichungulia mpaka akaunti za nje ya nchi hawajaona kitu, wamejaribu kufukunyua kuona kama kuna ela zimefichwa mahali wamechemka, hawaoni kitu. Angetaka kuwapiga angewapiga miaka 20 aliyokuwa anakabidhiwa bilioni nyingi sana za barabara nchi nzima lakini WAPI?, Hizo ela unazodai anazipiga anaziwekaga wapi?,.. Uvunguni mwa kitanda. Angalia thread zinazoanzishwa nyingi sasa hivi zisivyo na kichwa wala miguu baada ya kukosa vitu vya maana vya kukosoa?,. Mkuu waweza kukuta wewe ndo unalishwa maneno ya vijiweni na hutakaa uweze ku prove unachokiongea maana hakuna uhalisia.
Hii kali we msaga sumu!Ww shushushu usiamiani Sana Google, ukisachi IDIOT under image search zijnatokea picture za Donald Trump
Wewe mchawi. Ngoja niwaambie MODs wakuweke kwenye barafuKinyume na imani iliyozoeleka kuwa intelijensia ni suala linalofanywa na mashushushu pekee, au watu wa vyombo vya dola, baadhi ya nyanja katika taaluma hiyo zinaweza pia kufanywa na wasiojihusisha na taaluma hiyo per se. Including you, or anybody else, kwa mfano, kwa kutumia "open source intelligence" kwa kifupi OSINT.
So, tuna kampuni moja kutoka Misri ambayo imekabidhiwa jukumu la kujenga "Stigla Goji" mradi unaotajwa kuwa wa kihistoria na ambao Jiwe anaamini kuwa utakuwa moja ya legacies zake. Lakini je kampuni hiyo ni safi?
Fanya urafiki na Google, kisha weka jina la kampuni hiyo plus neno "corruption." Let me not pre-empt matokeo ya "open source intelligence" yako, ila tu naomba kuamsha tafakuri yako kuhusu findings za uchunguzi huo mdogo, especially iwapo suala hilo zima halitokuwa na athari kwa mradi huo wa kihistoria.
Kweli Mkuu ebu jaribu sasa iviHii kali we msaga sumu!
Eti idiot inakuja picha ya nani?
MoDs put this creature in iceWadanganyika ni watu wa kuhurumiwa sana,kuna mtu kaamua kuwaswaga badala ya kuowaongoza, na wao wamekubali na kibaya zaidi, anakowapitisha wao hata hawatazami.
Bwana huyo kwa sasa kaamua kuelekeza "noti" nyingi kwenye sekta moja sekta ambayo ina-facilitate tu shughuli za maendeleo ili kukuza uchumi huku sekta ambazo zinatakiwa zi-take advantage ya sekta hiyo moja inayopewa kipaumbele kukuza uchumi, zikiwa zinaporomoka kwa kasi na bado wadanganyika waanaamini mtu atawafikisha mbali.So sad!
Mwisho wa siku, ataawachia structures zenye kupendeza na kuvutia machoni, lakini wao wakiwa hoi bin taabani kimaisha/kiuchumi huku wasio na ajira wakiongezeka, na mambo mengine mengi ama yakiwa yamedorora au kukwama kabisa.
Tutasonga mbele kwa fikra na vipaumbele vya mtu mmoja na hii iko dunia nzima!!!!!
Zidumu fikra za mwenyekiti!!
Wewe umekuja na mada mpya.Wadanganyika ni watu wa kuhurumiwa sana,kuna mtu kaamua kuwaswaga badala ya kuowaongoza, na wao wamekubali na kibaya zaidi, anakowapitisha wao hata hawatazami.
Bwana huyo kwa sasa kaamua kuelekeza "noti" nyingi kwenye sekta moja sekta ambayo ina-facilitate tu shughuli za maendeleo ili kukuza uchumi huku sekta ambazo zinatakiwa zi-take advantage ya sekta hiyo moja inayopewa kipaumbele kukuza uchumi, zikiwa zinaporomoka kwa kasi na bado wadanganyika waanaamini mtu atawafikisha mbali.So sad!
Mwisho wa siku, ataawachia structures zenye kupendeza na kuvutia machoni, lakini wao wakiwa hoi bin taabani kimaisha/kiuchumi huku wasio na ajira wakiongezeka, na mambo mengine mengi ama yakiwa yamedorora au kukwama kabisa.
Tutasonga mbele kwa fikra na vipaumbele vya mtu mmoja na hii iko dunia nzima!!!!!
Zidumu fikra za mwenyekiti!!
Povu lazima likutoke!!MoDs put this creature in ice