Open letter to all the men I loved before

Open letter to all the men I loved before

Angalia nae asijekua ujumbe huu utamhusu someday!
 
Hv jamani bebii yuko wapi cku 2 hz? Nimemis coment zake za kitoto toto!!
 
hiyo shatashata u meant Kashata?hata mimi naipenda,tamu kwa kahawa!kila la heri
 
Keshasema pepo zenyewe zinasupotiwa na big shoppings, outings na vacations! Unadhani huyu wa sasa hivi hatakaa apigike? Kamuulize mke wa Liyumba ama small houses zake watakusimulia! Dunia duara bebii!
Mke mwenza ilibaki kidogo nipitwe na huu uzi wa nazjaz kuwatunuku...lol, uwe unanshtua na wewe!

Mie nna suali moja tu kwa huyu bibie Nazjaz asiyeishiwa na vituko kila kukicha. Hao wanaume alowatunuku na sasa anasitisha huduma wako humu ndani au???

Mke mwenza niko chini ya miguu yako(ila sikuchungulii) popote utakaponionea Dena Amsi mwambie namtafuta sana! Anidipu mie ntampigia!
 
Miss drama queen in action!
Smile,hajasema kafunga mahesabu, wa sasa nae akiachwa anaungana na wenzie kuusoma waraka huu!
Kila la kheri nazjaz mwaya

amepewa vitu adimu, kwangu habanduki, nimemtunuku moyo wangu simuachi asilani
 
Mhm!Isije kuwa na huyo naye ni mpitaji tu na kwa sasa anapewa pepo kama ilivyokuwa kwa wengine.
Kumbuka kuwa mapenzi hayana kaburi wala kiapo inawezekana ikatokea siku wale wale wa zamani wakarudi.
Mshukuru Mungu na mwombe kwa nafasi uliyoipata sasa ila kumbuka kuwa maisha ni safari ndefu na kuikamilisha ni siku ya kufa.
 
Mke mwenza ilibaki kidogo nipitwe na huu uzi wa nazjaz kuwatunuku...lol, uwe unanshtua na wewe!

Mie nna suali moja tu kwa huyu bibie Nazjaz asiyeishiwa na vituko kila kukicha. Hao wanaume alowatunuku na sasa anasitisha huduma wako humu ndani au???

Mke mwenza niko chini ya miguu yako(ila sikuchungulii) popote utakaponionea Dena Amsi mwambie namtafuta sana! Anidipu mie ntampigia!

una hiana wewe wewe, loh!!! Hebu tulia na wako
 
Kwahiyo una mapepo??
Ukiona umeachwa haimaanishi uendelee kung'ang'ania...

Source: Nazjaz.

Masuali hayaruhusiwi kwenye hili sredi.. lol. We elewa tu kuwa pepo ya kitandani imesitishwa kwa sasa. Khaa!
 
Kwahiyo una mapepo??
wacha kumzingua mdada bwana, hana mapepo mabaya yake mazuri tuu
tihi tihii hiii..............
ee bwana dah! kwahiyo shoppings, outings, vacations nini zikikata King'asti unasepa?

niliambiwaga kuwa uyaone nikafikiri maghorofa ya posta kuja kushtuka kumbe....!!
 
mie hapa napita tu, coz nafikiri wahusika wakuu wanajijua l.o.l
 
Mke mwenza ilibaki kidogo nipitwe na huu uzi wa nazjaz kuwatunuku...lol, uwe unanshtua na wewe!

Mie nna suali moja tu kwa huyu bibie Nazjaz asiyeishiwa na vituko kila kukicha. Hao wanaume alowatunuku na sasa anasitisha huduma wako humu ndani au???

Mke mwenza niko chini ya miguu yako(ila sikuchungulii) popote utakaponionea Dena Amsi mwambie namtafuta sana! Anidipu mie ntampigia!

humu pia wamo, tena ving'ang'anizi ka ruba wa Mombasa
 
Mke mwenza ilibaki kidogo nipitwe na huu uzi wa nazjaz kuwatunuku...lol, uwe unanshtua na wewe!

Mie nna suali moja tu kwa huyu bibie Nazjaz asiyeishiwa na vituko kila kukicha. Hao wanaume alowatunuku na sasa anasitisha huduma wako humu ndani au???

Mke mwenza niko chini ya miguu yako(ila sikuchungulii) popote utakaponionea Dena Amsi mwambie namtafuta sana! Anidipu mie ntampigia!

He he nipo nilikuwa sijaona kama Nazjaz kamwaga radhi hapa daahh huyo jamaa ana bahati sana aisee
 
kwenu mabrazameni, waheshimiwa, waume wa watu na wooote wale ambao sikuwatajeni hapa.

Mapenzi ni kitu kitamu sana kwa muda mfupi, haswa yakiwa featured na big shoppings, outings and vacations.

Ukiona umeachwa haimaanishi uendelee kung'ang'ania. Tafuta mwingine.

Ninapo acha huwa nina sababu zangu nyingi tu za kuamua kufanya hivyo.

Kwa sasa sihitaji tena simu zenu za vilio vya kuniomba niwasemehe na kufanya marudiano, wala sitaki simu zenu za ahadi kemkem.

Bahati niliyo watunuku ya kuwaonjesheni pepo ya kitandani imesha pita.

Sasa nimempata wangu, nimpaye pepo na paradiso zote, maraha na mahaba shatashata niliyo nayo na ninayo yajua ni mali yake.

Naomba tafuteni wa aina yenu.

sidhani kama kweli uliyempata umeridhika naye na ukaamua kumpa pepo hadi kiama bali ulishagawa sana hadi ikageuka ikafanana na popo.
 
Halooooooooooooooo! kwa sasa shosti wako kesho sijui wanani! komaa nao kisawa sawa.....lol
 
Back
Top Bottom