Open letter to all the men I loved before

kwenu mabrazameni, waheshimiwa, waume wa watu na wooote wale ambao sikuwatajeni hapa.

Mapenzi ni kitu kitamu sana kwa muda mfupi, haswa yakiwa featured na big shoppings, outings and vacations.

Ukiona umeachwa haimaanishi uendelee kung'ang'ania. Tafuta mwingine.

Ninapo acha huwa nina sababu zangu nyingi tu za kuamua kufanya hivyo.

Kwa sasa sihitaji tena simu zenu za vilio vya kuniomba niwasemehe na kufanya marudiano, wala sitaki simu zenu za ahadi kemkem.

Bahati niliyo watunuku ya kuwaonjesheni pepo ya kitandani imesha pita.

Sasa nimempata wangu, nimpaye pepo na paradiso zote, maraha na mahaba shatashata niliyo nayo na ninayo yajua ni mali yake.

Naomba tafuteni wa aina yenu.
Mahaba shatashata ndo nn? Aisee inaonekana nikikutana nayo nitachanganyikiwa. Naomba nikuulize kama hujawahi kuunguza cylinder head maanake unavyojisifia utadhani Exaust bado inatoa H2O machine ikiwashwa.
 
naamini kwa sasa umempata wa huko huko arusha...!

huku dasalama utawavulia kufuli members wote lakin utaishia kumegwa na kuachwa....hii ndo dasalama bana!watu hawanaga mikataba zaidi ya higher initial costs..(shoppings na outings)...wakishakuchafua chafua haooo kwa wake zao!

gadem zako!
 
daslam mnatisha kama njaa.
 
To all the girls I've loved before
Who travelled in and out my door
I'm glad they came along
I dedicate this song
To all the girls I've loved before

To all the girls I once caressed
And may I say I've held the best
For helping me to grow
I owe a lot I know
To all the girls I've loved before

The winds of change are always blowing
And every time I try to stay
The winds of change continue blowing
And they just carry me away

To all the girls who shared my life
Who now are someone else's wives
I'm glad they came along
I dedicate this song
To all the girls I've loved before

To all the girls who cared for me
Who filled my nights with ecstasy
They live within my heart
I'll always be a part
Of all the girls I've loved before

The winds of change are always blowing
And every time I try to stay
The winds of change continue blowing
And they just carry me away

To all the girls we've loved before
Who travelled in and out our doors
We're glad they came along
We dedicate this song
To all the girls we've loved before

To all the girls we've loved before
Who travelled in and out our doors
We're glad they came along
We dedicate this song
To all the girls we've loved before
Song Lyrics To All The Girls I've Loved Before by Julio Iglesias
 
Last edited by a moderator:
Siamani kama kweli unaweza kupost kitu low standard namna hii!
kwenu mabrazameni, waheshimiwa, waume wa watu na wooote wale ambao sikuwatajeni hapa.

Mapenzi ni kitu kitamu sana kwa muda mfupi, haswa yakiwa featured na big shoppings, outings and vacations.

Ukiona umeachwa haimaanishi uendelee kung'ang'ania. Tafuta mwingine.

Ninapo acha huwa nina sababu zangu nyingi tu za kuamua kufanya hivyo.

Kwa sasa sihitaji tena simu zenu za vilio vya kuniomba niwasemehe na kufanya marudiano, wala sitaki simu zenu za ahadi kemkem.

Bahati niliyo watunuku ya kuwaonjesheni pepo ya kitandani imesha pita.

Sasa nimempata wangu, nimpaye pepo na paradiso zote, maraha na mahaba shatashata niliyo nayo na ninayo yajua ni mali yake.

Naomba tafuteni wa aina yenu.
 
Ahaaaa aaa naz ,subiri unionjeshe asli na mimi unaconclude vipi kabla tunaokupenda wote hujatupa tujinome tuugulie machungu badae (joke) ,good 4 you sis sisi wanaume we are the same akitokea wa kutulia naye jitulize uzee wenyewe hauchelewi al da bst
 
kwenu mabrazameni, waheshimiwa, waume wa watu na wooote wale ambao sikuwatajeni hapa.

Mapenzi ni kitu kitamu sana kwa muda mfupi, haswa yakiwa featured na big shoppings, outings and vacations.

Ukiona umeachwa haimaanishi uendelee kung'ang'ania. Tafuta mwingine.

Ninapo acha huwa nina sababu zangu nyingi tu za kuamua kufanya hivyo.

Kwa sasa sihitaji tena simu zenu za vilio vya kuniomba niwasemehe na kufanya marudiano, wala sitaki simu zenu za ahadi kemkem.

Bahati niliyo watunuku ya kuwaonjesheni pepo ya kitandani imesha pita.

Sasa nimempata wangu, nimpaye pepo na paradiso zote, maraha na mahaba shatashata niliyo nayo na ninayo yajua ni mali yake.

Naomba tafuteni wa aina yenu.
all the best ila one more thing!! Watch out isije wewe ndo ukaanza tu beep!! Maana wengi huwa waaga na hata kubadili simcard, halafu baada ya siku kadhaa unaanza kukuta miss call no mpya ukipiga utaskia '' please naomba tuonane nikupe fully story, ooh huyu jamaa bure kabisa, ooh aliacha wanawake sita kumbe, ooh mlevi sana, ooh hawezi game lako.... So tell me bwana mi bado nakupenda!!!

............... Sie bado mlango upo wazi
 
kwenu mabrazameni, waheshimiwa, waume wa watu na wooote wale ambao sikuwatajeni hapa.

Mapenzi ni kitu kitamu sana kwa muda mfupi, haswa yakiwa featured na big shoppings, outings and vacations.

Ukiona umeachwa haimaanishi uendelee kung'ang'ania. Tafuta mwingine.

Ninapo acha huwa nina sababu zangu nyingi tu za kuamua kufanya hivyo.

Kwa sasa sihitaji tena simu zenu za vilio vya kuniomba niwasemehe na kufanya marudiano, wala sitaki simu zenu za ahadi kemkem.

Bahati niliyo watunuku ya kuwaonjesheni pepo ya kitandani imesha pita.

Sasa nimempata wangu, nimpaye pepo na paradiso zote, maraha na mahaba shatashata niliyo nayo na ninayo yajua ni mali yake.

Naomba tafuteni wa aina yenu.

Mwanaume ukiachwa kwa style hii, inabidi ufurahi tu maana baada ya hapo unasongesha mbele kutafuta another ring to add to your already existing 'chain'.
 
Nazjaz bwana kwani hao wapenzi wako JF?

sidhani kama hao wanaume wako hapa JF kwani alijiunga hapa mwaka huu tu yani..
Join Date : 20th January 2011
Posts : 1,740

Rep Power : 25

ila hao wanaume alikuwa nao kabla ya kujiunga hapa.
 
What the heart thinketh, the tongue speaketh.
Nampa pole sana huyo uliyempata.
 
kwenu mabrazameni, waheshimiwa, waume wa watu na wooote wale ambao sikuwatajeni hapa.

Mapenzi ni kitu kitamu sana kwa muda mfupi, haswa yakiwa featured na big shoppings, outings and vacations.

Ukiona umeachwa haimaanishi uendelee kung'ang'ania. Tafuta mwingine.

Ninapo acha huwa nina sababu zangu nyingi tu za kuamua kufanya hivyo.

Kwa sasa sihitaji tena simu zenu za vilio vya kuniomba niwasemehe na kufanya marudiano, wala sitaki simu zenu za ahadi kemkem.

Bahati niliyo watunuku ya kuwaonjesheni pepo ya kitandani imesha pita.

Sasa nimempata wangu, nimpaye pepo na paradiso zote, maraha na mahaba shatashata niliyo nayo na ninayo yajua ni mali yake.

Naomba tafuteni wa aina yenu.
Umeeleweka,badili na namba za simu na makazi.
 
Mkuu Wilbald, kwani inachukua muda gani mleta thread kumpata mwanamume! Mbona miezi 11 imeishatimia tayari? Nazjaz ni "hit & run" type.
 
Kwa umri wangu sijui ntaeleza nini baba akikuta nasoma haya matusi. Nitachapwa mimi kisa tu kusoma mambo ya Nazjaz.
 
Back
Top Bottom