Open letter to all the men I loved before

Open letter to all the men I loved before

Tumekupata mtoto wa kitanga,sasa we watokea majani mapani au barabara ya 7 kwa kina marehemu baba dullah 1?
 
Tumekupata mtoto wa kitanga,sasa we watokea majani mapani au barabara ya 7 kwa kina marehemu baba dullah 1?

aah wapi, huyu ni wa mtimbwani au magaoni,ndio malimbukeni wa mapenzi kiasi hiki
 
mkuu najua umeshazoe kukokotoa demand and supply hapa lazima pakushinde

mbona uchumi wa taifa letu wadorora?
Aje huku kwenye nature tumfunze.
Aonje ladha tofauti.
Mke Mkurya nyumba ndogo Msafwa, raha ya mapenzi utaijulia wapi?
Utasoma weeeeh, na mwisho utajikuta umeangukia kwa housegirl Mtindiga
 
Mhhh, I am glad I'm not one of them. Huo mchezo wa kupendwa siku mbili pesa na outings zikiisha unapigwa chini nisingeuweza.
Btw, hivi ulikuwa nao wengi kiasi gani?
 
Thanks for the offer, but no thanks!!
 
Wewe ni mwana JF halisi,crap crap tu,sioni tofauti na Cameron.
kwenu mabrazameni, waheshimiwa, waume wa watu na wooote wale ambao sikuwatajeni hapa.

Mapenzi ni kitu kitamu sana kwa muda mfupi, haswa yakiwa featured na big shoppings, outings and vacations.

Ukiona umeachwa haimaanishi uendelee kung'ang'ania. Tafuta mwingine.

Ninapo acha huwa nina sababu zangu nyingi tu za kuamua kufanya hivyo.

Kwa sasa sihitaji tena simu zenu za vilio vya kuniomba niwasemehe na kufanya marudiano, wala sitaki simu zenu za ahadi kemkem.

Bahati niliyo watunuku ya kuwaonjesheni pepo ya kitandani imesha pita.

Sasa nimempata wangu, nimpaye pepo na paradiso zote, maraha na mahaba shatashata niliyo nayo na ninayo yajua ni mali yake.

Naomba tafuteni wa aina yenu.
 
Wewe ni mwana JF halisi,crap crap tu,sioni tofauti na Cameron.
dont take her posts kisirias sana mkuu, anatumia dawa za kichwa huyo

tumsaidie apone kwa kutomkatisha tamaa au kumuudhi
 
Mhhh, I am glad I'm not one of them. Huo mchezo wa kupendwa siku mbili pesa na outings zikiisha unapigwa chini nisingeuweza.
Btw, hivi ulikuwa nao wengi kiasi gani?

when you are talking about kiasi gani means cash. Or your intention was to ask about how many? (Wangapi)
 
Mbona unazungumzia raha utoazo?
Vipi kuhusu upatazo toka kwa huyo l'aaziz?
Maisha mafupi shosti, usiibanie mipngo!!
 
Back
Top Bottom