What the heart thinketh, the tongue speaketh.
Nampa pole sana huyo uliyempata.
Hivi nazjaz ulikuwa na wanaume wangapi vile?
sasa kama hawapo JF kiherehere cha nn sasa kuandika humu,au ndo promo unataka,,,mxxiiiiiiMabwana wa JF hawachelewi kukuanzishia thread, siwataki hata kwa burungutu la dolali
wengine waliachweje!?acha kumuombea mabaya shem wetu haachwi huyo
teh teh,wa aina yao ni kama wewe so huyo jamaa yako ndo kalamba JABAkwenu mabrazameni, waheshimiwa, waume wa watu na wooote wale ambao sikuwatajeni hapa.
Mapenzi ni kitu kitamu sana kwa muda mfupi, haswa
yakiwa featured na big shoppings, outings and vacations.
Ukiona umeachwa haimaanishi uendelee kung'ang'ania. Tafuta mwingine.
Ninapo acha huwa nina sababu zangu nyingi tu za kuamua kufanya hivyo.
Kwa sasa sihitaji tena simu zenu za vilio vya kuniomba niwasemehe na kufanya marudiano, wala sitaki simu zenu za ahadi kemkem.
Bahati niliyo watunuku ya kuwaonjesheni pepo ya kitandani imesha pita.
Sasa nimempata wangu, nimpaye pepo na paradiso zote, maraha na mahaba shatashata niliyo nayo na ninayo yajua ni mali yake.
Naomba tafuteni wa aina yenu.
we bila shaka utakuwa mdigo mzigo unawaza ile kauli yenu ya ''mwanangu usiriche......''
ni kipi cjha thamani kiushindao moyo ulisha wahi kukabidhi?
King'asti........
Hivi nazjaz ulikuwa na wanaume wangapi vile?
Abee kaka, shkamoo!
I don't think she is keeping a ledger. Atahitaji karani!
I don't think she is keeping a ledger. Atahitaji karani!